chadema

CHADEMA (Chama cha Demokrasia na Maendeleo)
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ni chama cha kiasiasa nchini Tanzania ambacho kilianzishwa tarehe 28 Mei 1992 na mwanasiasa mkongwe Edwin Mtei, aliyewahi kuwa Waziri wa Fedha katika miaka 1997 hadi 1979.

Mwaka 2000 CHADEMA hakikuwa na mgombea wa Urais. Mwaka 2005 mgombea wa CHADEMA Freeman Mbowe alikuwa namba tatu kati ya wagombea kumi akapata asilimia 5.88 za kura.

Mwaka 2010 CHADEMA ilipata asilimia 27.1% na mgombea Urais wa chama Wilbroad Peter Slaa na kura 4,627,923 kwa 31.75%.

Hata hivyo CHADEMA imekataa matokeo mengi kutokana na mchakato mzima kuwa mikononi mwa Tume ya Uchaguzi isiyo huru.
  1. Ex Spy

    CHADEMA shtukeni, kuna mkakati wa kumhukumu Lissu kifungo cha miaka 5, hadi 2031

    Endapo taarifa hizi toka vyanzo vya ndani ni za kweli; basi tuna safari ngumu sana kuelekea mbele. Johari ametoa maelekezo kwa Ndunguru kuwa watumie reference ya Kesi ya Hatibu Gandhi na wenzake (inayojulikana kama Hatibu Gandhi and Others v. Republic, Criminal Appeal No. 3 of 1986) ili...
  2. M

    Dr. Slaa: Kwa Press ya jana, Lema kajiweka wazi kuwa ndiye agent wa CCM kuwauza wenzake ndani ya CHADEMA

    Dr Slaa amlipua Lema kuhusu Press conference yake. https://youtu.be/3GiiOtpAgPw?si=tapw60NlNh7xEUpW
  3. K

    Chadema kuweni makini fuatilieni ushahidi kwenye swala la Lema

    Chadema kuweni makini fuatilieni ushahidi kwenye swala la Lema. Watu wa CCM wanataka kuleta mchafuko kwa kumtumia Lema na kumsingizia. Habari za sirisiri ambazo wana harakati wanapewa wawe makini na hizo habari inawezekana kabisa wanao wapa habari wanawapandikizia mambo ya uzushi.
  4. N

    Ndugu zangu wa CHADEMA, kutuma salamu za pole ya msiba kwa IGP Wambura sio ishara ya udhaifu bali ni ukomavu mkubwa sana kisiasa (Political Maturity)

    NB: Nina Akili Ndogo Sana. Mimi sio mwana CHADEMA. Mimi sio mwana CCM. Mimi sina political affiliations na Chama chochote kile cha kisiasa hapa Tanzania/duniani kwa ujumla. Baba yangu Lissu (hajanizaa ila ninamheshimu sana) alipokuwa Mahakamani alisema kwa sauti "mpelekeeni mama (Rais Samia)...
  5. Mkalukungone Mwamba

    Katibu wa CHADEMA mkoa wa Mbeya Hamadi Mbeyale akamatwa na polisi, nyumbani kwake na kufanyiwa upekuzi

    Katibu wa Mkoa wa Mbeya Hamadi Mbeyale amekamatwa na Jeshi la Polisi tangu Jana Tarehe 01 Novemba, 2026 majira ya Jioni na muda huu wametoka nyumbani kwake kufanya Upekuzi bila kusema Wanamshikilia kwa Kosa Gani, Wamempeleka katika Kituo Cha Polisi (Central). Soma Pia: Katibu wa CHADEMA...
  6. Ritz

    Chadema tuliwaonya sana hamkusikia

    Wanaukumbi. TULIWAONYA sana kuwa mnakaribisha wanaharakati kwenye chama chenu wanakwenda kukuvunja na kukibomoa na kuwaondoka kabisa kwenye siasa hamkusikia. TULIWAAMBIA wanatumia chama chenu kufanya ajenda zao za harakati hamkuwa mnasikia na matokea yake mkaona hawa ni wenzenu na mna safari...
  7. Zack Abdul

