chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Dennis Robert Shughuru

    CHADEMA iwafute uanachama Godbless Lema, Boniyai, Sugu na Mbowe. Wanakiharibu chama

    Ukisikiliza press conference ya leo ya Lema ni wazi chadema wanatakiwa wawafute haraka sana uanachama Lema, mbowe, boniyai na sugu wana-comprimise chama Mimi sio mwanachama wa chadema ila as long hao watu ni wanachama wa chadema watavuruga kisawasawa sababu wanapiga miguu yote Mfano press...
  2. M

    Lema: Ripoti ya Jaji Lila viongozi wengi wa CHADEMA wataishia Jela

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Godbless Lema akizungumza na Wanahabari Jijini Arusha "Wa ulinzi wa usalama wa taifa wakakubaliana waseme hivi waliokufa kwenye vurugu za uchaguzi wa Oktoba 2025 ni watu 518." "Nikawaambia kwa hiyo unafikiri hizo kesi atapewa nani? Wambieni wananchi wenu...
  3. Tlaatlaah

    Wako wapi wale wafuasi wa kile chama cha saisa cha kushangilia vifo vya wanasiasa, watu mashuhuri na waja wa Allah, walio na maoni tofauti na yao?

    Mbona mko kimya sana leo na hamuonekani kushangilia? Au muda wa kushangilia bado? Au pengine bado mungu wenu hajawapandisha mihemko na kuwapa ujasiri na furaha ya kushangilia kifo cha mwanasheria nguli na mdau wa siasa mashuhuri kilichotokea leo nchini? In fact, ni kitu nonsense sana...
  4. M

    Lema: CHADEMA tubadili mbinu, njia ya chuki haitusaidii

    "Njia ya mbele hii ni ngumu kuliko hii ya sasa ila wananchi wanaweza kuzuia hiyo njia isiwaumize viongozi wao, wananchi wako tayari? Sasa nikizungumza hivyo kwenye mikutano wanaanza ooh Lema umeanza kuwa muoga, sio kuwa kuoga pengine nimeanza kuwa na hekima, nimegundua kuwa njia ya chuki...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    Naungana na Lema katika hili; Huwezi jiita jasiri na shujaa wakati uko nje ya nchi wanawasapuza wenzako wakachinjwe na wanyonya damu

    Hamjambo! Mimi Binafsi Lema Simuamini tangu siku ya kwanza nimemwona. Najua hilo halimsumbui hata yeye kwa sababu sio lazima kumuamini mtu. Lema licha ya kutokumuamini ila ni miongoni mwa viongozi wa Chadema ambao ninaweza kusema anaongea kwa hoja. Na mimi mtu anayeongea kwa hoja hata kama...
  6. instinct desire

    Wafuasi CHADEMA na wanaharakati wa CHADEMA, Heshimuni Viongozi kwasababu serikali ni madhabahu ya Mungu hapa Duniani

    Serikali ni chombo chenye mamlaka ya kusimamia, kuongoza na kuendesha shughuli za eneo Fulani kama vile shule, kijiji, chuo au nchi kwa mujibu wa Katiba na sheria za sehemu husika au nchi husika. Ikumbukwe kuwa serikali zote Duniani ni madhabahu ya Mungu, yapaswa kuheshimiwa. Na hakuna mtu...
  7. instinct desire

    Hii vita inayoendelea kati ya Godless Lema na Mange Kimambi ni mkakati wa kuihamishia CHADEMA ukanda wa Singida

    Ni dhahiri kwamba sasa Heche anatafuta njia za kuihamishia chadema ukanda wa kati Singida kupitia Mangekimambi, anataka aondoe dhana iliyojengeka Toka zamani kuwa Chadema ni Chama cha ukanda wa kasikazini kutokana na waasisi wao kutoka ukanda huo. Niseme tu ukisha kuwa chadema tu tayari upo...
  8. F

    Ushauri Kwa CHADEMA kuelekea 6 November 2026

    Leo ni tarehe 1 November 2026 Saa 12:00AM, usiku,Kwa muda wa kitanzania, tunamshukuru Mungu kutufikisha salama mwezi tuliousubiri muda mrefu. Ni hivi, Msikubali kutengeneza msafara Wala tukio lolote la kukusanya umati wa watu kuandamana kuelekea ofisi za chama au mkutanoni kuhutubia akiachiwa...
  9. Carlos The Jackal

    Lema , Lissu aliyekuteua anataka haki, hataki Upendeleo, CHADEMA haitaki Maridhiano bila Ukweli, UWAZI, Uwajibikaji, Siasa za kidalali zilikoma Jan 21

    Nimesikia kupitia Mitandao ya Kijamii, Kesho una Kikao na Wananchi !! . Kama ambavyo MBOWE amedharaulika ndivo unaenda kua !!. Je NCHI Hiii Kuna Mwanasiasa ambaye angechagua kua sehemu ya CCM asingelikua Bilionea zaidi ya LISSU? Huyu Lissu huyu angetaka kua Makamo wa Rais Serikali ya Umoja...
  10. Z

    CHADEMA na washirika wake sio tu wanapaswa kuomboleza bali wanapaswa kufanya sala ya toba

