chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Cute Wife

    MAGAZETI NOVEMBA 6: Vyombo vya Vya Habari na Hukumu ya Tundu Lissu anayekabiliwa na Kesi ya Uhaini

    Hukumu ya Tundu Lissu inaenda kusomwa leo November 6, 2026, tukio kubwa ambalo kila Mtanzania, mwanademokrasia, mpigania haki na mpenda haki, uhuru wa mahakama, uhuru wa maoni, kukusanyika na uraia kwa ujumla anataka kujua litaenda vipi. Ni kama wakati ule wa skendo za Richmond, Escrow na...
  2. figganigga

    Katiba ya CHADEMA inawatambua Wanaharakati

    Kuna watu wanaodai CHADEMA imetekwa na Wanaharakati. Ni kwamba katiba ya CHADEMA inaeleza wazi mtu anatakiwa awe mwanaharakati wa kweli wa kudai haki. Ibara ya 10.3(iii) – Maadili ya Wanachama, katika Kanuni za CHADEMA za mwaka 2019. Kinasema: “Kuwa shupavu na mwanaharakati wa kweli katika...
  3. Carlos The Jackal

    ICC, EU, US, Jumuiya Madola Kuanza kuishughulikia CCM, Serikali na Viongozi Vyombo vya Dola kuanzia Kesho Tarehe 6 /11/2026

    Mmeamua kukaza fuvu ? Kwamba nyinyo ndio Wamiliki wa Majeshi?. Kwamba liwalo na liwe, Wapuuzi mmeamua Kuanguka na Uchumi wa NCHI !!. Sasa Kuanguka mnaanguka, Nchi itabaki imesimama. Huwezi Kuua watu namna ile Oktoba 29, alafu Dunia ikuangalie tu , Haiwezekani !!!. Bila TUNDU LISSU ...
  4. R

    Chadema iliomba live streaming ya hukumu ya Lisu kesho,6,11,2026, kuna majibu yoyote?

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kiliomba rasmi uongozi wa Mahakama kuruhusu matangazo ya moja kwa moja (live streaming) ya hukumu ya kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wake, Tundu Lissu. Hatua hii ilitangazwa mapema ili kutoa fursa kwa Watanzania na wadau wa demokrasia ndani na...
  5. The Burning Spear

    Kwa nini CHADEMA imekuwa ikizalisha wasaliti Wakubwa ndani yake kwa mwaka.

    Chadema waje watuujibu hapa aisee. mimi ninaowakumbuka. 1. Zito Kabwe (Makamu Mwenyekiti Taifa) 2. Dr slaa ( Katibu mkuu Taifa) 3. Vicent Mashinji (Katibu Mkuu Taifa) 4. Alkael Mbowe ( Mwenyekiti Taifa) 5. Isa (Mwenyekiti Zanzibar) 6. Peter Msigwa ( Mjumbe wa Kamati kuu) 7. Civid 19 ( wabunge...
  6. Waterloo

    CCM inatakiwa kuelewa huwezi kuzuia mabadiliko ila unaweza kuchelewesha kwa muda tu .Chadema itafanikiwa licha ya changamoto inazopitia

    Serikali ya CCM inajaribu kupambana na Chadema ili kuwakatisha tamaa lakini kwa ninavoona hawataweza hiki chama kimegoma kufuatia maelekezo ya CCM. Hakuna namna CCM lazima ikubaliane na matakwa ya wananchi unaweza kuchelewesha kwa muda lakini haitaweza kuzuia mabadiliko.
  7. Zack Abdul

    VIKAO VYA MSIMBAZI NA KITIMA NDIO VIMEMALIZA MWENDO WA CHADEMA NA LISSU.

    Mnakumbuka vikao vya msimbazi ambavyo viliongozwa na Fr Kitima kwa lengo la kuhakikisha Chadema inachukuliwa kuwa mali ya kanisa katoliki na Maria na Taasisi zake wakichukua dhamana na kuhakikisha linatokea. Vile vikao ndio vikamtumbukiza Lissu akagombee uenyekiti ili Mbowe atoke...
  8. N

    Kumbukizi Ya Mwaka Mmoja (1) tangu niwashauri viongozi wa vyama vya CHADEMA na CCM kwenda katika meza ya mazungumzo baada ya Uchaguzi October 2025..!!

    NB: Nina Akili Ndogo Sana Kumbukizi Ya Mwaka Mmoja (1) tangu niwashauri viongozi wa CHADEMA na CCM kwenda katika meza ya mazungumzo baada ya Uchaguzi October 2025. Diplomacy should always be given a chance before the first bullet is shot. "MILITARY ACTION" must only be a decision of last...
  9. B

    Kwa staili hii, CHADEMA bado ina safari ndefu;Wasaliti ni wengi sana kwenye chama, kina Deogratius Mahinyila Amkeni mkitetee chama chenu.

