Minister belittles link with JK's son

Minister belittles link with JK's son

FMES,

Some times I am really amused by your 'ingenuity' in the way you present yourself in JF, and those you proclaim to know or be in the know.

For some of us who have an advantage of knowing you personally and your family (immediate and extended), and at the same time happen to know and associate with those who you 'profess' to know, can't stop wondering what the heck is going on in your life/mind.

Some times reading stuff like these (your postings) here in JF, makes people really wonder if you really know what you think you know.

Salamu na Amani.
 
Hiyo Playland ni amusement park ( wenyewe wameuita regional na sio international kama ambavyo ungetaka tuamini) na hauwezi kuilinganisha na shirika kama TOL.

The ishu ni kama alishawahi kuwa manager, sasa alikuwa manager wa nini that is pure nonesense mkuu, uwanja ni wa kimataifa ule mkuu ndio maana ndani yake kuna a lot of international games ambazo Muamerika hawezi kujihusisha nazo, lakini still alishawahi kuwa manager, kwa hiyo isingeuwa ajabu yeye kuwa manager TOL, shirika ambalo kwanza halikuwa profitable kwa serikali, zaidi ya hasara tupu na kushiwa kubinafsishwa, likashindwa likafa pu!

Hapa hatulinganishi mapato bali umuhimu katika jamii. Wewe, Mkuu, ndiye uliyetuambia kuwa alikuwa meneja Playland katika kuthibitisha kuwa kwake Director TOL ni kuwa alikubali kujishushusha. Nasema ulikosea kwa kuleta hili.

Mkuu ya yeye kujishusha ni yako katika kutekeleza hiii ya lazima apatikane tu, besides ni majuzi tu mtu alikufa kwenye huo uwanja akapewa jury award ya dola karibu millioni 10, ambazo zimelipwa na huo uwanja na ni change tu kwao huo uwanja, sasa unasema TOL ilikuwa na hela kiasi hiki mkuu mpaka iwe ajabu kwa Masha aliyewahi kuwa Executive wake, kuwa Director TOL? Hivi chuki za binafsi wa-Tanzania mnazitoa wapi?

Mimi ninavyoona ni kuwa neno fisadi limekuwa overused kiasi cha kupoteza maana. Mtu kuhoji usafi wa mheshimiwa huyu ni haki ya kila mwananchi maana amechagua mwenyewe kuwa public figure na ndiyo price ambayo inabidi aikubali.

Aliye-overuse hilo neno ni nani kama sio nyinyi mnaomshambulia Masha fisadi wakati hamna ushahidi wa kutosha? Kuhoji usafi wa kiongozi ni one thing, na kumrushia matusi kama alivyorushiwa mwanzoni mwa hii topic ni another, off course amechagua kuwa kiongozi lakini hakachagua kutukanwa bila sababu na wala sio siasa hiyo ya chuki za binasfi kwa kusingizia public figure, very low politics ndio maana itachukua muda mrefu sana kwetu kuendelea!

Sasa nyinyi mnaomtetea ni lazima muwe waangalifa na utetezi wenu. Kusema kuwa tunamjua, tulisoma naye n.k. doesn't cut it. sana sana inaonyesha kuwa8 pamoja na protestation zako otherwise) kuwa hauko objective. Hapa si mahali pa kuthibitisha ufisadi wake au la. Hii sio mahakama. Ni lazima ieleweke kuwa kuna watu watakuja na shutuma zao kwa sababu nyingi tu, chuki, kutafuta umaarufu wa haraka, zote zikiwemo. Itakuwa vizuri nyinyi mlioamua kusimamia haki mfanye hivyo bila kuingia katika mtego wa delusions of grandeur kama hao wanaoamini chochote kitakachowekwa hapa kitapita bila kupingwa. Ni hayo tu, Mkuu.[/
SIZE]

Unajua unatakiwa careful unapokuwa unasema uongo, au habari ya kupika, sin haja ya kuwa na wasi wasi kama ninajua kuwa kiongozi ninayemtetea hana tatizo, na Iam sorry kwamba sio kila mtu hapa ni lazima aandike as you like naona hilo ni tatizo sana kwako, kutetea ni kutetea hakuwezi kuwa crafted, ni kusema ukweli tu kama kuna mtego so be it, lakini kuchafua majina ya watu kwa visingizio mbuzi ni ujinga na tena ni nonesense, nashangaa unavyojaribu kuuhallalisha ujinga na uongo, na chuki kwa maneno ya kishule,

