Kujikwaa kisiki mara mbili

Kujikwaa kisiki mara mbili

Wengine humu wamekuwa wakijisifu kwa kusema eti siasa ni sayansi 🙄 !
Sasa huwa najiuliza sana hivi kumbe na sayansi nayo huwa ni uongo uongo tu unaokubalika ??! 😳😎 !
 
Ikiwa unazijua sheria za Wakimbizi, shaka ni ya nini!
Ukiomba asylum huruhusiwi kurudi ulikokimbia kwa likizo au matembezi. Ikiwa, utajiridhisha kwamba tishio lililokuwepo halipo unaweza kukataa hiyo hifadhi na kurudi na utapoteza haki yako kama asylum seeker.

Pili, sheria haizui asylum seeker kukutana na Raia wa nchi aliyokimbia hata kiongozi maadam ni pale tu alipopewa hifadhi na kwamba usalama wake haupo hatarini.

Mkandara unajua kiongozi wa kundi la Wagner aliitwa Krelimlin na kuruhusiwa kufanya shughuli zake baada ya kumtishia Putin. Kilichofuata ni Yevgeny Prigozhin kufa kwa ajali ya ndege!

Tundu Lissu alisema ''nimepewa habari za ndani na watu wa kuaminika kwamba safari hii hawanikosi''

Ndio maana yake! Mbona haujajiuliza alijuaje mpango wa kwenda kumzika haraka kutokea Dodoma.

Wakati wanazungumza SSH alikuwa anataka 4R na kurudisha utulivu. Sijui kama unajua hata yeye alikuwa mhanga wa utawala wa JPM ingawa ni mambo ya ndani. Ipo siku alisema ''...mbona hakumsema wakati Simba wa Yuda akiwa hai'' . Huyu alikuwa Boss wake unadhani maneno hayo yalikuwa mazuri

CHADEMA hawaku challenge katika chombo chochote na wala hawajalalamikia matokeo. Kwa kifupi hawakushiriki
Wanao challenge ni Raia wwenye kutumia akili

Kama unavyotoa maoni ndivyo kila mtu ana yake

Fair enough! na una haki hiyo bila kuulizwa au kujieleza. Hata hivyo huna haki ya kumzulia maneno ili haki yako itimie.

absoutely
Mkuu tafadhali acha kuchekecha habari, Please naweza kuwa mjinga lakini sio mjinga hivo - Mkimbizi hawezi ruhusiwa kurudi nchi alokimbia na karuhusiwa Kugombea Urais halafu akimbie tena kwenda kuendelea na Ukimbizi wake - Imekuwa ndoa? Labda wewe nambie kwa nini hao wauaji wasuburi mpaka baada ya Uchaguzi wakati wangeweza kumuua kabla huko mikoani au vijijini alikuwa akienda kufanya kampeni? Je, kama Tundu Lissu ageshinda Uchaguzi wa Urais ingekuwaje? Yes CCM wangeweza pata Wabunge wengi hata wote, na Madiwani wote lakini Wakashindwa kwenye Urais!. Popular vote inatenganisha kura za Ubunge na Urais. Now what IF angeshinda!

Wakati karudi, tuliuliza kwa nini Magufuli hakumkamata mara tu alipotua Airport, Machawa wakasema yuko under EU protection, Magufuli hawezi kumfanya lolote! Heee haya kukubaliwa Mkimbizi awe mgombea Urais nako alikuwa under EU protection?

Yaani vituko juu ya vituko wasikubali kwamba Magufuli ndiye alomhakikisha Usalama wake na kampa Ulinzi wakati woe akiganya Kampeni za Urais. Isitoshe kama Magufuli ndiye hasidi wake kwa nini amuombe Ulinzi? Unawezaje muomba adui yako akulinde?

Kesi ya kiongozi wa Kundi la Wagner haifanani kabisa na hii kwa sababu kwanza alikuwa upande mmoja na Putin wakaishambulia Ukraine majeshi yake yakiwa mstari wa mbele, nia na dhamira ni kuichukua Kiev!

Huyu jamaa ni mwanajwshi hajui Siasa, Putin alijua wakiiteka Kiev na kumuondoa rais wao madarakani itakuwa wamevunja sheria za Kimataifa. Kama sisi tulivyovamia Uganda japo pia kesi ni tofauti.

