Waliouwawa kipindi cha uchaguzi wa 2025, ni Watanzania wenye itikadi mbalimbali, Wana CCM, Chadema na wasio na vyama
Kufanya maridhiano kupitia majukwaa ya kisasa na kuhusishwa vyama pekee, haitatosha, Watanzania waliopoteza watu wao hawatatendewa haki
Kwa MAONI YANGU,
Juhudi zilizoelekezwa...
Kuna kilipu ya baba wa taifa hayati Mwl J.K. Nyerere akizungumzia juu ya revolution for change. Anasema wanaoogopa mabadiliko ni wanyonyaji na kwamba masikini wako tayari kujaribu siku zote na hawana cha kupoteza
Siku ccm na cdm wakifanya Maridhiano, wakishikana na kukumbatiana, na wanachi...
Moja ya matakwa ambayo CHADEMA wamekuwa wanayasema kama moja ya vigezo vya kuingia katika meza ya maridhiano ni kuachiwa huru kwa Tundu Lissu bila masharti yoyote.
Ukiangalia hapa ambapo tumefikia, takwa hilo halina maana tena maana kama mahabusu amekaa siku 577, kama kuhukumiwa amehukumiwa...
Inaonekana kuna watu wanataka sana maridhiano... wangependa sana wapige picha ya kuonesha mambo yako sawa.. hakuna watu wanaolalamika au kunung'unika...
Lakini hadi Sasa sijasikia au kuelewa hasa wanaotaka maridhiano wanasukumwa na kitu na matatizo gani wanayoyaona...
uchaguzi ulisha"fanyika"...
Kuna watu wanaodai kwamba Tundu Lissu akiachiwa huru , maridhiano yatafanyika, hili si kweli.
Maridhiano kati ya wananchi na serikali huwa ni Uchaguzi mkuu, hiyo ipo kikatiba kabisa.
Maridhiano ni Kwa wananchi wote si CHADEMA na CCM pekee, Ili pawepo maridhiano, ni tufanye reforms Kwa katiba...
Wanaukumbi.
Chadema mmepata nafasi ya kusikilizwa malalamiko yenu mnaleta makuzi eti bila Lissu, hamtakaa muongee na mtu yoyote.. haya tumewasikia na tunawapa angalizo kuwa itafika 2030 hakuna cha maridhiano na Lissu, ataendelea kuwa jela na hakuna kitu mtafanya.
Hamtaki maridhiano Lissu...
Maridhiano yanabidi yawe kati ya serikali na wananchi na SIO CCM na vyama vya upinzani kwakuwa waathirika wa October 29 kwa 99% ni wananchi na SIO wanasiasa wala familia zao.
Ila kwakuwa wanasiasa ni jamii za watu wabinafsi wanataka kumaliza hii issues kisiasa
Wakili Peter Madeleka akizungumza na waandishi wa habari Novemba 13, 2026, amesisitiza kuwa taifa linapoelekea kwenye mchakato wa uponyaji kufuatia matukio ya tarehe 29 Oktoba 2025, hakuna haja ya kufanya mazungumzo katika masuala yanayohusu jinai na mauaji yaliyotokea.
Amesisitiza kuwa...
Mchambuzi wa siasa kutoka Idara ya Sayansi ya Siasa na Utawala wa Umma ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Dk. Richard Mbunda, amesema tunapaswa kuleta makundi yote mezani ili maridhiano yawe na sura ya kitaifa.
“Tunapaswa tuketi makundi yote mezani na hapo maridhiano yatakuwa na sura ya kitaifa,”...
Siku moja nilikuwa nasafiri kwenda Marekani, nadhani. Nikaamua kuangalia sinema (mnaita movie), inaitwa: 'The Hate That You Give'.
Ina mafunzo mengi muhimu kuhusu utangamano wa jamii na ukweli kwamba kusambaratisha watu, badala ya kujenga jamii ya watu wamoja, wanaopendana na kuheshimiana...
