Tamko la CHADEMA kufuatia Samia kukutana na Vyama vya Siasa ili kuunda Tume ya Maridhiano

mapigwa mikia ya lumumba yanapokoment utaona yanawaza kupigwa mikia tu huku akili zimejaa mavi.
 

Huo ushauri ungekipa chama chako muda mrefu kingekubali reforms tangu 2022 na nchi kupata katiba mpya wala hata tusingewahi kufikiri hayo ya October 29 yangetokea.

Ila hapa unaleta jangwa tu kujidai kushauri wakati mzizi wa tatizo ni chama chako kuogopa chaguzi huru ila unajidai kuwa mnafiki kwa kubaki "vuguvugu"
Your browser is not able to display this video.


We can't buy this nonsense.
 

1. Chadema had tried Reconciliation long time before with CCM and failed as CCM were not.ready for changes.

2. CCMs are the Victims and source of all evils happening in our country so they have no legitimate to lead the discussions.

3. Till now no third party has been declared by the authority to bring ccm and Chadema on the table for discussions.

4. As per your analysis Chadema mighty have no strategists while CCMs have all the strategists to deceive/kill Chadema once they overlook their conditions and come on the table.

5 Chadema have all rights to decline Reconciliation lead by CCM they have done it before they are aware . many issues has failed under CCM leadership new constitution back 2014,.INEC .we are sure even the recent move for Reconciliation and new constitution is a fake move.

6. CCM Is full of lies and greedy leaders who are obsessed of power and extremely corrupts. They can't bring anything good on the table for Tanzania ns.

7.The future of this nation firmly remains in the hands of Tanzanianias" PEOPLE'S POWER" not CCM, and the day they will decide changes will come
 
Kingine ni hiki, kujifanya una akili kuliko wengine ni ugonjwa wa akili, unaweza kuwa kichaa, jichunguze
 

..Ccm wana majority bungeni. Kwa maana hiyo wanao uwezo wa kurekebisha Katiba, wao wenyewe, bila kusumbua vyama vingine kwa kuunda Tume feki, na kuiingizia nchi gharama.

..Natofautiana na wewe kuhusu strategic thinking, na critical analysis. Nadhani Ccm ndio wenye mapungufu katika hilo.

..Ccm wangekuwa na watu wazuri kwenye strategy / mikakati wasingeliingiza jeshi la Polisi katika mauaji makubwa OCT 29.
 
Anza kushauri CCM na madudu yake
 
Usimpe attention asiyostahili huyu mzee Pascal Mayalla kwa sbb ndiyo walewale TEAM CCM SAMIA, akili zilezile zinazowaza ulaji na matumbo yao tu bila kujali wanaupataje huo ulaji...

Kwao hawa watu, it doesn't matter ulaji na fursa zinakujaje..

Kwake Pascal Mayalla, hata kama fursa na ulaji huo unakuja kwa gharama ya damu za watu ili Samia Suluhu Hassan na CCM waendelee kutamalaki ktk upotofu wao, kwake hakuna shida. Ndiyo mantiki ya hoja na ushauri wake...

Hebu jaribu tu kufikiri hili..

Anasema eti CHADEMA kwa kukataa kushiriki ulaghai huu wa Mwenyekiti wake wa CCM unaoitwa "maridhiano" kwamba watakosa fursa fulani fulani...

Huyu mzee Pascal Mayalla hazisemi ni fursa zipi hizo watakazokosa CHADEMA kwa kukataa kushiriki mtego huu wa hadaa wa kinachoitwa "maridhiano" ambapo actually ni ulaghai na uongo wa kishenzi kabisa...

Hata hivyo, yeye Pascal Mayalla na sisi wengine tunajua fika kuwa huko anakokuita "watakosa fursa muhimu", maana yake ni vipesa vya posho vya vikao hivyo vya hadaa na mwisho wa siku baadhi yao wachache kupewa tuvyeo vya kuhongwa ambavyo Mh Tundu Lissu aliviitaga "NUSU MKATE", lakini wakati huohuo matatizo ya msingi yanayoleta vurugu hizi zote yakibaki palepale bila kutatuliwa...

