PostGE2025 CHADEMA wanakwamisha maridhiano

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
mojawapo ya sababu iliyofanya mossad ianzishe Hamas,ni kuwa kilitakiwa kikundi ambacho kitakua KINAKINUKISHA,ili Israel ipate nafasi ya kuwafyeka wapalistina na hivyo kuua ndoto zao za kuwa na taifa lao,kila kulipokaribia kupatikana uwezekano wa Taiffa la wapare,some elements inside Hamas,ambao kwa siri walikua wakilipwa na mossad,walihakikisha wanakinukisha,ili kuzuia ndoto ya taifa la wapare
 
Chadema wanakuja na visingizio vingi kuzuia maridhiano.
Wapo watu wengi wataendelea kutekwa kama amani isipopatikana.
Inasikitisha sana kwamba huyu polio girl amekufa Muhimbili Jana, lakini tusikwame hapa. Tuendelee na juhudi za kupata maridhiano.
Na sasa kuna mazungumzo ya kupata Katiba Mpya.
Sijui kama tatizo linakuwa correctly identified.
Tunataka maridhiano Kwa sababu watu wamepigwa risasi October 29, na hawa watu wamekasirika sana,na hawaitaki hii serikali.
Matatizo yao yanaweza kutanzuliwa bila kuuliza maswali kuhusu Katiba.
Tunataka mabadiko Gani kuhusu Katiba?
Tunataka Polisi wapole?
Polisi wanakupokea kama wewe unavyokuja.
Polisi siyo wapole wala siyo wakali.
Kama hatutaki maridhiano tunataka nini?
Nuruvazi Revolution?
Hakuna maandamano yoyote yatakayotokea.
Na hata yakitokea mazungumzo ya maridhiano lazima yaendelee.
Chadema inakwamisha maridhiano.
KWA SABABU CHADEMA WANAITWA,WANAKATAA.
Siyo kwamba CCM haitaki kuwajumuisha kwenye maridhiano.
Kama pale kwanza.
Serikali ilitishia vyama visivyojitokeza kusaini makubaliani,havitaruhusiwa kushiriki Uchaguzi Mkuu.
Serikali ikatekeleza,kama ilivyotishia.
Uchaguzi ukafanyika bila Chadema.
Na sasa historia inajirudia, Chadema wanasema hawataki mazungumzo ya amani.
Ni kama wakati ANC ilipokuwa inasema bila kuwaachia wafungwa wa kisiasa,hatuongea.
Wakaachiwa huru wafungwa wa kisiasa wote.
Siyo tu wafungwa wa kisiasa waliachiwa huru.
Majambazi wengi pia wakaachiwa huru.
Matokea yake Mandela akawa one-term president.
Kwa ajili ya hizo fujo za hao wahalifu Sugu
Wewe Mzee,umeshabugia gongo yako ya mihogo kutoka Bitaraguru?CHADEMA walidharauliwa tangu awali walipoweka madai yao mezani na NRNE.Kwani wasipojumuika kwenye hayo maridhiano kuna shida gani? Wengine waridhiane kwa niaba yao kama walivyoshiriki ule "utyakuzi" wa Oktoba 29.
 
Sio mbaya wakiridhiana CCM na act wazalendo na chaumma.

Chadema wao wanataka kuwajibishana kwa walioua raia kwa kuwappiga risasi.

Kabla ya Oct 29 watu kufa, CDM walikuwa wanataka nini mpaka kugomea maridhiano kipindi kile???

Sauti ya Mtanzania.
Safarini Khost - Afghanistan .
 
