Chica Gee
JF-Expert Member
- Jul 13, 2021
- 4,049
- 11,368
🙄Mbona kimya.
🙄Mbona kimya.
Hahaha toeni location niwafanyie delivery muenjoy penzi lenuUpo wapi unipatie Moja ya kumfanyia surprise wifely wangu 😌🙏
Wewe tulia na mkeo usizue taharuki!Tupatie hiyo sukari nasi tuonje😅
Sawa sawaLeo
Leo pia usitunyime wanao.
Tena mtulizane haswaaMama akitoa amri watoto wote tunatulia.
Mke wangu, nawe umenizidi Kwa uzuri ♥️😌Babeee!! Wee ni muhansamuuu, 😘😘🔥🔥
Acha tu, nitanunua hata kwa bei ya 50k. Nataka mke wangu ufurahi.😌Acha wizi wewe, socks gani 12k?
😂😂😂 unataka kumuibia mume wangu?
😂😂ndo bei yake crochet is expensiveAcha wizi wewe, socks gani 12k?
😂😂😂 unataka kumuibia mume wangu?
Nunua mke apendezeeee😍😍🔥🔥🔥🔥Acha tu, nitanunua hata kwa bei ya 50k. Nataka mke wangu ufurahi.😌
Hahaha toeni location niwafanyie delivery muenjoy penzi lenu
socks for this Cold❄️ bcz ''weather for two bring babiesss❤️🔥🔥🔥""""
View attachment 3711615
Vipi ilikuwaje au nahodha alizimia ghafla?🤣🤣🤣Hujanifananisha walaah
🤣🤣🤣Watu wa North port wanasema walikua kwenye majaribio, waandish wa habari wanasema ni watu wa uchukuzi walikua wanatalii, raia walokua wanachukua video wanasema nahodha ni mwanafunzi bado.Vipi ilikuwaje au nahodha alizimia ghafla?
Aisee ila nimefurahi kujua uko safe kipenzi Lovelovie maana presha yangu ilikuwa juu🤣🤣🤣Watu wa North port wanasema walikua kwenye majaribio, waandish wa habari wanasema ni watu wa uchukuzi walikua wanatalii, raia walokua wanachukua video wanasema nahodha ni mwanafunzi bado.
Sogea hapa climax nije nikupe pole mwanangu wa faida mwenyewe.Mim na nahonda tumetoka salama😁😁😁😁
Izi ni crochet sockssssss za huu msimu wa baridiMalle ndio mnaitaje hizi huko mjini?
Izi ni crochet sockssssss za huu msimu wa baridi
Unaweza kuvalia crocs au kutembelea ndani 😍😍😍