Jeshi la Urusi likarudi nyuma wa withdraw. Jamaa hakupenda akageuza majeshi yake kwenda Moscow akitishia kupambana na hao Wasaliti. Yes, ujue sarafu ina pande 2, Kwa Putin msaliti ni huyo rafiki alogeuka kutaka kushambuliana na majeshi yake. Aliombwa alikatazwa lakini jamaa aliendelea kuongoza majeshi yake kuelekea Moscow - Partners in crime.
Tukio hili ni tofauti kabisa na kesi ya Tundu Lissu na Magufuli.

Labda nambie yeye na Samia hapo umerudi kwangu maana nina shaka na Mahusiano baina ya Tundu Lissu na Samia na mpaka tumefika hapa ni sababu ya hawa watu wawili walokuwa marafiki ghafla wakaanza kuhujumiana.

SSH mhanga kivipi? Unajua kwa mwanamke Magufuli aliposema mbele ya Umma Chaguo lake lilikuwa Hussein Mwinyi, lazima huyo mama ilimuuma sana, hata ningekuwa mimi. Magufuli alikuwa anapasua tu hajali anachokisema kinaweza muumiza mtu mwingine kiasi gani. Isitoshe Magufuli akiwa hoi kitandani alitaka Majaliwa ashie (akaimu) nafasi yake wakati akiendelea na matibabu (sio Samia). Za ndaaani vile vile tulisikia.

Kwa hiyo hata alipofariki kulitokea sintofahamu baina ya Majaliwa na Samia nani anatakiwa kuwa rais kwa mujibu wa Katiba maana vipengele vyote vipo ndani ya Katiba.. Mabeyo akafunga mjadala.

Well, naachia hapa kwa narudi kutaruta riziki halali.. baadae
 
Nani alikwambia Lissu aliomba ukimbizi RASMI ubelgiji?.
Kule alikuwa kwenye matibabu na visa yake ilikuwa hiyo.

Mkandara, unahamisha magoli sana.

Kiufupi uongozi wa Lissu wakati Mbowe akiwa jela uliweka pressure kubwa kwa serikali ya Samia nje na ndani ya nchi hadi kufikia hatua ya kuona kuwa kuendelea kumshikilia Mbowe ni LIABILITY kwao mpaka wakatafuta mazungumzo na Lissu. Ni Samia alipokwenda Ubelgiji aliyeomba kuonana na Lissu, na Lissu alionana na Samia huku akiwa na baraka za viongozi wenzake wa CHADEMA.

Sasa Mbowe alipotoka jela, kitendo cha kwenda Ikulu moja kwa moja bila ridhaa ya viongozi wenzake wa chama kwa nini afanye hivyo?

Pili Samia alikuwa anajua kuwa, Mbowe alipotoka jela, Mbowe alikuwa na mtaji mkubwa mno wa kisiasa ambao ungekuwa mwiba kwake, na faida kwa CHADEMA, akaamua kumdaka juu kwa juu ili kuset tone, kufanya damage control na kuneutralize mtaji ule wa kisiasa wa Mbowe. Hili jambo liliupset watu wengi.

Mbowe hakuishia hapo, akaendelea kumwaga sifa kwa huyu mama wakati huyu mama systematically ana undermine utawala wa sheria. Unakumbuka ile speach ya Mbowe kule Mwanza akiwa amepata kinywaji?. Vitu hivyo viliwaupset watu
Sitoendelea kubishana wakati vitu vyote tunajua. Yaani Tundu Lissu kenda Ulaya Kutibiwa wakati kakimbilia Ubalozi wa Ujarumani kuomba Asylum na kila mtu anajua! Kasindikizwa msafara utadhani ndiye rais, kupewa makazi Ubelgiji yeye na familia yake, kweli wanaishi huki kwa visa? Kafanya Siasa zake Huko kazunguka Ulaya majukwaani kuikashifu nchi yetu tuaipewe misaada.

Ya Mbowe sitoendelea kulumbana maana haisaidii kitu. Kama hujui Siasa weee ni Mwanaharakati sijui Mpigania Uhuru huwezi kumwelewa Mbowe wala nachoandika mimi.

Tuhuma zenu za kufikirika kutoheshimu Sheria na Katiba kwamba huyu ni rais wa NCHI nyie mkashindwa kuheshimu mkitarajia mna njia zenu za msituni endeleeni nazo. Mtaendelea kupotezwa, Taifa huru haliwezi vumilia watu wanaotangaza Uasi wakavumiliwa kwa sababu hoja yao kubwa ni kutaka kugawana VYEO.
 
Sitoemselwa kubushana wakti giti gyite tunajua. Yaani Tundu Lissu kenda Ulaya Kutibiwa wakati kakimbilia Ubalozi wa Ujarumani, kila mtu anajua! na kupewa makazi Ubelgiji yeye na familia yake, kweli wanaishi huki kwa visa?