Chadema wanakuja na visingizio vingi kuzuia maridhiano.
Wapo watu wengi wataendelea kutekwa kama amani isipopatikana.
Inasikitisha sana kwamba huyu polio girl amekufa Muhimbili Jana, lakini tusikwame hapa. Tuendelee na juhudi za kupata maridhiano.
Na sasa kuna mazungumzo ya kupata Katiba Mpya.
Sijui kama tatizo linakuwa correctly identified.
Tunataka maridhiano Kwa sababu watu wamepigwa risasi October 29, na hawa watu wamekasirika sana,na hawaitaki hii serikali.
Matatizo yao yanaweza kutanzuliwa bila kuuliza maswali kuhusu Katiba.
Tunataka mabadiko Gani kuhusu Katiba?
Tunataka Polisi wapole?
Polisi wanakupokea kama wewe unavyokuja.
Polisi siyo wapole wala siyo wakali.
Kama hatutaki maridhiano tunataka nini?
Nuruvazi Revolution?
Hakuna maandamano yoyote yatakayotokea.
Na hata yakitokea mazungumzo ya maridhiano lazima yaendelee.
Chadema inakwamisha maridhiano.
KWA SABABU CHADEMA WANAITWA,WANAKATAA.
Siyo kwamba CCM haitaki kuwajumuisha kwenye maridhiano.
Kama pale kwanza.
Serikali ilitishia vyama visivyojitokeza kusaini makubaliani,havitaruhusiwa kushiriki Uchaguzi Mkuu.
Serikali ikatekeleza,kama ilivyotishia.
Uchaguzi ukafanyika bila Chadema.
Na sasa historia inajirudia, Chadema wanasema hawataki mazungumzo ya amani.
Ni kama wakati ANC ilipokuwa inasema bila kuwaachia wafungwa wa kisiasa,hatuongea.
Wakaachiwa huru wafungwa wa kisiasa wote.
Siyo tu wafungwa wa kisiasa waliachiwa huru.
Majambazi wengi pia wakaachiwa huru.
Matokea yake Mandela akawa one-term president.
Kwa ajili ya hizo fujo za hao wahalifu Sugu
CHADEMA wako sahihi, waachieni wanachama wao wote mliowabambikia kesi na kuwafunga muone kama hawajakuja mezani.
 
We Mzee kijana, Mtoto wa Baba wa Taifa, vipi mbona unajizima data kihivyo? Ni lini na wapi hao Chadema walisema hawataki mazungumzo ya Amani?
Wao wanataka referee neutral wa mazungumzo au maridhiano hayo. Hilo mbona hujaliongea?

Referee neutral- mazungumzo yaanze…

Je ccm wanamtaka au hawamtaki?
Name calling humu ni kama kesi ya uhani shauri yako
 
Hivi issue ya Oct 29 kwanza CCM wenyewe wamesharidhiana? Au kwavile Chadema wana attract international communities?

Kutapoa vipi huku hatma ya Humprey Polepole na Dr Emmanuel Nchimbi haieleweki? Raia wataendelea kuumia bila sababu
 
Chadema wanakuja na visingizio vingi kuzuia maridhiano.
Wapo watu wengi wataendelea kutekwa kama amani isipopatikana.
Inasikitisha sana kwamba huyu polio girl amekufa Muhimbili Jana, lakini tusikwame hapa. Tuendelee na juhudi za kupata maridhiano.
Na sasa kuna mazungumzo ya kupata Katiba Mpya.
Sijui kama tatizo linakuwa correctly identified.
Tunataka maridhiano Kwa sababu watu wamepigwa risasi October 29, na hawa watu wamekasirika sana,na hawaitaki hii serikali.
Matatizo yao yanaweza kutanzuliwa bila kuuliza maswali kuhusu Katiba.
Tunataka mabadiko Gani kuhusu Katiba?
Tunataka Polisi wapole?
Polisi wanakupokea kama wewe unavyokuja.
Polisi siyo wapole wala siyo wakali.
Kama hatutaki maridhiano tunataka nini?
Nuruvazi Revolution?
Hakuna maandamano yoyote yatakayotokea.
Na hata yakitokea mazungumzo ya maridhiano lazima yaendelee.
Chadema inakwamisha maridhiano.
KWA SABABU CHADEMA WANAITWA,WANAKATAA.
Siyo kwamba CCM haitaki kuwajumuisha kwenye maridhiano.
Kama pale kwanza.
Serikali ilitishia vyama visivyojitokeza kusaini makubaliani,havitaruhusiwa kushiriki Uchaguzi Mkuu.
Serikali ikatekeleza,kama ilivyotishia.
Uchaguzi ukafanyika bila Chadema.
Na sasa historia inajirudia, Chadema wanasema hawataki mazungumzo ya amani.
Ni kama wakati ANC ilipokuwa inasema bila kuwaachia wafungwa wa kisiasa,hatuongea.
Wakaachiwa huru wafungwa wa kisiasa wote.
Siyo tu wafungwa wa kisiasa waliachiwa huru.
Majambazi wengi pia wakaachiwa huru.
Matokea yake Mandela akawa one-term president.
Kwa ajili ya hizo fujo za hao wahalifu Sugu
Maridhiano fanyeni na chauma
 