Topic imeanza kwa shutuma kuwa Masha ni fisadi sasa mmmeshindwa, sasa uataka kuleta lectures za how watu watetee wengine as you want, maana wakitetea usivyotaka basi ni makosa, wabongo bwana! Unaweze kumtetea mtu halafu ukawa objective? Eti kuna defence lawyer ambaye ni objective na anchokitetea? mkishindwa mnkuwa na manno mengi ya shule kumbe ni madebe empty matupu,

Wakuu kubalini tu hakuna ushahidi wa kumuita Waziri Masha, fisadi hamnao sasa tuendele na ishu zingine!
 
Mkuu marekebisho tu, mimi nilisoma miaka miwili tu bachelor huko USA, sio lazima iwe 4 years.

Mkuu FMES
hiyo ni kali! Bachelor 2 yrs!!?Ya kitu gani

Mkuu hapo ukusoma, walikudanganya.

Kusoma bachelor unahitaji kukaa university at least 3 yrs.
That is prerequisite.

Bachelor is far important than masters (even Ph.D) on the subject matter.

Sasa miaka miwili kweli mtu utakuwa umesoma nini university..
 
Some times I am really amused by your 'ingenuity' in the way you present yourself in JF, and those you proclaim to know or be in the know. For some of us who have an advantage of knowing you personally and your family (immediate and extended), and at the same time happen to know and associate with those who you 'profess' to know, can't stop wondering what the heck is going on in your life/mind. Some times reading stuff like these (your postings) here in JF, makes people really wonder if you really know what you think you know.

Mkuu I have no idea unachosema unless kuna unachotaka kusema, kama ni kunifahamu sidhani kama wewe unanifahamu kuliko watu wengi sana hapa, lakini the point hapa ni Masha na Ridhiwani, sio mimi,

Kama unanifahamu mkuu na unaona kuna mahali hapa ninasema uongo, kweli umeshindwa kuusema mkuu? Wewe Kiungani, umeshindwa kuusema ukweli na unaona ninasema uongo na kuudanganya umma hapa? Acha hizo mkuu, mimi wembe ni ule ule, kama unaijua familia yangu na rest ahsante sana, ila si unajua kuwa ninaijua ya kwako pia au?

I am very proud kuweza kumsimamia a friend kwenye hii topic na kuweza kuwafundisha wengi kuhusu Masha, na pia kujifunza mengi kuhusu my friend, ambayo nilikuwa siyajui. Ila kama una any problem na ninayoyasema nitafute PM nitakusaida au kama inawezekana weka hapa mkuu, lakini hapa JF hatuhitaji majungu ya namna hii,

Ni hayo tu mkuu, ahsante sana!
 
Mpashe Mpashe!!!!🙁

jobjob2,

Samahani, nia yangu si kumpasha mtu ye yote hapa JF. Sina ubavu huo.

Najaribu tu kuonyesha tofauti ya masuala na maisha.

Niliwahi kumzungumzia mtu hapa JF kwa kumfahamu vizuri (Blood relative), yet kuna mtu had an audacity of coming here and disputing what I had said. Not only that, the person went as far as proclaiming to know ME (by my really name) and present a lot of 'crap' not knowing that the person he is claiming to know is actually the same Kiungani in JF jargons.

Vitu kama hivyo na kwa kumfahamu anayezungumzia hayo, vinakuacha mtu mdomo wazi.
 
……………. Masha alianza kazi kwenye uwanja wa kimataifa wa michezo kule Playland, New York akiwa Executive Manager, akaitwa World Bank akakataa na kuamua kurudi bongo, akaingia Law Firm ya Warioba, ambako kwa ajili ya kutafta experiencce za kisheria, ilifikia mahali alifanya kazi bila mshahara for a long time, …………….

Alikuwa na experience kubwa mno, ila ulikuwa hujui sasa ni vyema kuuliza mkuu, badaa ya kuja kujiabisha hapa.


