The ghost writer
JF-Expert Member
- Apr 5, 2023
- 1,061
- 2,118
Na wewe unarudi lini?Jiselfie maana umerudiiiiiiiii😍
Na wewe unarudi lini?Jiselfie maana umerudiiiiiiiii😍
Kutembeza ice cream juani utaweza?!Nipe kazi
Mbona kimya.
Huyo ni jihan wa bei ya jioni.Jihan, nimelipenda hilo jina wamekupatia kabisa mdogo wangu
Picha ipo wapi?!win-one hii hapa unayo kule kwingine😁afu me si mtu wa mapichaaaaa
Mkwe naona mnaendelea vizuri, mambo yakijipa mnitumie kadi ya mchango. 🥰Karibu Tena mama mkwe😌
Nami unipe.nataka niwe nazo kote kote😍😍,, kajihan kangu kazuri zuri😘❣ pokea moyo wangu
Tunasubiri ruhusa Yako tu, mama mkwe.😌Mkwe naona mnaendelea vizuri, mambo yakijipa mnitumie kadi ya mchango. 🥰
Nikiwa naye jua sitolisikiaKutembeza ice cream juani utaweza?!
Katiza tukuoneMkwe naona mnaendelea vizuri, mambo yakijipa mnitumie kadi ya mchango. 🥰
Uongo umeanza lini?!Shemeji yenu ni mzungu sio mwafrika😎
Nimestaafu rafiki yangu, nakula mafao na mchepuko nilompata selfika 😂Katiza tukuone
Basiiii limeisha hilo!Tunasubiri ruhusa Yako tu, mama mkwe.😌
12k🤩Mke wangu amezipenda hizi, Utaniuzia shingapi?
😂😂😂😂😂😂😂Mikoani tunatuma
😂hamtavuka mwaka tulia uoneSikuhizi unalala?. We si ulikuwa unanikeshea kwa mganga ndoa yangu ife?.
Mimi nipoooNa wewe unarudi lini?
Asiyekuwepo na lake halipo😂Picha ipo wapi?!
Babeee!! Wee ni muhansamuuu, 😘😘🔥🔥Uzuri wako♥️😌
Acha wizi wewe, socks gani 12k?12k🤩