cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 124,321
- 204,729
Expensive ya nyokooo, ni 5k hizo.😂😂ndo bei yake crochet is expensive
😂😂😂
Expensive ya nyokooo, ni 5k hizo.😂😂ndo bei yake crochet is expensive
Nakupenda hapo tu babee angu, 💋😘Acha tu, nitanunua hata kwa bei ya 50k. Nataka mke wangu ufurahi.😌
Naanza na wewe firstbornZiweke tuzione
Acha kudhihaki kazi ya mdogo wangu. Unajua how hard that is au unapayuka tu?Expensive ya nyokooo, ni 5k hizo.
😂😂😂
Nitetee kaka yangu 🤩🔥🔥🔥Acha kudhihaki kazi ya mdogo wangu. Unajua how hard that is au unapayuka tu?
I will, na usikubali mpuuzi a kudhihaki... Utalose interest ya kile unafanya. Jifunze kukataa negative energyNitetee kaka yangu 🤩🔥🔥🔥
Kwa hio 5k anataka bora nivae mwenyewe uzi wenyewe una bei afu niuze elfu tanoI will, na usikubali mpuuzi a kudhihaki... Utalose interest ya kile unafanya. Jifunze kukataa negative energy
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Jamani hivi naskia pisi za jf mbovu naombeni uthibitishoo
hahahahaha,Nunua mke apendezeeee😍😍🔥🔥🔥🔥
5k ni expensive?Kwa hio 5k anataka bora nivae mwenyewe uzi wenyewe una bei afu niuze elfu tano
Siwezi😂
kwamba nyingi au ndogo?Kwa hio 5k anataka bora nivae mwenyewe uzi wenyewe una bei afu niuze elfu tano
Siwezi😂
Expensive kwa coca5k ni expensive?
5k ndogo pesa ya vitunguu hiokwamba nyingi au ndogo?
duh,hahahaha,aisee ndio maana watu wana hasira sana, km hata 5k ni expensiveExpensive kwa coca
hahahahahaha5k ndogo pesa ya vitunguu hio
Analinganisha crochet socks na socks za kawaidaduh,hahahaha,aisee ndio maana watu wana hasira sana, km hata 5k ni expensive
Weka nijione😁,,nitakugawa.Naanza na wewe firstborn
Hebu TU blessWeka nijione😁,,nitakugawa.
Utanigawa?, ukiwa na maana gani firstborn? Kwamba una taarifa zangu?Weka nijione😁,,nitakugawa.
Nazitaka zako.Utanigawa?, ukiwa na maana gani firstborn? Kwamba una taarifa zangu?