FMES, I hope you were not joking kuwa experience hiyo kubwa ni ya kufanya kazi viwanja vya michezo ya watoto. Kweli umepania kumtetea. Inafurahisha kusikia hayo mengi unayosema kuwa Masha aliyafanya, lakini the bottom line ni kuwa,
  1. 1987-1991 alikuwa UDSM na
  2. 1992-1993 alikuwa Georgetown.
  3. Kwa hiyo 1987 – 1993 Masha alikuwa ni mwanafunzi. Sasa kama alifanya kazi kwenye amusement park wakati wa summer, inaelekea haikuwa na sifa za kutosha kuingia kwenye CV yake au hakuipenda. Angalia CV yake hapa, nafikiri unaifahamu.
http://www.parliament.go.tz/bunge/Mp_Cv3.asp?fpkey=423&PTerm=2005-2010&vusername=GUEST

Kazi anayojivunia kuwa ndio imempa uzoefu wa kuwa waziri ni hii ya TOL, kama alivyosema juzi kwa waandishi wa habari. Aliipata baada ya kuwa amefanya kazi miaka mine (4) tu kwenye firm ya Rwechu na Inter, hapa lazima alibebwa maana uzoefu na elimu yake ni tofauti hata ukijumlisha ule wa McDonald na amusement park. Kwa hiyo kuna paten ya Masha kubebwa.


.....hiyo kampuni ilikuwa under wazungu, nafikri huelewi simple unwritten rules za wazungu bongo kuwa inapotokea mbongo mwenye uzoefu wa kazi na elimu kutoka majuu, basi yeye ndiye hupewa, kwa hiyo haya yote unayosema hapo juu ni maginations zako tu na chuki nzito as of your usual!

Hakuna unwritten rules za wazurngu nchini Tanzania, na wala sitataka kuzielewa wala kuambiwa kuwa zinatumika TZ. I hope hizo rules unazosema hauna maana ya kuwa Masha aliwekwa pale TOL na wazungu kwa upendeleo wa kibaguzi wa mtu mweupe kudharau elimu yetu, na yeye Masha, akakubali kwa vile aliondoka US kuja TZ kutimiza uzalendo wake. Kweli huu ni uzalendo. P'se tell me that this is not what you meant.🙁😕😡:???:

....Masha aligombea ubunge, akishirikiana na mtandao, ambao ndio waliishia kushinda, kwa hiyo kupewa kwake uwaziri haikuwa bahati mbaya wala upendeleo.......

FM, Kwa hiyo usikatae tunapomuunganisha na wanamtandao wenzake katika ufisadi wao. They are a team playing together simple as that.

......maneno ya kushikwa mkono umeyasema wewe mwenyewe, sasa ungekuwa wa kwanza kuelezea jinsi alivyonishika mkono......... Mkuu ukweli ni kwamba huna hoja ya kuthibitisha kuwa Masha, ni fisadi,

Kushikwa kwako mkono sikusema mimi, nimekariri kutoka kwenye mtandao, lakini kama hukushikwa just ignore it, and will disappear. Ila nakushari uendelea na utetezi wa bwana Masha maana otherwise hatutajua mengi kumhusu Hon. Minister.

FMES; Shukhrani tunazitoa kwa kututhibitishia kuwa bwana Masha ni mwanamtandao, ambao kwetu kwa hisabati za kirahisi ni kuwa WanaMtandao = Ufisadi. Usiku mwema.
 
Mkuu FMES
hiyo ni kali! Bachelor 2 yrs!!?Ya kitu gani Mkuu hapo ukusoma, walikudanganya.

Hapana mkuu, nilianzia kwanza Community College, halafu nika-transfer na kusom miaka miwili tu, huwa ina-depend na shule ulioysoma Associate mkuu, kuuliza sio ujinga badala ya kukurupuka na hukumu kuwa ulidanganywa.

Ahsante mkuu!
 
Mkuu marekebisho tu, mimi nilisoma miaka miwili tu bachelor huko USA, sio lazima iwe 4 years.

Na kukubali kuwa hakuna ushahidi dhidi ya Masha on ufisadi,ni kitu kidogo sana kukubali kuliko kujaribu kuingiza ishus zingine zisizokuwemo

Ahsante mkuu!

FM degree kwa two years kama umekwenda public school is imposible. Bachelor ina credit hours atleast 126, hata kama utasoma 18hrs a semester itakuchukua semester saba, ambayo ni equivalent na miaka 3.

Kama ulisoma private institute kwa two years i do understand. So, swala la Hon.Masho kusema US ulikuwa huwezi kusoma sheria i get a little bit hard to believe.
 
Hapana mkuu, nilianzia kwanza Community College, halafu nika-transfer na kusom miaka miwili tu, huwa ina-depend na shule ulioysoma Associate mkuu, kuuliza sio ujinga badala ya kukurupuka na hukumu kuwa ulidanganywa.