    Kwa kweli yanayoendelea CHADEMA yanakatisha sana tamaa. Chama kimejaa wasaliti ambao wengine hata sisi ambao hatujasoma saikolojia ya binadamu, ukimwona tu unajua huyu ni msaliti. Bahati mbaya, wako hadi kamati kuu ya chama, kuona nani anachangia nini kwenye kikao, ili ashughulikiwe.. Huenda...
  10. M

    Chadema ijifunze kwa Lipumba na Selasini kuhusu LEMA

    Lipumba kachukua madaraka kwa nguvu dhidi ya Maalim Seif Selasini kachukua madaraka kwa nguvu dhidi ya Mbatia. Hivi sasa wote wameivua vyama vyao na wao wamefukuzwa. Chadema wajitahadhari sana na LEMA. Wajifunze kupitia NCCR na CUF
  11. Tlaatlaah

    Godbless Lema is powerful politician within chadema circle, because of the weak chadema national leaders with weak management skills & strategies

    Who do you think might have the boldness to respond to Godbless Lema’s very sharp speech before the Central Committee? Can real anybody within chadema central committee has the political capacity and ability to deconstruct or destroy that powerful speech, which caused confusions among chadema...
  12. Troll JF

    Kwanini CHADEMA wamemtelekeza Tundu Lissu Gerezani?

    Kwa mda mrefu nimekua nikifuatilia Sakata la Tundu Lissu naona Chama chake hakijafanya vya kutosha katika kumpigania awe huru na badala yake Wanaharakati ndiyo wamekua wakimpazia sauti. Hatua ya yeye Kutangaza kugoma kula ilikua inaonesha anajibambania mwenyewe japo naye ali ulaghai Umma kwani...
  13. E

    Lema ajue CHADEMA haimiliki siasa za upinzani Tanzania, wanaharakati wana haki ya kumkosoa

    Mfumo wa vyama vingi ulirejeshwa Tanzania mwaka 1992 kwa shinikizo la Mwalimu Julius Nyerere, lakini Katiba haikufanyiwa mabadiliko ya kutosha kuhakikisha ushindani wa kisiasa wenye usawa. Ibara ya 3 ilitambua mfumo huo, lakini mamlaka makubwa ya Rais, usimamizi wa uchaguzi na mazingira ya...
  14. BIOTOXINS

    Mada Maalum: Kuelekea Novemba 6 – hatma ya kesi ya Tundu Lissu na maswali mazito kuhusu haki na utawala wa sheria Tanzania

    Macho na masikio ya wadau wa siasa, sheria na haki za binadamu yanaelekezwa katika mwenendo wa kesi inayomkabili Tundu Lissu. Tarehe hii inazua matarajio na maswali mbalimbali kuhusu hatua zinazofuata katika shauri hilo, hoja zilizowasilishwa na pande husika na namna mahakama itakavyotekeleza...
  15. M

    Lema ujiuzulu chadema

    Namshauri ajiuzulu Chadema . Aende chauma akaungane na Yericko Nyerere apambane na mambe , Maria na Hilder na Lissu. Ndani ya chadema hawawezi
  16. MamaSamia2025

    Baada ya kumsikiliza Lema, itoshe kusema kuna uporaji mkubwa wa haki za watu CHADEMA, wanatenda tofauti na maneno yao

    Kwa mliokuja Inbox kutaka maoni yangu kuhusu press conference ya Lema tafadhali someni huu uzi kwa makini. Nitaandika kwa ufupi sana. Kwa ufupi ni kuwa Lema kakivua nguo chama chake na uongozi uliopo sasa. Haya ni mambo kadhaa niliyoona; 1. CHADEMA inahubiri kutaka haki ila inatenda tofauti...
  17. Hance Mtanashati

    Wanachofeli CHADEMA ni kuuhusisha Ukristo hususani Ukatoliki na ukombozi wa nchi

    Suala la udini kwa namna moja au nyingine ndilo kikwazo kikubwa kinachorudisha nyuma ukombozi wa nchi. Kuna waislamu wanataka kuwaunga mkono chadema ila kila wakifikiria uongozi mzima wa chadema umejaa wakristo na wanahusisha moja kwa moja kanisa kwenye ukombozi wa nchi ndipo wanapofeli mazima...
  18. baz kaiza

    Mambo mengine CHADEMA jifunzeni Kwa CCM Lema Leo akitakiwa kua amefukuzwa CHADEMA

    CCM hawanga utani linapokuja suala la kulinda msalahi ya watu wachache Nchimbi tu kudai Katiba mpya CCM wakamfukuza wanasema hakuna mkubwa linapokuja maslahi ya watu wachache wenye CCM. Sasa chadema kwa ajili ya Maslahi ya wengi na kutoa Onyo kali kwa wengine wenye mawazo kama Lema kupelekea...
  19. Ex Spy

    CHADEMA shtukeni, kuna mkakati wa kumhukumu Lissu kifungo cha miaka 5, hadi 2031

    Endapo taarifa hizi toka vyanzo vya ndani ni za kweli; basi tuna safari ngumu sana kuelekea mbele. Johari ametoa maelekezo kwa Ndunguru kuwa watumie reference ya Kesi ya Hatibu Gandhi na wenzake (inayojulikana kama Hatibu Gandhi and Others v. Republic, Criminal Appeal No. 3 of 1986) ili...
Back
Top Bottom