maridhiano baada ya uchaguzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. E

    CCM ichague moja: Kuendelea na kesi ya Lissu au kuingia kwenye maridhiano

    Makamu Mwenyekiti wa CCM, Stephen Wasira, hivi karibuni amesikika akisema kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, ndiye anayechangia kucheleweshwa kwa kesi yake ya uhaini kwa kuwasilisha mapingamizi mara kwa mara. Akizungumza katika kipindi cha Dakika 45 cha ITV Julai 20, 2026, Wasira pia...
  2. Waufukweni

    PostGE2025 Dkt. Bana: Siku hizi Mzee Butiku kimya na kimya kingi kina mshindo mkali

    Aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Nigeria, Dkt. Benson Alfred Bana, amesema "Sioni watu wenye hekima kama walivyokuwa kina Mzee Warioba wakati ule, au kama tunavyomchukulia Mzee Obasanjo sasa hivi kwenye siasa za kimataifa." Ameongeza kuwa "Sioni mtu wa kwenda hapa na pale; anatoka CHADEMA...
  3. Waufukweni

    PostGE2025 Dkt. Benson Bana: Maridhiano lazima yawe na mpatanishi

    Aliyewahi kuwa Balozi wa Tanzania nchini Nigeria Dkt. Benson Alfred Bana amesema ili kupatikana kwa maridhiano ya kweli moja ya mambo yanayopaswa kuzingatiwa ni kuwepo kwa dhamira ya kweli huku mpatanishi akiwa katikati ya pande mbili zilizokosana. Amesema hayo akizungumza kwenye mahojiano na...
  4. Waufukweni

    Selasini aishauri CHADEMA kuhusu maridhiano, asema CHADEMA lazima imshirikishe Rais Samia

    Mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Joseph Selasini, amesema haiwezekani kukataa maridhiano bila kwanza kuwepo mchakato wa kuyafikia. Amesema mchakato huo unapaswa kuwa na wajumbe, mwenyekiti na ajenda za kujadiliwa, ambapo pande zinazohusika zinaweza kukubaliana au...
  5. Waufukweni

    Makame: Tamko la CCM na ACT halipo Kikatiba, Wazanzibari walitaka Serikali ya Umoja wa Kitaifa

    Naibu Mkurugenzi wa Siasa na Matukio wa Chama cha Wananchi (CUF) Zanzibar, Ali Makame Issa amebainisha kuwa kuingia ndani ya Serikali ya Umoja wa Kitaifa ni maamuzi ya kikatiba ya Wazanzibari wenyewe, na si jambo linalopaswa kuamuliwa nje ya misingi hiyo ya kisheria. Chama hicho kimeeleza...
  6. Waufukweni

    Rais Samia: Maridhiano si udhaifu

    Rais Samia Suluhu amesema maridhiano ni ishara ya ukomavu wa kisiasa unaojenga umoja na kuheshimiana, akisisitiza kuwa siasa zinapaswa kuongozwa na hekima, utu na maslahi ya taifa badala ya mivutano isiyoisha. Amesema wananchi wanahitaji amani, usalama na utulivu, akizungumza Julai 9, 2026...
  7. Waufukweni

    Prof. Tibaijuka: Lissu kuendelea kusalia Gerezani haina afya, Nchi haiwezi kutulia bila maridhiano

    Mwanazuoni na Waziri wa zamani, Profesa Anna Tibaijuka, amebainisha kuwa nchi haiwezi kupata utulivu wa kweli wa kisiasa ikiwa hakuna maridhiano ya dhati, huku akisisitiza kuwa kuendelea kusalia gerezani kwa Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, hakuna afya kwa ustawi wa taifa. "Na nchi...
  8. Waufukweni

    Bananga: Mikono ya Rais Samia iko wazi kwa maridhiano, ni wakati wa kuiponya nchi

    Katibu wa Siasa na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Dar es Salaam, Ally Bananga, amesisitiza kuwa Rais Samia Suluhu ameonyesha dhamira ya dhati ya kuiponya nchi kwa kunyoosha mikono yake tayari kwa mazungumzo na maridhiano ya kisiasa. Akizungumza Juni 19, 2026, katika mahojiano na...
  9. political monger senior

    Marekani inataka maridhiano baina ya Serikali na vyama vya upinzani

    Bunge la Seneti la Marekani limetaka kuanza kwa mazungumzo ya maridhiano kati ya Serikali inayoongozwa na CCM na vyama vya upinzani, ikiwa ni sehemu ya mapitio ya uhusiano wa Kidiplomasia kati ya Marekani na Tanzania. Sharti hilo limejumuishwa katika fasili B(4) ya kifungu cha saba cha Muswada...
  10. Egnecious

    CHADEMA nendeni kwenye maridhiano ndipo mdai Katiba Mpya

    MNYIKA unadai Bajeti ya katika mpya kwenye Serikali Ipi? nyinyi hamuitambui Serikali lakini mnataka bajeti iweke takwa lenu,kwanza mnachopaswa ni kuitambua Serikali halali ya awamu ya sita kisha mkae chini kwenye maridhiano haya mengine yote yatafanyika ama lah endeleeni na siasa zenu za...
  11. McLaren

    Kwa kauli hii ya Msigwa na jinsi upepo ulivyo hapa kuna maridhiano kweli?

    Wakuu, Natafakari tu. Juzi tulimsikia Msigwa akisema plain and open kuwa hakuna mtu atakayelazimishwa kuingia kwenye maridhiano. Hii kauli ya Msigwa haitofautiani sana na zile kauli walizokuwa wakitoa CCM kipindi kile cha Uchaguzi. Walikuwa wanasema kabisa kwamba kama CHADEMA hawataki...
  12. Waufukweni

    GE2025 Polepole: Watanzania msikubali MARIDHIANO baada ya Uchaguzi, Turidhiane sasa!

    Aliyekuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole, akizungumza kwa njia ya mtandao usiku wa Septemba 3, 2025, amesema, "Turidhiane sasa, na Mtanzania yeyote mwenye mapenzi mema na nchi hii atasimama imara kusema turidhiane sasa na siyo baadaye. Watakaoridhiana baadaye na matendo...
Back
Top Bottom