    Tusijisahaulishe kuwa viongozi wa Chadema wakishirikiana na washirika wao ndio walio chochea watu kuingia barabarani na kufanya fujo na hatimaye baadhi yao kupoteza maisha, isingekuwa chadema na washirika wao kuchochea huenda hata mtu mmoja asinge kufa. Nakubaliana na Chadema na washirika wake...
  11. instinct desire

    Sasa kama nyinyi wafuasi wa CHADEMA siyo magaidi, huko nje mnafanya nini na hamna kazi, zaidi ya kukesha mitandaoni 24Hrs mnatutukana sisi Watanzania

    Hebu semeni nyie wafuasi wa CHADEMA nini kinawafanya muondoke nchini kimagendo mbona ss hatuondoki na tuna enjoy tu maisha. Kwanin mkimbie nchi ili hali hakuna anayewafukuza? Jibu ni Moja tu . Mnaondoka kwasababu mnajijua kuwa nyie ni kikundi cha kigaidi kwahyo mnakimbia mkono wa Sheria...
  12. M

    Chadema wamejifunza nini kwa CUF?

    Lipumba aliondoka mwenyewe Cuf, baadae akarudi kwa nguvu kubwa na kupewa cuf na hatimae maalim akafukuzwa cuf. Kosa la cuf ya maalim ya kutomfukuza Lipumba pale pale alipoondoka tu na kukimbilia Rwanda Chadema wamejifunza nini? Kambaya ndani ya chadema hayumo? Let us wait and see; time will tell.
  13. Q

    Lema apingana na CHADEMA kuhusu Katiba Mpya

    Kauli mbiu kuu ya CHADEMA ni 'No Reforms No Election', yaani hakuna uchaguzi bila mabadiliko ya katiba, hii kauli ndiyo iliyompeleka Lissu gerezani. Lema yeye anasema Katiba haina maana yeyote, inamaana anapingana na chama chake, anapingana na msimamo wa Mkiti wake anaungana na CCM wanaosema...
  14. Mkalukungone Mwamba

    Coletha wa CHADEMA adaiwa kutekwa. Kaka yake ataka wawekwe wazi alipo na kama kuna mashtaka wajue kama familia

    Kaka wa Coletha wa Chadema apaza Sauti kutekwa kwa ndugu yake . Ataka wawekwe wazi alipo Coletha na kama kuna mashtaka wajue kama familia wanafanyaje Mimi kwa majina naitwa Bernard Cravelin Tidicha ambaye ni kaka wa Coleta Cravelin Ticha aliyechukuliwa siku ya tarehe 14 mwezi huu wa 10... na...
  15. MamaSamia2025

    Ni muda sasa wa Lema kufukuzwa CHADEMA baada ya Kiongozi mkuu wa CHADEMA Mange Kimambi kumtaja rasmi kama msaliti

    Ninampongeza kiongozi mkuu wa CHADEMA Mange Kimambi kwa kumtaja rasmi Godbless Lema kama msaliti wa harakati zao. Hii imetokea baada ya Lema kutamka jukwaani kuwa CHADEMA hakitafanya fujo wala kumwaga damu kitu ambacho ni kinyume kabisa na msimamo wa chama chake. Mimi siungi mkono vurugu wala...
  16. instinct desire

    Nyie CHADEMA mbona mlisema Lissu ameanza mgomo wa kula, wakati si kweli, visahani vinafutwa kama kawaida

    Sisi wanazuoni tulishaanza kufanya tafiti on How long can a person survive without food before they die? Tanzania as a case study. Huwa Kila siku nasema humu, hakuna chama cha matepeli kama chama cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) NI matepeli kuanzia kauli, matendo mfano kuzindua nyumba ya...
  17. Parabolic

    Lissu aanza mgomo wa kula. CHADEMA yasema mawakili wake wamezuiwa kumwona gerezani

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza kuwa Mwenyekiti wake, Tundu Lissu, ameanza mgomo wa kula kuanzia Oktoba 26, 2026, huku chama hicho kikilalamikia kuzuiwa kwa mawakili wake kumwona gerezani. Hatua hiyo inafuatia taarifa iliyotolewa na Mwanasheria Mkuu wa chama hicho, Dk...
  18. T

    CHADEMA Tunaomba mtoe tamko tuko tayari kwa ajili ya maandamano MO29

    Chadema tunahitaji neno lenu tu tuanze maandamano. Hayo matamko ya polisi ni ujinga tu na kupoteza muda. Tuko tayari wananchi tumeshaiva. Tuko tayari kumwaga damu kwa ajili ya taifa letu. IMETOSHA IMETOSHA IMETOSHA.
  19. E

    Wanaharakati na Chadema kampeni ya free flani.... kila baada ya mtu kupotea ni kampeni mfu

    Kila baada ya mtanzania kupotea Chadema na wanaharakati huanza na free flani, free Mdude, free Soka nk... ni kama mnawapongeza tu watekaji nafikiri hata anayewatuma anafurahi akiwaona mnasema free flani kwa sababu anajua mnaumia.
  20. Crocodiletooth

    Kuwa mwana CHADEMA maana yake ni kujihusisha na vitu au mambo yasiyowezekana!...

    Nimetafakari sana leo hii asubuhi na kulingamua hili,its totally lost of times on trusting what is not possible!... Ni kuwa mwanaharakati,na kuwa busy kwa kushindana na kesi mbali mbali mahakamani alimradi tu,days count old came with no achievements. Record mbalimbali zinatuonyeaha kwa waenga...
Back
Top Bottom