Gunner11
JF-Expert Member
- Nov 2, 2021
- 17,486
- 33,135
Jihan, nimelipenda hilo jina wamekupatia kabisa mdogo wanguI go shock you😎
Jihan, nimelipenda hilo jina wamekupatia kabisa mdogo wanguI go shock you😎
🤭Selfika nina mda sjapita hapa..
Chivundu upo tajiri angu ?
win-one yupo ?
Mallerina je ?
Chica Gee je ?
Kaka wa kando ya ziwa spidernyoka are you there 😃 ?
Mdada wa singida upo binti kiziwi ?
Tulia ww siye sukari ya vijana😎Tangulia huku tukimsubiri huyo mshangazi.
Mi sijaona rudia we gen zeeBeards kwani mi ni Yesu?
Haya uwanja ni wako kiongozi.
Umesubiri nilale kama kwaida yako sio😀mshamba_hachekwi 😹😹😹 nimepita
Una mdomo sana🫢Lijitu limoja hivi lishamba lishamba.
Kwanini sasa unapita usiku wa manane tumelala😂Mud ando huu napita kwa mara ya mwosho😎
NiblessWanaaga wanalala kumbe ili tupungue
SinaNibless
We mshangazi kaa mbali na mimi, watch your back!Una mdomo sana🫢
Nipo rafiki … Mwenyewe sijaja mtaa huu kitambo.Selfika nina mda sjapita hapa..
Chivundu upo tajiri angu ?
win-one yupo ?
Mallerina je ?
Chica Gee je ?
Kaka wa kando ya ziwa spidernyoka are you there 😃 ?
Mdada wa singida upo binti kiziwi ?
Karibu tenaNipo rafiki … Mwenyewe sijaja mtaa huu kitambo.
Mama yenu nikilala nitakula nitakachokiota kwahiyo wakati natoka najiselfiee ndo nashare😎Kwanini sasa unapita usiku wa manane tumelala😂
Huna cha kunifanya kaa kwa kutulia😎We mshangazi kaa mbali na mimi, watch your back!
Mi sio mwema kabisa.
Kafanye kazi😎Watu pipo
Jiselfie maana umerudiiiiiiiii😍Mama yenu nikilala nitakula nitakachokiota kwahiyo wakati natoka najiselfiee ndo nashare😎
Nipe kaziKafanye kazi😎