Ya Mbowe sitoendelea.kulumbana maana haisaidii kitu. Kama hujui Siasa weee ni Mwanaharakati sijui Mpigania Uhuru huwezi kumwelewa Mbowe wala nachoandika mimi.

Tuhuma zenu za kufikirika kutoheshimu Sheria na Katiba kwamba huyu ni rais wa NCHI nyie mkashindwa kuheshimu mkitarajia mna njia zenu za msituni endeleeni nazo. Mtaendelea kupotezwa, Taifa huru haliwezi vumilia watu wanaotangaza Uasi wakavumiliwa kwa sababu hoja yao kubwa ni kutaka VYEO.
Duh!. Huyu ni Mkandara ninayemjua au Mkandara feki?.

Huyo rais unayesema ni rais kajipachika kwa kura za maruhani. Hana mandate yoyote ya umma!.
 
Duh!. Huyu ni Mkandara ninayemjua au Mkandara feki?.

Huyo rais unayesema ni rais kajipachika kwa kura za maruhani. Hana mandate yoyote ya umma!. Sasa unawezaje kumpindua rais asiye halali?
Magufuli alishinda Uchaguzi Mkuu wa 2020. Yaani piga ua Tundu Lissu asingeweza kumuondoa Magufuli baada ya Magu kufanya makubwa aloyafanya nchini kwa miaka hiyo mitano.ya kwanza..Haiwesekani wala haingii akilini.

Mazishi yake kpekee yalitupa picha kubwa kujua Umaarufu wake Tanzania japo wapo waliomchukia. Ni rais pekee alopendwa Bara na Visiwani
.
Yes kwenye Ubunge na Udiwani nakunali yawesekana kabisa Kulifanyika michezo mibaya, lakini URAIS?

Bro, hakuna mgombea yeyote angeweza kusimama na Magufuli 2020. Na hata akifufuka leo akarudi hai hakuna wa kumshinda, tena ndio itakuwa miujiza ya Yesu..😂😂😂
 
Sitoendelea kubishana wakati vitu vyote tunajua. Yaani Tundu Lissu kenda Ulaya Kutibiwa wakati kakimbilia Ubalozi wa Ujarumani kuomba Asylum na kila mtu anajua! Kasindikizwa msafara utadhani ndiye rais, kupewa makazi Ubelgiji yeye na familia yake, kweli wanaishi huki kwa visa? Kafanya Siasa zake Huko kazunguka Ulaya majukwaani kuikashifu nchi yetu tuaipewe misaada.

Ya Mbowe sitoendelea kulumbana maana haisaidii kitu. Kama hujui Siasa weee ni Mwanaharakati sijui Mpigania Uhuru huwezi kumwelewa Mbowe wala nachoandika mimi.

Tuhuma zenu za kufikirika kutoheshimu Sheria na Katiba kwamba huyu ni rais wa NCHI nyie mkashindwa kuheshimu mkitarajia mna njia zenu za msituni endeleeni nazo. Mtaendelea kupotezwa, Taifa huru haliwezi vumilia watu wanaotangaza Uasi wakavumiliwa kwa sababu hoja yao kubwa ni kutaka kugawana VYEO.

unawezaje kumpindua mtu ambaye aliipindua katiba ili kuwepo hapo alipo. Katiba inasema uongozi ni lazima iwe ni kwa ridhaa ya wananchi, niambie ridhaa ya 98% ni real au feki?
 
unawezaje kumpindua mtu ambaye aliipindua katiba ili kuwepo hapo alipo. Katiba inasema uongozi ni lazima iwe ni kwa ridhaa ya wananchi, niambie ridhaa ya 98% ni real au feki?
Kwa mujibu wa sheria na Katiba. Kura zote zilopigwa huhesabiwa hakuna idaei kamuli ya kusema mpaka wapiga kura wafike mil. Kadaa ndio utakuwa Uchaguzi halali.

Kwa hiyo kama walopiga kuta ni Mil. 10 kati ya idadi ya wapiga kura waloandikishwa Mil. 35. Itatazamwa asilimia ya watu Mil. 10 walopiga kura sio Mil. 35.

So, Aslimia 98 ni halali ikiwa hata walopiga kura ni Mil. 3. Ndio maana tunasisitizwa wananchi kwenda kupiga kura. Ukiacha kupiga Kura unaweza mpoteza Kiongozi unayemtaka aongoze NCHI.