chadema wanasubiri kubembelezwa na ccm?
 
Kule South Africa, baada ya utawala wa kibsguzi kufika mwisho, kulikuwa na tume ya malidhiano, Reconciliation and justice commission,
Hii haikuitishwa na viongozi wa apartheid, maana hawa ndio watuhumiwa, waliotenda madhila, wala haikuitishwa na ANC maana hawa ndio wahanga victims,
Tume iliongozwa na watu guru, wasiofungamana na upande wowote, uchunguzi huru ulifanyika, waliokuwa viongozi wa apartheid waliitwa kutoa ushahidi, Wananchi walisimulia madhira waliyokutana nayo,askari walikili wazi kuua, mbele ya ndugu za wahanga,
Sasa hii ya kwenu, aliyeua eti ndio anaunda tume ya malidhiano, harafu anaita aliowaumiza waseme, huku bado anateka na kuua,?
 
Chadema wanakuja na visingizio vingi kuzuia maridhiano.
Wapo watu wengi wataendelea kutekwa kama amani isipopatikana.
Inasikitisha sana kwamba huyu polio girl amekufa Muhimbili Jana, lakini tusikwame hapa. Tuendelee na juhudi za kupata maridhiano.
Na sasa kuna mazungumzo ya kupata Katiba Mpya.
Sijui kama tatizo linakuwa correctly identified.
Tunataka maridhiano Kwa sababu watu wamepigwa risasi October 29, na hawa watu wamekasirika sana,na hawaitaki hii serikali.
Matatizo yao yanaweza kutanzuliwa bila kuuliza maswali kuhusu Katiba.
Tunataka mabadiko Gani kuhusu Katiba?
Tunataka Polisi wapole?
Polisi wanakupokea kama wewe unavyokuja.
Polisi siyo wapole wala siyo wakali.
Kama hatutaki maridhiano tunataka nini?
Nuruvazi Revolution?
Hakuna maandamano yoyote yatakayotokea.
Na hata yakitokea mazungumzo ya maridhiano lazima yaendelee.
Chadema inakwamisha maridhiano.
KWA SABABU CHADEMA WANAITWA,WANAKATAA.
Siyo kwamba CCM haitaki kuwajumuisha kwenye maridhiano.
Kama pale kwanza.
Serikali ilitishia vyama visivyojitokeza kusaini makubaliani,havitaruhusiwa kushiriki Uchaguzi Mkuu.
Serikali ikatekeleza,kama ilivyotishia.
Uchaguzi ukafanyika bila Chadema.
Na sasa historia inajirudia, Chadema wanasema hawataki mazungumzo ya amani.
Ni kama wakati ANC ilipokuwa inasema bila kuwaachia wafungwa wa kisiasa,hatuongea.
Wakaachiwa huru wafungwa wa kisiasa wote.
Siyo tu wafungwa wa kisiasa waliachiwa huru.
Majambazi wengi pia wakaachiwa huru.
Matokea yake Mandela akawa one-term president.
Kwa ajili ya hizo fujo za hao wahalifu Sugu
Polio girl tena?
 
Kwani kuna mtu wamemshika/kataza wasiridhiane?kila mtu aahinde mechi zake bila kumkanyaga mwenzie
 
Back
Top Bottom