Mtanganyika,
Ningekubaliana na wewe kuwa CV ya bwana Masha ingekuwa off limit kama tungekubaliana wote kuwa yeye ni safi au si-safi, na hakuna utata wowote kwenye kampuni yake ikiwa ni pamoja na hilo la ajira ya Ridhiwani na kazi za Deep Green.
1. CV ya Masha, haina utata wala haina ufisadi, (2). Kampuni ya IMMA sio ya Masha, (3). Uajiri wa Ridhiwani, ni totally clear kisheria kuwa ni uamuzi na IMMA na sio anyboy else, hata kama angekuwa hakusoma kabisaa bado ni umauzi wao IMMA, sio serikali au Jambo Fourms, (4). Deep Green ina ina patners wawili wa IMMA, na majina yao yametajwa lakini sio Masha.
Lakini kwa vile hatukubaliani, ndio maana inabidi kuangalia kila kitu kuhusiana na wahusika wote tunavyowaelewa kwani kuna mengi yanayoonyesha mikono ya watu tokea awali kidogo. Hiyo mikono pengine ndio iliyoendelea kuwaweka mahali walipo hivi sasa.
Anyekataa ni wewe kwa sababu zako binafsi, the original ishu ilikuwa ufisadi wa Masha, so far umeshindwa kuuonyesha, sasa ndio unataka kuanza uchunguzi, kwa nini hukuufanya kabla hujarusha tuhuma zako? Nani katika maisha hajasaidiwa in one way or another kufikia walipo? Wewe hukusaidiwa kufika ulipo? tuseme mbona tunaijua njia nzima mkuu?
Tuliyoona ni kuwa bwana Masha Alipata msaada kuingia UDSM
Humu forums kuna waalimu wa Mlimani, labda tuwaulize jinsi mtu unavyoweza kusaidiwa kuingia mlimani, huku ukiwa huna uwezo wa kusoma mimi sijawahi kuisikia hiyo!
Kuna uwezekano pia alibebwa kuongoza TOL maana hakuwa na uzoefu wa kushika nafasi hiyo
Hapana mkuu hakubebwa, isipokuwa alikuwa na uwezo na anao mpaka leo, aliweza kuwa Executive Manager kule USA, sasa itakuwa Oxygen bongo?
Kwa hiyo kama haya yaliwezekana, uwezekano ni mkubwa pia kuwa ingawa kielimu anao uwezo wa kuwa waziri, lakini kiuzoefu ni mfinyu na kwa hiyo labda bado anaendelea kubebwa katika nafasi yake ya sasa. Sababu za kubebwa ndio inabidi kutafuta kwani Ridhiwani anaweza akawa ni mojawapo au Deep Green n.k.
Nothing but majungu na fitina mkuu, huna ushahidi wa haya juu, wewe mwenyewe unasema labda meaning kwamba hujui unachosema kama ni kweli, lakini umemsingizia maneno mengi ya uongo kijana waziri Masha, tuache majungu wakuu! ndio maana bong tunshindwa kuendee majungu mengi mno na chuki nyingi mno!
My point is, kwa vile hatujafanikiwa kupata ushahidi kiunganishi (prima facie evidence), inabidi tuchimbe na kuchokonoa mpaka hapo utakapopatikana, kwa hiyo hivi sasa lolote kuhusu bwana Masha is a fair game. Hii ndio njia pekee ya kupata pamoja na mengine, majibu ya maswali uliyouliza hapo juu.
What a shame?
FM ni mmoja kati ya wanaofaa kuchibwa zaidi ili atoe yote anayojua.
Very good mkuu, wewe nichimbe na mimi nikuchimbe, ili na wewe uyatoe unayoyajua najua unajua mengi sana kutokana na background yako kikazi,
Ila in the future, kama huna ukweli usiwarushie viongozi au wananchi wasiokuwa na hatia maneno yasiyokuwa ya kweli, Masha sio fisadi kwa maneno yako hapa juu wewe mwenyewe unakubali kuwa huna ukweli labda uendelee kutafuta, sasa kwa nini ulikimbilia kumshitaki na kumhukumu hapa JF mkuu? Wewe ukifanyiwa hivyo utapenda? Acheni hizi wakuu, majina makubwa uraiani mnakuja kujishusha hapa kwa sababu mko nyuma ya internent, aibu hii maana sasa tutaamini vipi anything mnachosema?
Masha sio fisadi, maana huna ushahidi ni kukubali tu yaishe!