    Msipomsikiliza Lema CHADEMA mmekwisha

    Mwenye kusikia na asikie, "Nabii" lema kashachora picha/sand model ya shimo ambalo Chadema inaenda kuingia kuanzia sasa kama itaendelea kuendeshwa na wanaharakati ambao yeye Lema kasema kwamba HAWAPO GROUND kwa maana kwamba hawajui nini kinaendelea huku ndani. NABII lema amesema Chuki na Vurugu...
  8. Eli Cohen

    Ile model iliyobuniwa na Magufuli ili kuivurugua CHADEMA sasa imefanikiwa

    Ni ngumu sana mmea kukua kwa afya kama mizizi yake inachokonelewa chokonolewa. NJAA NA HOFU HAVIKAI MBALI.
  9. econonist

    Maoni yangu: Lema ni dalali na anataka CHADEMA irudi kwenye udalali

    Kwa press ya Jana ya Lema amekiri kwa kauli zake kwamba yeye ni dalali na anataka CHADEMA irudi kwenye udalali. 1. Kwanza kabisa, Lema kanishtua sana aliposema ya kwamba alikutana na Makamu wa Rais pamoja na Mwanasheria Mkuu wa serikali. Nimeshangaa sana, kwa sababu hata machawa wa CCM na...
  10. L

    CHADEMA Wataka Lema Apewe Wenyekiti wa Chama Taifa Ili kukivusha Chama na kukiondoa katika Makucha ya wanaharakati uchwara

    Ndugu zangu Watanzania, Hiyo ndio habari ya Mjini kwa sasa ambapo wana CHADEMA wana taka Lema apewe mikoba ya Wenyekiti wa Chama Taifa ili awavushe na kukiunganisha chama. Wanaona Lema ni mtu sahihi mwenye uwezo wa kurejesha umoja nidhamu na kukiondoa chama kutoka mikononi Mwa Wanaharakati...
  11. Z

    Ahsante sana Lema, nakubaliana naye 100% CHADEMA ya sasa inapaswa kufutwa haraka sana.

    Hakuna kisiki kigumu kilikuwa ndani ya Chadema kama Lema. Leo hii unamsikia Lema anawatuhumu viongozi wake hadharani, basi jua kuna jtatizo zito sana. Kwa maelezo ya Lema ni kwamba kwa sasa Chadema hakifai kuwa Chama cha siasa na anashangaa kwa nini Msajili wa vyama anachelewa kukifuta mara...
  12. Dr Adam Francis

    Naiona CHADEMA ikisambaratika, nani alaumiwe?

    Dola haziangushwi na maadui kutoka nje, historia inatufundisha kuwa Dola huuawa na vita zake za ndani kwanza hatimaye maadaui wanje humalizia kazi. Ndio maana waswahili husema mjenga nchi ni mwananchi, kadhalika mbomoa nchi ni mwananchi. Chama kikubwa kama CHADEMA kilichopitia misukosuko mingi...
  13. C

    Kwa mujibu wa Katiba ya CHADEMA, Toleo la 2019; Lema ametenda kosa (makosa) ya kinidhamu

    Tuanze kwa kuangalia MAKOSA YA KINIDHAMU kwa mujibu wa Katiba ya CHADEMA (2019). Katiba ya CHADEMA inayoshughulikia nidhamu ni "SURA YA TANO, IBARA YA 7 na IBARA YA 8." IBARA YA 7: NIDHAMU YA WANACHAMA 7.1 - Kila mwanachama ana wajibu wa: (a) Kuitii na kuheshimu Katiba ya CHADEMA. (b)...
  14. Carlos The Jackal

    CHADEMA hatuhitaji Siasa za kuisindikiza CCM na kuipa uhalali ,LEMA na MBOWE ni magugu ya mwisho Mwisho kung'olewa kutoka chamani!

