TAARIFA KWA UMMA
TAMKO LA CHAMA KUFUATIA MKUTANO WA SAMIA SULUHU HASSAN NA VYAMA VYA SIASA NCHINI NA KAULI YA KUUNDWA KWA TUME YA MARIDHIANO NA UPATANISHI ITAKAYORATIBU MAANDALIZI YA MCHAKATO WA MAREKEBISHO YA KATIBA YA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
Akizungumza na waandishi wa habari katika makao makuu ya CHADEMA leo tarehe 24 Novemba, 2026, John Heche amesema kuwa maridhiano ya kweli yanapaswa kuhusisha pande mbili zilizo katika mgogoro halisi, akisisitiza kuwa haileti mantiki kufanya maridhiano na watu au makundi yenye mtazamo na...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, amesema chama hicho kiko tayari kushiriki mazungumzo na Serikali iwapo yatakuwa na nia njema, uwazi na kutokuwa na hila, akisisitiza kuwa sharti la kwanza ni Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu, kuachiwa huru.
Novemba 24, 2026 Heche amesema msimamo...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, amesema mgogoro wa kisiasa nchini upo kati ya chama hicho na CCM pamoja na Serikali, akipinga mchakato wa maridhiano unaohusisha vyama ambavyo havina mgogoro na Serikali.
Heche ameyasema hayo Novemba 24, 2026 wakati akitoa tamko la chama kufuatia...
Jukwaa la Vijana wa Vyama vya Upinzani Tanzania, likiongozwa na Mwenyekiti wake Masoud Mambo, limetoa mapendekezo kwa Serikali kuhusu mchakato wa maridhiano ya kitaifa, likitaka vijana washirikishwe moja kwa moja katika hatua zote za mchakato huo.
Jukwaa hilo limepongeza utashi wa kisiasa...
Miaka minne ni mingi, na CHADEMA wakifanya masihara Tundu Lissu anaweza kufungwa miaka minne kweli na mtaani maisha yakaendelea.
Nasema hivyo kwa sababu Tundu Lissu alivyokamatwa hakuna mtu aliyetarajia atakaa mahabusu kwa siku 500, ila ndio hivyo siku 500 zimepita, sababu CHADEMA hawakuwa na...
Wakuu,
Mwanasiasa Godbless Lema ameeleza hofu ya viongozi kufanya mikakati ya mashauriano ya chinichini (strategic engagement) kwa kuogopa kuitwa wasaliti au kuonekana wamepewa pesa na serikali, hali inayoweza kusababisha wanachama kuendelea kuozea magerezani kwa mambo ambayo yangeishia...
Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu, ametoa wito wa Watanzania kuepuka migogoro isiyo na tija na kushirikiana kujenga taifa, akisisitiza kuwa maendeleo ya Tanzania yanahitaji ushiriki wa wote bila kujali tofauti za vyama vya siasa.
“Tuepuke migogoro isiyokuwa na maana, mbona Rais kanyanyua mikono...
Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi amesema vyama 18 vya Siasa vimeshiriki katika Mkutano wa Vyama vya Siasa, akibainisha kuwa kuna chama kimoja ambacho hakijashiriki kwa sababu bado “kinajitafuta”. Akizungumza Oktoba 7, 2026 katika mkutano huo, Jaji Mtungi amesema kila chama...
Othman Masoud Othman, aliyeapishwa Zanzibar kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais, ana nguvu gani ya maamuzi akiwa ametoka ACT Wazalendo?
Anaweza kuagiza au aka command nini?
Ni upinzani au ni mshirika wa CCM?
Au ni stooges tu, yupo kwa ajili ya kupata ving’ora na mihela?
ACT Wazalendo wao, kila uchaguzi ukiisha, wanaitwa kwenye maridhiano kugawiwa vyeo. Dalali Zitto alicheza kama Pele kuipeleka ACT Zanzibar.
Hiki chama yaani wao huwa kinasubiri uchaguzi uishe, kigawiwe vyeo, kisha kisubiri miaka mingine mitano.
Akizungumza katika mkutano wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) leo Septemba 08, 2026, mwanachama wa chama cha CHAUMMA na Katibu wa zamani wa chama hicho, Salum Mwalimu ametoa wito kwa wadau Tanzania bara kufuata mfano wa maridhiano yanayoendelea Zanzibar, akisisitiza CCM na serikali ina...
Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC) umeishauri CHADEMA kutafuta suluhu ya kudumu ya changamoto zao ikiwemo shauri la mwenyekiti wake, Tundu Lissu, kwa njia ya mazungumzo yenye maslahi mapana kwa umma.
Aidha, THRDC imewashauri wanasiasa wote kwenda kwenye meza ya mazungumzo kwa ajili...
"Maridhiano sio kwa ajili ya Vyama Vya siasa tu. John Heche, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, (CHADEMA) anaposema maridhiano hadi awepo Tundu Lissu ni utashi wake yeye kwamba yeye anaamini hivyo!
"Lakini maridhiano yanaweza kufanyika kwa sababu Tundu Lissu ana kesi...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amewataka waandishi wa habari na vyombo vya habari nchini kuwa mabalozi wema katika kueneza na kuunga mkono jitihada za maridhiano ya kitaifa zinazoongozwa na Rais Samia
Akizungumza na waandishi wa habari leo Agosti 11, 2026, Chalamila...
Moja ya jambo baya kwa viongozi ni unafiki na ndo umelitafuna taifa letu kama cancer. Vyama vya upinzani tunaamini Kuna siku vitapewa nafasi ya kuongoza nchi yetu .
Hivyo tunapoona kabla ya kupewa hiyo ridhaa wanakuwa wanafiki ni ishara mbaya sana kwenye hicho chama.
Nawauliza ndugu zetu Act...
Maoni ya Dkt. Dennis Muchunguzi, Mkurugenzi Mkuu Taasisi za AFREDA na Rais wa Taasisi ya ACERICAANDO na Mtaalam wa maendeleo ya Kijamii na kiuchumi, mtaalam wa Lugha, maridhiano, upatanishi na ujenzi wa Amani
.Kwenye maridhiano kama ya kwetu haya, hatuhitaji upatanishi. Mara nyingi tumekuwa...
Akizungumza katika mkutano na Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam, Julai 26, Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana Taifa ya chama cha ACT-Wazalendo, Abdul Omary Nondo amewasilisha mapendekezo makuu matano yanayopaswa kutekelezwa na Serikali:
Kuachia Huru Tundu Lissu: Alisisitiza kuwa kuachiwa kwa...
Mwanasiasa Odero Charles Odero ametoa wito na kumtaka kaimu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA,John Heche kurudi kwenye Maridhiano na kama kweli anania ya dhati ya Tundu Lissu atoke nje anatakiwa awe na mahusiano mazuri na Seriakali na aache kusingizia Mwenyekiti wake kuwa...
Kaimu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, ametoa msimamo wa chama hicho akisema hakutakuwa na mazungumzo yoyote na Serikali iwapo Mwenyekiti wa Chama hicho, Tundu Lissu, atakapoachiwa huru na vikao halali vya Chama kuketi na kutoa uamuzi kuhusu hatua zinazofuata.
Heche ametoa msimamo huo Julai...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.