chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Huihui2

    Kiongozi wa CHADEMA, Rose Mayemba aomba hifadhi UNHCR

    Walishawishiwa na Maria Sarungi kwenda Nairobi kuishi kama wanaharakati. Ili waweze kupata hela ya kujikimu ilikuwa ni kushinda kwenye mitandao ya jamii na kuichafua Serikali ya Tanzania. Nairobi siyo mahali salama. Majuto ni mjukuu
  2. L

    Yericko Nyerere: CHADEMA inatakiwa kufa sasa kwa sababu haijui inachopigania kwa sasa

    Ndugu zangu Watanzania, Embu Soma Hapa Kilichozungumzwa na Mwanachama huyo wa Zamani wa CHADEMA na ambaye alikuwa na ushawishi kwa Viongozi Waandamizi wa CHADEMA Taifa Haya hapa Mazungumzo yake nimeyaleta kama Yalivyo👎Mwanachama wa Chama cha CHAUMMA, Yericko Nyerere, amesema Chama cha...
  3. T

    Ni kwanini mawakili wengi wazuri wako CHADEMA na Upinzani?

    Ni ajabu sana inavyoonekana ni kwamba mawakili wengi walioko upinzani ni wazuri sana na wana umaarufu na majina makubwa Ila huku serikalini wapo wa kawaida sana. Nadhani ndio maana serikali yetu ikishtakiwa nje na Tanzania serikali inashindwa Mawakili wa serikali wanakuwaga jeuri tu kesi...
  4. M

    Mbowe na Zitto kupotea kwenye siasa za Tanzania kumeleta mafanikio makubwa kwa CHADEMA

    Kwa ujumla Mbowe na Zitto Kabwe walirudisha nyuma mapambano dhidi ya CCM. Walikuwa vibaraka wabaya sana ambao walikuwa after pay tu. Walilipwa ili kuisadia CCM ikae madarakani. Tangu watu wamewadharau na kutopewa kipaumbele kwenye siasa za hapa Tanganyika Chadema kama chama cha upinzani...
  5. BIOTOXINS

    Je, ukiwa CCM unadhani kifo kinawahusu CHADEMA pekee?

    Kuna matukio yanayotokea nchini ambayo yananifanya nitafakari sana. Wakati mwingine unaona kana kwamba baadhi ya watu wanadhani masuala ya vifo, kupotea kwa watu, utekaji na ukiukwaji wa haki za binadamu ni matatizo yanayowahusu wanachama wa CHADEMA pekee. Ukweli ni kwamba maisha ya Mtanzania...
  6. instinct desire

    Lissu wa CHADEMA amekaa Miaka 10 Bungeni ameshindwa kujenga nyumba kijijini, tukisema mshahara wa mbunge hautoshi muwe mnaelewa tuache kupotosha umma

    Mbunge anahudumia eneo kubwa na Kila eneo analopita wanamuona anahela wanataka achangie shughuli za maendeleo za eneo husika na ni kweli huwa wanachangia na wanatoa rambirambi laki Moja kwenye Kila msiba unaotokea jimboni. Kwahili nawapongeza sana wabunge. Ingawa wabunge wa chadema hawajawahi...
  7. U

    Ndugu zangu Chadema hata ikitokea mbingu zimeagiza muunde serikali nyie hamtoweza kwani hamna hata mbunge mmoja, sijui kwanini mlisusia uchaguzi

    Sasa leo kwa mfanyo Malaika mkuu kaagizwa na mbingu mkiambiwa muunde serikali mtawezaje wakati ham a hata mbunge mmoja? Si bora mngeingia kwenye uchaguzi angalao mngeambulia wabunge wachache Huo ndiyo ukweli hata kama mtanuna Jioni njema
  8. U

    Kwanini wafuasi wa chama kikuu cha Upinzani CHADEMA ukiwakosoa wanakuwa wakali kama pilipili?

    Kwanini wafuasi wa chama kikuu cha Upinzani CHADEMA ukiwakosoa wanakuwa wakali kama pilipili? Hawa we zetu wao kukosoa CC kila kukicha lakini fanya kosa uwakosoe wao une cha moto! Mara oooh unatumiwa na wasiojulikana mane no mengi ya kashfaa! Karibuni tujadili
  9. kavulata

    Kati ya CCM na CHADEMA nani wanalilia uwepo wa maridhiano, kwanini?

    Sisi wengine hatujui ila tunasikia chadema kila wanapopata jukwaa hata ndogo tu la kusema huwa wanatoa masharti yao magumu ya wao kukubali kushiriki kwenye maridhiano. Sasa hivi shariti lao muhimu ni Lissu aachiwe huru. Maswali yetu sisi wananchi ni mengi kuhusu haya maridhiano. 1. Maridhiano...
  10. O

    Watanzania tuwaambie ukweli viongozi wa CHADEMA kwamba mazungumzo na Rais Samia hayawezi kukwepeka kuamua hatma ya Lissu

    Watanzania tuwaambie ukweli viongozi wa CHADEMA kwamba mazungumzo na Rais Samia hayawezi kukwepeka kuamua hatma ya Lissu Watanzania ni wakati tuwaambie ukweli viongozi wa CHADEMA kuhusu umuhimu wa kukutana na Rais SAMIA ili kuzungumza kukwamua mkwamo wa kisiasa na hatma ya Tundu Lissu.Lazima...
  11. Zack Abdul

    "CCM" Ni dude kubwa mno Afrika hivyo wana "CHADEMA" tupewe darasa na "CCM"

    "CCM" NI DUDE KUBWA MNO AFRIKA HIVYO WANA "CHADEMA" TUPEWE DARASA NA "CCM"✍️ 👉Katika ramani ya siasa za bara hili la Afrika, Chama Cha Mapinduzi hakitambuliki tu kama chama cha kawaida, bali kama taasisi kongwe na kubwa zaidi inayotajwa kwa heshima kubwa kuanzia Cape hadi Cairo...
  12. THE BIG SHOW

    Nani aliwaruhusu CHADEMA kutumia mazishi ya Alute kama uwanja wa kisiasa?