Ahsante mkuu!

Nimekupata sasa mzee FM
ninaposema four years najumlisha yote ya community college na University. Mfano mimi nilisoma total 3.5 years jumla.
 
Mkuu KJ apo juu, kwetu wengine sio usiku bado, tupo macho tunaangalia thread inavoenda, na kujifunza mengi ambayo tulikuwa hatuyajui, au hui usiku mwema umekusudia kwa mkuu FMES?
 
Mkuu marekebisho tu, mimi nilisoma miaka miwili tu bachelor huko USA, sio lazima iwe 4 years.

Na kukubali kuwa hakuna ushahidi dhidi ya Masha on ufisadi,ni kitu kidogo sana kukubali kuliko kujaribu kuingiza ishus zingine zisizokuwemo

Ahsante mkuu!

Hiyo siyo bachelor, inaitwa Associate Degree. Ni kama Certificate au ordinary diploma za kule Bongo. Ili iwe degree inakubidi urudi tena chuo kinachotoa degree kwa angalau miaka 2-3, kutegemeana na kozi na uwezo wa mwanafunzi. Hii ni kama tu watakukubalia kuhamisha baadhi ya grades zako.
 
hivi huyu bwana alianza first grade akiwa na umri gani?? je alirukishwa madarasa?? system ya shule hapa "kiwanjani" ni 12 grades(miaka 12) kabla ya kuingia Chuo kikuu au uwe na GED!!! sasa kama huyu bwana aliingia UD akiwa na miaka 16 je alianza first grade akiwa na miaka 4?? kama yes, basi thats what's up!! kama no, basi ilikuwaje??

US, huwezi kuingia Medical school au law school kama huna degree ya kwanza!! hiyo dancing yake ya kusoma US na Bongo, ni wazi kwamba ilikuwa ni kwa lengo la kusave time, which is perfectly ok!! tatizo ni maelezo yake........kwa mawazo yangu mimi huyu bwana si fisadi ila ni fisadi in making(anajifunza ufisadi na sifa tayari anazo za kuwa fisadi, ndio maana mafisadi wanamweka karibu yao).

YNIM rule of fisadiz.......if he/she talks like a fisadi, acts like a fisadi, assuming that all other variables are constant, then he/she is a fisadi!!!.
 
Hiyo siyo bachelor, inaitwa Associate Degree. Ni kama Certificate au ordinary diploma za kule Bongo. Ili iwe degree inakubidi urudi tena chuo kinachotoa degree kwa angalau miaka 2-3, kutegemeana na kozi na uwezo wa mwanafunzi. Hii ni kama tu watakukubalia kuhamisha baadhi ya grades zako.

Mkuu nilisoma community College Westchester kwanza , baadaye nika-transfer Lehman College, nimekutajia majina ya shule ili uweze kwenda huko kufuatilia kuwa nilichosoma ni bachelor miaka miwili na ninayo, kwa hiyo hata US short cut ya elimu inawezekana, I did it mkuu!

Inaelekea kua hujui kuwa bongo siku hizi aliyetoka majuu anayejua english safi, anaweza kupewa kazi kabla ya mwenye degree ya mlimani, nenda Standard bank ujionee mkuu,

Kuhusu Masha, naona hakuna ishu, anyways tunaweza kendeleea kuelimishana kuhusu mengine naona elimu nyingi inatolewa karibuni wakuu!
 
Mimi siko kwenye mada ya Masha; miye tatizo langu liko kwenye IMMA, Tangold, na Deep Green! Je Masha alijua kuwa Tangold na Deep Green zimechota Benki Kuu? Je alikuwa kwenye position ya kuweza kujua jambo hilo? Kama alijua alichukua hatua gani? Je anakubaliana na yaliyotokea ya Deep Green na Tangold? Je, kama waziri wa mambo ya ndani atakuwa tayari kujirecuse inapokuja suala la Polisi kwenda kufanya uchunguzi IMMA? Je anaweza kuhakikisha kuwa uchunguzi wa kipepelezi kwenye kampuni za Tangold na Deep Green hatauingilia kwa namna yoyote ile?

Na hili linamhusu yule Jaji aliyeteuliwa na Rais ambaye kabla alikuwa wakili pale Imma, je akipata kesi inayohusu Imma, Tangold, na Deep Green atajiondoa?

