chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. L

    Hata Maria Sarungi Naye alitengenezaga Maigizo Ya Kujifanya Ametekwa . Watanzania Kaeni kwa Kutulia na Muwe makini sana na Maigizo

    Ndugu zangu Watanzania, Kuweni Makini sana na Maigizo yanayoletwa kwa njia tofautitofauti. Maria Sarungi amewahi kufanya Maigizo ya kusema Ametekwa halafu eti baadaye akajifanya kwamba eti aliwashinda nguvu watekaji . Lengo likiwa ni kutaka kuichafua Nchi yetu na serikali yetu kwa maslahi...
  2. Idugunde

    CCM na serikali yake inataka kutuaminisha walioratibu maandamano ya Oktoba 29 ni wanaharakati wa CHADEMA waliokuwa Nairobi?

    Inasemekana Pambalu alikamatwa akitokea Nairobi Kenya. Alipoingia nchini mkoani Arusha akakamatwa na sasa ameshitakiwa kwa uhaini. Mwenzake nasikia ametekwa jana. Waliomteka inasadikiwa ni Wanausalama wa kitanzania. Je, hawa wanaharakati waliokuwa wameweka kambi hapo Nairobi ndio walipanga huo...
  3. L

    Kuna Uwezekano Mkubwa CHADEMA Wakawa Wameanza Kutengeneza Sinema za kutekwa Kenya Ili Kuichafua Serikali na kutaka Kupata pesa kutoka kwa Wafadhili

    Ndugu zangu Watanzania, CHADEMA huwa wana mambo ya kihuni huni sana na Mbinu za kijinga jinga sana . Kuna Uwezekano Mkubwa sana CHADEMA wakawa wanataka kutengeneza Sinema za Kujifanya wametekwa Kenya Ili Kuichafua Nchi yetu . Lakini pia Wanaweza kufanya hivyo ili wajipatie pesa za kukimu...
  4. B

    Mzee wa CHADEMA anena mambo mazito kuhusu kesi ya Tundu Lissu, haki itendeke!

    23 October 2026 Ikunga, Singida Tanzania MSIKILIZE HUYU MZEE WA CHADEMA ANENA MAMBO MAZITO KUSU KESI YA TUNDU LISSU, HAKI ITENDEKE https://m.youtube.com/watch?v=GxLhVIJw8WI Mzee atoa nasaha nzito mkumbuke haki isipotendeka waheshimiwa majaji ... Mzee mnajua maana ya Jamhuri, Jamhuri ni Nani ...
  5. Son of Israel from Africa

    Nini CHADEMA wamefanikiwa kwa utawala huu wa Ndugu Samia

    Wanajamvi salama kwenuu. Leo tuweke mambo makubwa ya waliofanikiwa CDM toka uongozi wa Mh Tundu antipas Lisuu. 1. Chadema wamefanikiwa kusumbua kwa hoja kutuu huu utawala vibaya mnoo kila aliye ndani ya utawala wa mh sana Samia anazunguka tuu CDM oo Sijui Heche sijui Msigwa sijui Lisuu anzia...
  6. Q

    CHADEMA yatoa wito kwa Watanzania kuanza migomo Jumatatu kumuunga mkono Mwenyekiti wao

    Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika ametoa wito kwa watanzania kufanya migomo mbalimbali ili kuunga mkono mgomo wa kula unaotarajiwa kufanywa na Mwenyekiti wa Chama hicho Tundu Lissu, kuanzia Jumatatu ya Oktoba 26, 2026.
  7. R

    Ushauri kwa CHADEMA na Lissu

    Bwana Lisu, usiache kula, kwa vile 6.11.2026 ni hukumu, let us wait for the hukumu, then from there, you and Chadema and all Well Wishers can decide the way forward! Ni hilo tu kwa leo!
  8. Kipenzi Changu

    Msimamo wangu kuhusu viongozi wa Chadema ni tofauti kidogo!!

    Sijuani hata na mmoja wao, hata kwa sura tu sijawahi kuwaona live. Nipo upande wao kwa sababu mara zote mimi nipo upande wa kundi linaloonewa. Huu msimamo wangu popote pale. Naumizwa sana na anayopitia Mh. Tundu Lissu gerezani. Nimekuwa nikimuombea sana. Naumizwa sana na hawa wengine...
  9. Carlos The Jackal

    CHADEMA yangu, ni lazima Kila Mwaka tuwe na Wiki ya Kumbukumbu Mauaji Oktoba 29 2025 Kuanzia Tawi mpaka Taifa .Tuna siku 4, Chama kitangaze rasimi hil

    Kama Kuna jambo CCM watatumia Kila namna ili TU hii kumbukumbu isiwepo ni Haya Mauaji ya Kimbali ya Oktoba 29 2025. Kama Chama tusikubali Kamwe kuingia kwenye Mtego unaodogosha Mauaji haya . Mauaji yale hayakuwa ya Ajali ya Moto, Wala Meli kuzama Baharini, ni MAUAJI YA VYOMBO VYA DOLA KUTUMIA...
  10. C

    Sugu aripoti kukamatwa kwa katibu wa CHADEMA kanda ya Nyasa Grace shio

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Nyasa kimesema kinafuatilia taarifa za kuchukuliwa kwa Katibu wake wa Kanda hiyo, Grece Shio, ambaye inadaiwa alichukuliwa na watu waliojitambulisha kuwa polisi usiku wa kuamkia leo akiwa nyumbani kwao Kimara, Dar es Salaam. Taarifa...
  11. L