    Friends and Enemies, Bila Shaka tunajua kuwa CHADEMA NA KANISA KATOLIKI NI CHANDA NA KIDOLE. Siyo Mara moja au Mara mbili tumekuwa tunashuhudia KANISA KATOLIKI likishiriki hadi kwenye vikao vya ndani ya chama Tena vya maamuzi au vya usuluhishi wa migogoro ndani ya chama hiko. Kama hiyo...
  13. kadeti

    Nilichokibaini siku ya tarehe 10 November 2026 pale Ikungi Singida kwenye mazishi ya Kaka yake na Lisu ni uwezo wa wanachama wa CHADEMA

    Wanajamvi habari za Leo...Leo ilikuwa ni siku yangu ya kufanya majumuisho Kwa Ile siku ya tarehe 10 November 2026 Kwa ufupi tu nipende kusema ya kwamba Kwa namna tulivyoshuudia pale Ikungi siku ya mazishi ya Kaka ke na Mwenyekiti wa CDM ni dhahiri kabisa kwamba CDM Ina watu wenye uwezo mkubwa...
  14. kavulata

    CHADEMA wanauvuruga msiba wa Alute, wanaufanya mali yao binafsi

    Ni msiba mkubwa sana kwa Taifa, maana Mzee Alute alikuwa mtumishi wa umma na aliwatumikia wananchi kwa nguvu na moyo wake wote. Lakini sasa disco limeingia mmasai, chadema wameugeuza pahala pa kupumulia, wameuchafua kwelikweli. Wameshindwa kutofautisha kati ya msiba wa Alute na msiba wa Tundu...
  15. J

    CHADEMA imewakosea nini Mjenga na Salma Podcast? Kwanini imegeuka jukwaa la kuishambulia CHADEMA?

    ..Mjenga na Salma walianza vizuri sana na Podcast yao. ..walikuwa wakifanya mahojiano na watu wenye sifa na historia nzuri hapa Tanzania. ..Lakini ghafla wakaanza kuhoji watu wanaoibagaza, na kuishutumu CHADEMA. ..Zimefanyika interview kadhaa bila kutoa nafasi kwa CHADEMA kujitetea. ..Na kwa...
  16. Corticopontine

    Tundu Lisu na Heche anzisheni Chama chenu achaneni na CHADEMA ukiona vyaelea vimeundwa

    Heche anaitumia Chadema iliyoundwa kwa jasho na damu na Mbowe kwa lengo la kujinufaisha huku akijifanya mpambanaji kumbe ni bonge la Tapeli na mla Rushwa mkubwa
  17. C

    John Heche: Wajibu wa serikali siyo kukomoa watu ili wasalimu amri

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, John Heche amesema wajibu wa serikali si kukomoa wananchi kwa vitisho, kukamata au kuwafanyia vitendo vya ukandamizaji, bali ni kuhakikisha sheria na taratibu zinafuatwa katika kuendesha nchi. Akizungumza leo Novemba 9...
  18. Samia atosha tukutane2030

    Mahakama ya Tanzania inatoa haki. CHADEMA wanajua hili ndio maana walipeleka mawakili kwenye kesi ya Lissu

    CHADEMA ni chama cha kulaumu tangu 2000. Chaguzi hazina haki kwakuwa tume si huru lakini wamesahau kuna kipindi bunge lilijaa wabunge wa CHADEMA na vyama vingine. Mahakama haina haki lakini mmoja wao akiyakanyaga tu akifikishwa mahakamani CHADEMA wanajazana kwenye corridor za mahakama. Hakuna...
  19. S

    Hivi kwanini wanataka sana maridhiano na CHADEMA wakati majeshi na mahakama ni vyombo ambayo ni mali yao?

    Mimi hawa watu siwaelewi kabisa shida yao ni nini kiasi kwamba wanatumia kila mbinu kutaka wakae mezani na CHADEMA eti waridhiane Yaani mumbakizie Mwenyekiti wao kesi, mumfunge jela, mteke na kupoteza wanachama wao halafu wakati huo huo mtake .kukaa nao mezani mfanye maridhiano .Hii ni akili ya...
  20. lord atkin

    Nina uhakika Tundu Lissu angeachiwa CHADEMA ingeingia kwenye maridhiano.

    Wakati Serikali ikitumia kumshikilia Tundu Lissu kama njia ya kushinikiza maridhiano, CHADEMA na Lissu wanachukulia kushikiriwa Tundu Lissu kama sababu ya kugomea maridhiano. Kumbe njia ilikuwa rahisi tu ni kumuachia Tundu Lissu halafu unaitisha maridhiano ya kweli ni wazi chadema na lissu...
Back
Top Bottom