Mimi nilidhani kuwa, pengine Mzee Pascal Mayalla angekuwa mkweli wa nafsi yake kwa kukiri kuwa madai ya CHADEMA ni ya kweli na halali kabisa ila njia waliyoichagua kuyapigania ni ngumu na inawaumiza. Kwa ukiri huu, binafsi ningemwelewa....

Hata hivyo katika mantiki iliyojificha, actually ndicho anachomaanisha ndugu Pascal Mayalla na ndiyo maana anashauri CHADEMA wachukue "shortcut" tu, hawana sbb ya kuendelea kuumia ipo njia rahisi ya viongozi kupata chao, wakasepa na kuwatelekeza mamilioni ya wananchi walio nyuma yao ambao wanadai kuwapigania na kwa kufanya hivyo basi "business as usual" iendelee ktk nchi na taifa letu...

No way...! CHADEMA, kataeni mtego huu. Ni ushauri kwa juu juu ni kama unatoka patakatifu lakini deep inside unatoka kwa shetani ibilisi mwenyewe kupitia kwa watu wa aina ya Pascal Mayalla...

Pascal Mayalla hata hajui kuwa, Watanganyika wote tunatambua na tunakubali kabisa kuwa msimamo wa CHADEMA una gharama kubwa na actually tayari ulishawagharimu vya kutosha...

Wengi wamemwaga damu, wamefungwa magerezani, wengine wameuwawa, wengine kutiwa ulemavu wa kudumu, wengine wamekimbia nchi na kikubwa zaidi kamanda wao mkuu yuko gerezani kwa kesi ya uongo na kwa kuonewa tu na sasa anafanywa kuwa "bargaining chip" na hayawani hawa wa CCM na serikali yao chini ya Samia Suluhu Hassan...

There's no other way round kuwashinda hawa hayawani isipokuwa kwa njia hii hii wanayotembea nayo CHADEMA. Ni lazima vita iendelee in all lawful political and legal means....

Na in fact, adui ameshapigika vya kutosha na sarakasi hizi zote ni ishara ya kuwa, very soon ata - surrender. CHADEMA keep leading the war. There's big army behind you...

Narudia tena kuwaasa ndugu john Heche na CHADEMA, msitikisike wala kubabaika. Mwenyekiti wenu Tundu Lissu ni mshindi. Take his lead. Mko kwenye njia sahihi. Wao ndio hasa wako kwenye desparation mood, wamepoteana na hawaioni nuru ya kufanikiwa kwa huko mbeleni...

Mkilogwa tu kutoka nje ya mstari huu, mtakuwa mmempa ushindi adui wenyewe. Achaneni na Chawa aina ya Pascal Mayalla kwa sababu laiti kama kweli ni political strategist wazuri kama anavyotamba hapa, angetumia huo u - strategist wake kuwashauri CCM, Samia Suluhu Hassan na genge lake kuacha utapeli walioufanya mwaka jana 2025 kabla, wakati na baada ya uchaguzi...

Kwa ujinga na upumbavu wao, kwa jeuri na kiburi chao cha madaraka wakaua maelfu ya ndugu zetu na kujitangaza washindi kwa almost 100% kwa uchaguzi ambao physically, haukuwepo...

Yet, Pascal Mayalla anawaona hawa watu ni wenye akili, waungwana na binadamu wa kawaida tu huku ukweli ukiwa ni kinyume chake, kwamba, hawa ni mashetani katika sura ya binadamu, na kwamba, hawa ndio wakukaa nao meza Moja ya mazungumzo wakiwa na sura hizihizi za kishetani...

No way...!!

Ili tukae nao, sharti kwanza mapepo na roho za kishetani walizozibeba na kuzivaa sura zao ziondoke, wawe binadamu wa kawaida kama sisi tunaoona kukataa mabaya na ubaya...