    Siku Hilda Newton wa CHADEMA Akikamatwa Na kuletwa Nchini haitakuwa na Sababu ya Kufanya naye Mahojiano wala Kutangaza kama Kakamatwa

    Ndugu zangu Watanzania, Huyu Mwanamke ameshavuka na kukanyaga mistari yote . Amevuka viwango vyote vya kumvumilia . Havumiliki popote pale Duniani . Siku Akikamatwa haipaswi hata kuhojiwa ama kutangazwa kama Kakamatwa .
  12. Ziroseventytwo

    Kiongozi mwingine wa CHADEMA katekwa. Ni Mwenyekiti wa Bawacha mkoa wa Rukwa

    Grece Shio ambaye ni mweka hazina kanda ya Nyasa amechukuliwa na watu waliojitambulisha kama askari polisi akiwa nyumbani kwake Kimara Daresaalam. Grece ambaye pia ni mwenyekiti wa Bawacha mkoa wa Rukwa alikamatwa ahsubuhi ya jana akiwa nyumbani kwake. Wanachadema na watetezi wa haki za...
  13. Idugunde

    Ni taifa la kutekana tu. Wafuasi wa CHADEMA walitekwa na mpaka sasa wapo Magerezani

    Tumefikia pabaya sana. Watu wanatekwa kama tupo Syria au Yemeni kwa Wahouthi👇
  14. N

    CCM tunafurahi kwa Lissu kukosa tuzo ya SAKHAROV ila CHADEMA na wanaharakati mnatukwaza kwa kutuuliza mwenyekiti wetu ameshika nafasi ya ngapi

    Hivi nyie CHADEMA na wanaharakati mna akili timamu kweli? Kwanini mnatuuliza swali lisilo na jibu kuhusu mwenyekiti wetu na nafasi aliyoshika kwenye tuzo za Sakhrov? Tunajua Mabeberu hawakumpendekeza '🪑 man' wetu bingwa wa demokrasia na uchaguzi huru Tanzania sababu wanajua angeshinda kwa...
  15. instinct desire

    CHADEMA mbona hamsemi kuwa mmebwagwa kwenye tuzo ya Sakharov?

    Hii tuzo inaitwa "Sakharov Prize for Freedom of Thought" ni tuzo inayotolewa na Bunge la Ulaya kwa watu au mashirika yanayotetea haki za binadamu na uhuru wa mawazo. Licha ya chadema kukesha kwenye bunge la Ulaya lakini mabeberu yamekataa kuwapa tuzo yamewaona ni matepeli. Sababu iliyowanyima...
  16. Parabolic

    Uongozi wa CHADEMA wakutana na Balozi Eleanor Sanders

    Oktoba 21, 2026, Ujumbe wa CHADEMA ukiongozwa na Katibu Mkuu wa chama, John Mnyika, ukiwa na Mwanasheria Mkuu, Dk Rugemeleza, na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi, Brenda Rupia, umekutana na Balozi wa Uingereza anayeshughulikia masuala ya haki za binadamu, Eleanor Sanders pamoja na Balozi wa...
  17. T

    Naomba nikumbushwe kama kuna mwanaCCM yeyote aliyejitokeza na kupinga hoja za Heche na Chadema kwa ujumla

    Hivi ni kwa nini CCM wasijibu hoja za CHADEMA? Wanachoogopa ni nini? 1.Heche ametoa madai mazito sana kuhusu mikataba ya rare earth elements. CCM kimya 2.Heche ametoa madai ya kuua viwanda na badala yake fedha yetu kupelekwa nje. CCM kimya. 3. Heche ametoa madai ya kuwa Bi hakuchaguliwa...
  18. figganigga

    Viongozi wa CHADEMA Wilaya ya Rungwe Mkoa wa Mbeya wamepata ajali mbaya jioni ya Leo

    Viongozi wa Chadema Wilaya ya Rungwe Mkoa wa Mbeya wamepata ajali mbaya jioni ya Leo walipo kuwa wakienda kwenye harambaee ya ujenzi wa ofisi ya chama Kijiji Cha Ilundo Kata ya Kiwila Hakuna aliumia wala kufariki dunia
  19. MWANDAMBO

    Mkakati wa kuibadilisha CHADEMA kutoka ndani: Kumdhoofisha Lissu na Heche kutazaa vuguvugu ambalo halitadhibitika

    Na Anderson Ndambo Kuna makosa makubwa ambayo watawala wanaweza kufanya wanapojaribu kutatua mgogoro wa kisiasa: kudhani kwamba kwa kuwaondoa viongozi wanaopinga masharti yao, wanaweza pia kuondoa madai ya wananchi wanaowafuata. Kwa mtazamo wangu, Tanganyika inaweza kuwa inaelekea katika...
  20. instinct desire

    Rais wa TLS ndugu Mwabukusi akiondolewa ofisini litakuwa pigo kuwa sana kwa CHADEMA

    Hawa watu wanategemeana sana TLS+CHADEMA+KATIBU WA T...C hawa watu wanategemeana sana. ukiona mmoja anakosa ujue wana-share Hivi sasa tunaendelea kushinikiza Rais wa TLS aachie ofsni kwasababu ya sababu za kinidhamu kwahyo chadema kuweni wavumilivu katika kipindi hiki kigumu.
Back
Top Bottom