    Kwa miaka yote tangu 1992, CCM imeunda vyama Uchwara ,ikiwajua wanasiasa wéngi ni waganga njaaa . Ushindi wa LISSU na HECHE ,umebadili Siasa za Nchi Naamini kama Wananchi, NJIA ya CHADEMA ndio NJIA sahihi , ni lazima Mwananchi achague Diwani ,Mbunge na Rais anayemtaka. Habari za kupewa...
  15. Sifi Leo

    Lema anasema njia ya chuki haitasaidia CHADEMA, kuing'oa ccm huyu jamaa ni kichaa, CHADEMA wasipende ccm ndo watatoboa? "Stupid"

    Hivi kuna chama kimepoteza wanachama kama CHADEMA?walio waua ni akina nani?leo hio lema unawambia CHADEMA watumie njia gani ili watibiwe? Umemsaau mke wa alifonsi mawazo? Mwanae unadhania wanaweza wapenda wana ccm? Mke wa Lissu na wanawe wanaweza kupenda ccm realy? Wewe umechangia njia ya kigese...
  16. Hance Mtanashati

    CUF imekufa. Je, tutarajie kifo cha CHADEMA? Nani atawasemea wananchi kama ndio hivyo?

    Chama cha wananchi CUF kilikuwa ndio chama cha upinzani chenye nguvu zaidi hapa nchini na ilibaki kidogo tu kichukue nchi lakini yalitokea yakutokea hatimaye chama kikafa na kikapotea kabisa , ule mvuto au ushawishi uliokuwa nao kwa wananchi umepotea mazima , ndipo hapo Chadema kikajipenyeza...
  17. R

    Contrary to my expectations, nilidhani Lema atatangaza kujiondoa Chadema

    Ingependeza akaenda CCM awe na amani ambako hawabadiri mbinu. Pumbavu hajaongelea mauaji ya 29.10.2025 anaona sawa tu CHADEMA itumie njia ya amani! Hakuna anayependa fujo hakuna ila circumstances zinawapelwka watu huko.
  18. C

    Hilda Newton: Lema alimuhakikishia usalama John Pambalu akirudi Tanzania ila akaishia kukamatwa na Polisi

    Juzi niliwambia kwamba kuna mtu alimshauri Pambalu arudi Bongo ila sikumtaja huyo mtu nani. Sasa iko hivi, huyo mtu ambae alimshauri Pamablu arudi bongo ni Godbless Lema na yeye ndo alimuhakikishia Pambalu kwamba atakuwa salama alienda mbali zaidi akasema kwamba kazungumza na Mafwele kila kitu...
  19. L

    Kwa Sasa CHADEMA ni Kama Wajenzi wa Mnara wa Babeli huku CCM ikiendelea kuchanja Mbuga Mioyoni Mwa Watanzania. Furaha Yangu ni CHADEMA Ikifarakana

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa Sasa CHADEMA ni kama Wajenzi wa Mnara wa Babeli. Wanaruka na kukanyagana utafikiri Walevi wa gongo . Kila mtu anaruka kivyake na kutoka kivyake . Kila mtu anapuyanga kivyake ,kila mtu na njia yake . Chama kimeota Mapembe na kila mtu ana ndevu utafikiri Mabeberu...
  20. L

    Rais Samia Aanza Kutandika Lami Ya Njia Nne Mkoa wa Mbeya Kwa Kasi ya Ndege Vita. CHADEMA Washinda Barabarani wakijipiga Picha Utafikiri Wahitimu

    Ndugu zangu Watanzania, Pesa Za Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha reli, shujaa wa Afrika,jasiri muongoza njia,Nyota ya Matumaini na nuru ya Wanyonge. Anaendelea kubadilisha sura na muonekano wa jiji la Mbeya Kwa...
Back
Top Bottom