Msikilize Humphrey hapa. Zingatieni ushauri wake

View: https://youtube.com/shorts/2WiuiL2ckNE?si=WPnOUOpLvygNs0sq
CHADEMA mko kwenye right track...
 
Siyo kila aliyepatwa na madhara MO29 ni mwana CDM,bali CDM imekuwa msemaji na mtetezi wa waliodhurika.
Ni wachache sana ambao wako nje ya CDM wamesikika wakidai miili ya waliouawa kipindi hicho.
 
M2 wa hovyo kabisa- ndumilakuwili
 
Pamoja na kwamba ni kujichosha tu kumweleza chochote mtu mpumbavu kama huyo, ni sahihi kumpa ukweli ili umchome moyo wake kimya kimya kwa kujuwa hadhi duni aliyobaki nayo miongoni mwa jamii.
 
kwa mfano ikaonekana chadema ni wasumbufu na msajiri akaamua kukifuta chama ,hamuoni kwamba mtakuwa hamjawatendea haki watanzania?
Hao waTanzania wasiotendewa HAKI na CHADEMA ni akina nani hao. Ni wale anaowashikia akili Samia Suluhu Hassan na Genge lake?

Leo hii unataka waTanzania wawe na akili hafifu kama alizonazo Samia?
Unataka CHADEMA kifutwe kama chama cha siasa kwa kukataa upumbavu, na kujiona kuwa umebuni suluhisho zuri la Samia kumaliza matatizo yanayomzunguka?
 
Nyie ndio mnasababisha wazee wa Kisukuma tunatukanwa ovyo ovyo!
 
Aisee

Mkuu kama wewe unafikiri CHADEMA inahitaji REALPOLITIK ili kuishi (survive) na "kufanya siasa" nchini kama walivyo ACT, UDP, TLP, CUF, n.k., THINK AGAIN. Muhimu ielewe falsafa ya CHADEMA ambayo wananchi wengi wanaiunga mkono kiasi cha kukifanya chama hicho kuwa tishio kwa serikali/dola/CCM (rolled into one).

Halafu ni siasa gani inayoweza kufanyika hapa nchini zaid ya uchawa kwa watawala. Hata makada wa CCM wakitaka kuwa critically relevant inabidi waongee kiharakati na kuwa tayari kukutana na adha kadhaa. Labda hujaelewa kuwa kwenye nchi zinazoendeshwa kiimla (authoritarianism and totalitarianism), madai yote ya haki, utawala bora na wa sheria, maendeleo endelevu, n.k. hayana budi kufanyika kiharakati. Politics as usual doesn’t work. Btw, unatofautishaje siasa na harakati au ndio mambo ya REALPOLITIK. Kuungana na watawala kijanja ili kugawana keki kimbinu na kuwaacha wananchi wakiendelea kukodoa macho wakiamini wanapiganiwa.

Hata kwenye nchi zenye demokrasia kubwa ya ndani kama Marekani kuna wakati wawakilishi wa wapiga kura (congressmen) wa chama tawala na upinzani hulazimika kutumia harakati ili kufanikisha baaadhi ya masuala.

Sidhani kama CHADEMA wanahitaji mkakati au strategic thinking itakayowawezesha kuwa chama tawala in waiting katika mazingira tuliyo nayo nyakati hizi. Halafu hiyo point ya kutaka kuona CCM inashinda kihalali na inapata upinzani imara ili isibweteke! That's a fantasy. And how do you even get to think like that in the aftermath of a great state-sponsored indiscriminate massacre of the people with most cases yet to get closure? Imagine, the state of terror is still a reality for dissenters real and perceived! What strategic options are there for a political opposition?l

CHADEMA ni chama ambacho kimeamua kuishi na Watanzania; kuinuka nao au kufa nao (kwa kadiri hatma ya Watanzania ilivyoandikwa) badala ya kutafuta institutional survival, expediency and glory at the expense of the people, however utopic that philosophy seems.

You either condemn and do away totally with CHADEMA OR give them the right advice grounded in that philosophy. Period.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…