Hayo kwangu ni muhimu zaidi kuliko nani alisoma shule ya vidudu wapi!
 
FMES; Shukhrani tunazitoa kwa kututhibitishia kuwa bwana Masha ni mwanamtandao, ambao kwetu kwa hisabati za kirahisi ni kuwa WanaMtandao = Ufisadi. Usiku mwema.

Mtandao ni mafisadi, great, sasa inasema nini kuhusu wananchi tunaowachagua, labda sisi ni mafisadi zaidi kuliko wao!

Mkuu wangu MMJ,

Hayo maswali sina majibu sina mkuu, maana sijawahi kufanya kazi IMMA, wala serikali, lakini ni valid questions.
 
Mtandao ni mafisadi, great, sasa inasema nini kuhusu wananchi tunaowachagua, labda sisi ni mafisadi zaidi kuliko wao!

Mkuu wangu MMJ,

Hayo maswali sina majibu sina mkuu, maana sijawahi kufanya kazi IMMA, wala serikali, lakini ni valid questions.

amen!! kitu kimoja na admire kuhusu wewe msee FMES, ni loyal friend kwa friends zako!!! nakumbuka mjadala wa Caroline wa ubalozini UK, ni vizuri kusimamia watu wako na kile unachoamini. Ila mwambie Masha, yupo kwenye "spotlight." Awe makini, afanye kazi zake kwa uadilifu na ajiepushe na hizo conflicts of interest!!! carrier yake ya kisiasa bado changa, jimbo lake la ubunge lipo vulnarable sana...........awe makini!!!.
 
........Je Masha alijua kuwa Tangold na Deep Green zimechota Benki Kuu? Je alikuwa kwenye position ya kuweza kujua jambo hilo? Kama alijua alichukua hatua gani? Je anakubaliana na yaliyotokea ya Deep Green na Tangold? Je, kama waziri wa mambo ya ndani atakuwa tayari kujirecuse inapokuja suala la Polisi kwenda kufanya uchunguzi IMMA? Je anaweza kuhakikisha kuwa uchunguzi wa kipepelezi kwenye kampuni za Tangold na Deep Green hatauingilia kwa namna yoyote ile?

Na hili linamhusu yule Jaji aliyeteuliwa na Rais ambaye kabla alikuwa wakili pale Imma, je akipata kesi inayohusu Imma, Tangold, na Deep Green atajiondoa?.........

Nafikiri hapa ndio tulipoanzia haya mengine yalizukia huko katikati. But your presentation or rather querying is more constructive than the way we started. I hope bwana FMSE anaweza akatuletea haya majibu kwani yu karibu sana na mhusika. Kudo MKJJ.
 
Kampuni inaitwa IMMA ADVOCATES, hata Fatuma Karme (yule wakili aliyemtukana Hakimu Mkazi Kisutu ni mwajiriwa wake).

(Just to keep the records straight)
I beg your pardon,it is Imma Advocates.
**Thankx4 Ur Note Wambandwa.
 
Mkuu nilisoma community College Westchester kwanza , baadaye nika-transfer Lehman College, nimekutajia majina ya shule ili uweze kwenda huko kufuatilia kuwa nilichosoma ni bachelor miaka miwili na ninayo, kwa hiyo hata US short cut ya elimu inawezekana, I did it mkuu!

Inaelekea kua hujui kuwa bongo siku hizi aliyetoka majuu anayejua english safi, anaweza kupewa kazi kabla ya mwenye degree ya mlimani, nenda Standard bank ujionee mkuu,

Kuhusu Masha, naona hakuna ishu, anyways tunaweza kendeleea kuelimishana kuhusu mengine naona elimu nyingi inatolewa karibuni wakuu!

Navifahamu hivyo vyuo vyote lakini sidhani kama hii ilikuwa ni shortcut. Lakini sasa inaeleweka, you did it. Now go for more if you are still there.

Standard Bank n.k. wanachofanya ni kwa sababu ya poor policy ya uajiri Bongo na pia ile ya kutohimiza kiingereza mashuleni wakati vibosile wote Sirikalini wanapeleka watoto wao kusoma nje wanakoongea kiingereza. Wasiojiweza kabisa ndio wanawapeleka watoto wao Uganda. Haya na mengine ndio yanayowafanya waTanzania waogope EAF na hata participation yetu kwenye baadhi ya mambo kimataifa inakuwa ndogo.
 
Back
Top Bottom