Njoo tutembeze ice cream za maziwa😀Nipe kazi
Lipa madeni ya jana kwanza sikuona kituJiselfie maana umerudiiiiiiiii😍
Uko wapi mamaaaa😍Lipa madeni ya jana kwanza sikuona kitu
Nimejaa kama love wa jukali💃🏽Uko wapi mamaaaa😍
MalipoNjoo tutembeze ice cream za maziwa😀
Uzuri wako♥️😌Babeeee!! Hapo uko Miami? 🔥🔥🔥
Mke wangu amezipenda hizi, Utaniuzia shingapi?socks for this Cold❄️ bcz ''weather for two bring babiesss❤️🔥🔥🔥""""
View attachment 3711615
Upo wapi unipatie Moja ya kumfanyia surprise wifely wangu 😌🙏Njoo tutembeze ice cream za maziwa😀
Tupatie hiyo sukari nasi tuonje😅Tulia ww siye sukari ya vijana😎
Mikoani tunatumaUpo wapi unipatie Moja ya kumfanyia surprise wifely wangu 😌🙏
Sitakubali kutumiwa nataka mniletee mpaka nyumbaniMikoani tunatuma
Sikuhizi unalala?. We si ulikuwa unanikeshea kwa mganga ndoa yangu ife?.Kwanini sasa unapita usiku wa manane tumelala😂
Acha hizo bwana mdogo.We mshangazi kaa mbali na mimi, watch your back!
Mi sio mwema kabisa.
Karibu Tena mama mkwe😌Nipo rafiki … Mwenyewe sijaja mtaa huu kitambo.
Sawa bossSitakubali kutumiwa nataka mniletee mpaka nyumbani
Leo pia usitunyime wanao.Mama yenu nikilala nitakula nitakachokiota kwahiyo wakati natoka najiselfiee ndo nashare😎
Mama akitoa amri watoto wote tunatulia.Huna cha kunifanya kaa kwa kutulia😎