Taarifa yao walijikanyaga tu waliposema Walipiga kura ni Mil. 32. idadi hiyo sijui waliipata wapi, hapa ndio tunaweza question Idadi ya Wapiga kura sio Asilimia..

Karibu sana
 
Kama mheshimiwa rais aliwahi kukaa na cdm kutafuta maridhiano,naamini kuwa Kuna kitu kilichomfanya rais akubali kukaa na chadema.Rais alitambua hao jamaa walikuwa na hoja ya maridhiano.Hivi Rais na watu wasemao hakuna haja ya Mariano nani mkweli?
 
Kwa mujibu wa sheria na Katiba. Kura zote zilopigwa huhesabiwa hakuna idaei kamuli ya kusema mpaka wapiga kura wafike mil. Kadaa ndio utakuwa Uchaguzi halali.

Kwa hiyo kama walopiga kuta ni Mil. 10 kati ya idadi ya wapiga kura waloandikishwa Mil. 35. Itatazamwa asilimia ya watu Mil. 10 walopiga kura sio Mil. 35.

So, Aslimia 98 ni halali ikiwa hata walopiga kura ni Mil. 3. Ndio maana tunasisitizwa wananchi kwenda kupiga kura. Ukiacha kupiga Kura unaweza mpoteza Kiongozi unayemtaka aongoze NCHI.

Taarifa yao walijikanyaga tu waliposema Walipiga kura ni Mil. 32. idadi hiyo sijui waliipata wapi, hapa ndio tunaweza question Idadi ya Wapiga kura sio Asilimia..

Karibu sana
Wanasema kuwa waliopiga kura ni watu milioni 32. Turnup percent ya kushinda hata enzi za Nyerere.
Na wewe unaamini haya?. Katika mazingira yale, wewe unaamini watu milioni 32 walitoka kupiga kura?

Mwalimu alisema mtu mzima akikwambia kitu cha kijinga na anajua kuwa unajua kuwa ni cha kijinga kisha ukamuamini ANAKUDHARAU
 
Hivi niloandika hapo juu kitu gani hukuelewa? Hulka yangu mkuu ni ile alosema JK - "Ya kuambiwa changanya na zako" . Na labda niseme kwamba rais pekee Mwanasiasa kiuhalisia alowahi kutokea baada ya Nyerere ni JK. Tazama tofauti zao hao watu na viongozi wengine utajua nazungumzia nini.

Narudia - Nilisema hivi, Kushinda asilimia 98 sio hoja kwa sababu hata wakipiga kura watu 100, walosema ndio ni 98 na hapana ni 2 itatangazwa ushindi wa asilimia 98 kwa NDIO. Hizi ndio sheria za Uchaguzi zote duniani, hakuna idadi kamili ya wapiga kura inayotakiwa kufikiwa ili kura ziwe halali. Sisitizeni Wananchi wakapige kura badala ya kulalamikia asilimia.

Na nikaongezea pahala Walipochapia ni kusema walopiga kura ni Mil. 32 hapo ndio UONGO ulifanyika kwa sababu kila.l mtu anajua hawakufika idadi hiyo pengine hata nusu ya idadi hiyo haikufika. Kama Chadema wange question basi walopiga kura hawakufika Mil. 32 sio hoja ya Asilimia ngapi.

Na mwanzo kabisa nilisema, asilimia 98 ya Ushindi wa Samia sio shida kwangu kwa sababu Samia hakuwa na Mshindani. Sikuona Mgombea yeyote wa Upinzani aloshiriki ambaye angepata hata asilimia 10. Kwa hiyo Asilimia 98 hainisumbui.

Niongezee kusema kama CCM wangefanya Uchaguzi wa ndani ile January 19, kutafuta Mgombea Urais, Samia asingepita. Na kama Mpina wa ACT angeshiriki Kugombea Urais na akafanya kampeni nchi nzima, sidhani kama Samia angepita!

Huu ni mtazamo wangu mimi, silazimishi mtu kuniamini na wapo watakao pinga lakini mimi naamini Samia ana lack Leadership Values kama Tundu Lissu.

Ni Wabinafsi, it's all about them (waimbwe majina yao wao nchi nzima) hawana Uzalendo kwa nchi yao wanasumbuliwa na egotism japokuwa Lissu alimshangaa Samia kusambaza picha zake kila barabara Tanzania kama tuko North Korea.. lakini kwangu mimi wote ni kama Mbwa kuitwa Jibwa.
 
Kumlinganisha Tundu Lissu na Samia kwenye leadership ni kuifanyia masihara hekima.
Lissu has never killed even a fly!
 
Back
Top Bottom