Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,590
- 8,726
Msavila,
Hapa umesema kitu ambacho ni muhimu zaidi ktk mazungumzo haya. Naomba maelezo zaidi ktk upikaji huo ambao DSE wanakiri haukutokana na soko bali financial statement iliyotolewa. Nani alikuwa mhasibu mkuu na nani toka nje (mtu/shirika) aliyepitisha estmate hizo. Pili ushiriki wa Masha ktk upikaji huo utatusaidia zaidi.
MKANDARA et al nakumbuka kwenye sakata la TOL wanahisa walimtuhumu aliyepewa kazi ya kufanya FINANCIAL CONSULTATION for the purpose of initial PUBLIC OFFER YA TOL.....simkumbuki jina..wanahisa walimtuhumu kupika mahesabu ili kampuni iweze kuuza hisa,tatizo lingine alishindwa ku forecast vema ..shortfalls za bidhaa za TOL kwenye soko hasa ukizingatia wateja waliokuwa wakiipa TOL kiburi enzi hizo TBL,COCA COLA ,PEPSI ..Ets walikuwa wameuzwa kwa makaburu ambao ghafla bin vuu waliamua kununua gesi afrika kusini na kenya...hilo ndilo likawa pigo kuu kwa wanahisa TOL..kwa yule mchumi kushinda kuliweka hilo tishio kwenye prospectus..huku akijua wazi lingekuwa na impact kwenye uamuzi wa prospective share holders kuamua ilionekana kama CHEATING.....ijulikane kuwa hali ya kifedha TOL wakati wa kuuzwa haikuwa mbaya ...bali ni baada ya hali ya soko kubadilika ghafla....kama sikosei HUYU MSHAURI WA KIUCHUMI WA ILE IPO corrcect me if wrong ALIKUJA KUUWAWA KWA RISASI...na katika hatua za awali za kipelelezi zilisema aliuwawa na baadhi ya wanahisa waliowekeza mamilioni na kuambulia hasara ..hizo fununu hazikupata kudhibitishwa .....
HALI YA SASA YA TOL ni nzuri baada ya arnold kileo kuunda consortium mpya ya wazawa na kununua hisa zilizobaki za serikali..na kwa kuwa ana uzoefu na makaburu alifunga mitambo mipya iliyowezesha kufikia kiwango cha kufanya biashara na makampuni haya..ukweli hawa wazawa chini ya kileo wameleta mapinduzi makubwa pale...mwaka wa kwanza walipochukua hawakupata faida ila walifanikiwa kupunguza LOSS MARGIN...miaka mitatu mfululizo ikiwa pamoja na mwaka jana wameweza kupata faida kubwa ...na kwa mara ya kwanza wao ndio walifanikiwa kutoa gawiwo kwa WANAHISA kwa mara ya kwanza na wanaendelea kutoa......[/B]