Sisi wengine hatujui ila tunasikia chadema kila wanapopata jukwaa hata ndogo tu la kusema huwa wanatoa masharti yao magumu ya wao kukubali kushiriki kwenye maridhiano. Sasa hivi shariti lao muhimu ni Lissu aachiwe huru.
Maswali yetu sisi wananchi ni mengi kuhusu haya maridhiano.
1. Maridhiano...
Tangu Taifa lipitie Uchaguzi mkuu Mwaka jana October 2025 na matukio yake kumekua na mvutano wa namna ya kuliweka taifa pamoja na kurudhiana.
Ni dhahiri watu walipoteza Maisha,Mali na wengine wamebaki na ulemavu wa kudumu, wengine wamepoteza ndugu jamaa na marafiki kwenye matukio ya October...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Wajumbe wa Kamati ya Pamoja ya Majadiliano kuhusu Maridhiano ya Zanzibar, leo Novemba 9, 2026, Ikulu jijini Dar es salaam.
Mimi hawa watu siwaelewi kabisa shida yao ni nini kiasi kwamba wanatumia kila mbinu kutaka wakae mezani na CHADEMA eti waridhiane
Yaani mumbakizie Mwenyekiti wao kesi, mumfunge jela, mteke na kupoteza wanachama wao halafu wakati huo huo mtake .kukaa nao mezani mfanye maridhiano .Hii ni akili ya...
Habari wana jamvi.
Leo nimekuja tena tuzungumze mambo mazuri kuhusu hili taifa.
Wakati tunaelekea kwenye uchaguzi wa 2025 ni wazi ulingo wa kisiasa uligubikwa na aina fulani hivi ya komedi.
Joto la uchaguzi lilikuwa kali ingawaje lilijaa vichekesho vya hapa na pale ktk mitandao ya kijamii...
Wakati Serikali ikitumia kumshikilia Tundu Lissu kama njia ya kushinikiza maridhiano, CHADEMA na Lissu wanachukulia kushikiriwa Tundu Lissu kama sababu ya kugomea maridhiano.
Kumbe njia ilikuwa rahisi tu ni kumuachia Tundu Lissu halafu unaitisha maridhiano ya kweli ni wazi chadema na lissu...
Mwanasiasa aliyegombea Urais wa Tanzania Mwaka 2025 kupitia CHAUMMA Salum Mwalimu amesema Mambo ya Kisiasa yanamalizwa kwa njia mbili za Kisiasa (Mazungumzo) na Sheria.
Amesema Njia ya Sheria tayari imefika mwisho na imetoa hukumu ya Kifungo cha miaka minne kwa Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu...
Hamjambo!
Kuna mtu ananieleza hapa, Lema ni kama kipima upepo. Maridhiano yapo mezani. Kete iliyobaki ni Tundu Lisu ambaye ataachiliwa tarehe 6. Kila kitu kipo tayari. Kasoro ni chache.
Na moja ya kasoro hizo zipo mtandaoni.
Imebainika kwamba, Nguvu ya Chadema iko zaidi mtandaoni na...
Nimesikiliza hotuba yako ya leo. Na hapo kwenye maandamano umepotea kabisa.
Unawaweka wanaharakati mstari wa mbele kana kwamba wao ndio chanzo cha hasira ya wananchi. Hapana.
Wanaohamasisha maandamano ni CCM wenyewe. Na sio kwa maneno, bali kwa vitendo vyao vya kila siku.
Maandamano hayajaja...
Wakuu zangu leo mimi nataka kuelewa kuhusu haya maridhiano ya Kitaifa yanayozungumzwa ili kuliponya Taifa letu.
Hivi maaridhiano haya ni baina ya nani na nani? Kama ni ya Kitaifa swali langu "Kwani kuna mgogoro au kutoelewana kupi na baina ya nani na nani?"
Je, Serikali haielewani na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.