Māra is the highest-ranking goddess in Latvian mythology, Mother Earth, a feminine counterpart to Dievs. She takes spirits after death. She may be thought as the alternate side of Dievs (like in Yin and Yang). Other Latvian goddesses, sometimes all of them, are considered her assistants, or alternate aspects. Māra may have been also the same goddess as Lopu māte, Piena Māte (Mother of the Milk), Veļu māte or Vélių motę (mother of the souls/spirits), Zemes māte (Mother of the Earth), and many other "mothers", like of Wood, Water, Sea, Wind.
Wakazi tunaoishi maeneo ya jirani na misikiti tunakujulisha kwamba tunkabiliwa na changamoto ya kelele zinazotokana na shughuli mbalimbali za ibada(mara tano kwa siku), hali hii imekuwa ikiathiri kwa kiasi kikubwa maisha yetu ya kila siku, ikiwemo kupumzika, kufanya kazi, na kupata usingizi wa...
Huku Yombo tunachangamoto ya umeme, mfano wanaweza kukata kuanzia Saa 12 Asubuhi wakakata hata mara nane kwa staili ya kukata na kurudisha, hii si sawa wataunguza vyombo vya watu.
Kwa sasa changamoto ndiyo imeongezeka zaidi. Mfano juzi kuanzia Saa 12 Asubuhi mpaka Saa 6 Usiku umeme umekatika...
Anonymous
Thread
changamoto
hata
kukata
kurudi
mara
siku
tuna
umeme
Watu gani walitabiriwa hawataonja mauti kabla Bwana hajaja mara ya pili
Ni wakina nani ambao Bwana alisema hawataonja mauti mpaka atakapokuja?
Yesu akiwa anafundisha watu katika eneo la Kaisaria Filipi, ambalo liko karibu kilomita 25 hivi kutoka mlima Hermoni, aliwatangazia mitume wake jambo...
Kwa wakazi wa geita wanafahamu, uwanja wa shule ya msingi kalangalala, zamani kwa pembeni ya uwanja kulikia na center kwa ajili ya private candidates na watumishi wanao jiendeleza au kujiandaa kufanya mtihani wa kidato cha sita. Na cha nne na wanafunzi nilikua nawaona hpo japo si wengi.
Sasa...
Humo kambini nyarugusu kuna vipaji vya kutisha , kwanzia muziki , mpira na hata uchekeshaji.
Hawa vijana wa kambini hawana uhuru kamili ila ukiwatazama , wana vipaji vikubwa na ujasiri mara kumi ya vijana wetu.
Kuna vijana wakibembe unaona kabisa wangepewa sapoti na serikali yetu...
Katiba inayompunguzia Rais madaraka yake inalenga mambo mabaya sana yamtokee Rais kirahisi kabisa.
Kupunguza madaraka ya Rais maana yake Rais atazunguukwa na watu asiowajua na kuwaamini wengi.
Kama Mwl. Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Magufuli na Samia wangekuwa na Katiba ambayo hawajui namna...
Bodaboda aliyemgonga doctor Sokile pale Sayansi Dar es salaam siku ya 30-10-2026 na kumuua sijui anajisikiaje saa hii.
anazikwa leo 6-11-2026.
BODA BODA ASIYE NA LESENI ALIYEKUWA ANAKIMBILIA ABIRIA WA ELFU MOJA AMETTULIA MTU HUYU:1
Elimu ya Juu:
Ana Shahada ya Uzamivu (PhD) katika Masomo ya...
Eti baada ya Simba kuifunga Yanga ndio mumfunge mikono, miguu na mdomo mangungu asiseme wala kuiongoza Simba kama mwenyekiti kwa mujibu wa Katiba ya Simba sports club.
Kuna haja ya kuchunguza na kumulika kwanini familia ya Dewji inaitaka Simba kwa hali na mali (do or die) hata ikibidi kumuua...
Natoa wito kwa Wizara ya Ujenzi, TANROADS, Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani na mamlaka nyingine zinazohusika kuchukua hatua za haraka kuimarisha usalama wa watumiaji wa barabara ya Kimara–Kibaha.
Licha ya barabara hii kuwa ya kisasa yenye njia sita, hali ya usalama kwa watumiaji...
Waziri wa Nishati Dkt. Juma Homera ametangaza rasmi ugunduzi mpya wa Gesi Asilia yenye futi za ujazo bilioni 223 katika Kisima cha Kasa kilichopo Katika Kitalu cha Mnazi Bay Mkoa Mtwara.
Dkt. Homera amefanya uzinduzi huo leo Oktoba,27, 2026 na kusema kuwa hilo ni tukio kubwa katika maendeleo ya...
Asante mungu atimae nimemaliza recording bado video production tu naachia ngoma zangu mbili, nadhani KAZI itabaii kwenu kusambaza mziki yangu Kuna wamiliki wa online media hapa pliz tushikane wakuu, page za insta fb nk
Kinachoendelea huko Mbeya kimeonyesha hii ni version nyingine kabisa ya vijana waliojivua gamba la uoga
Gari za polisi zinaonekana kama ambulence, zinawasogelea wakidhani watakimbia ila hawana hofu kama tuliyozoea
Mikoa mingine kama Kigoma, Kagera, Rukwa, Singida, Iringa, Ruvuma, Tanga...
Mimi nikipita sehemu lazima watu watashtuka kidogo, na huwezi niangalia mara moja, utageuka tu mara ya pili, wote wanaume na wanawake. mwanzoni nilikua nashtukia lakini baada ya kujua ni muonekano wangu bas sasa nimeshazoea.
Na asio kua weupe unanibeba, hapana, ila kuna ile hali ya kua na...
Nchi za Ulaya zinapaswa kuondoa wahamiaji warudi kwao waache unafiki wa kutaka kuwaridhisha watu. Wimbi la uhamiaji limeharibu hizi nchi kitamaduni, kiuchumi na kila kitu.
Jambo lingine linalonishangaza, nenda mashariki ya kati, njoo afrika, ni vigumu eti ahamie mzungu hapa Tanzania aishi kiasi...
Habarini wanangu, wazee wenzangu,kaka zangu, wadogo zangu n.k
huwa na uzee huu nilionao naumia mno nikiona watu hasa vijana na laymen wengine wakipewa taarifa za ungo. kwenye eneo lolote lile, naumia mno
.....ipo hivii.. mimi nimeona mengi, nimepigana vita vingi na nimekwepa...
Na zaidi sana,
kufanya mapenzi mara kwa mara kwa usahihi na kikamilifu, huchochea amani moyoni na utulivu wa akilini kitu ambacho hupelekea ufanisi mkubwa katika kazi na majukumu mbalimbali ya kujitafutia kipato, kwa kua moyo na ubongo vina afya iliyoimarishwa baada ya kufanya mapenzi kwa...
Sisi wana CCM tulianza ichukia zamani sana Simba S.C hii team wanajifanya wao ndo wasomi, wao ndo waelewa.
Simba ikifungwa huwa nawahi Msikitini kufanya usafi na swala . Nakuwa na furaha sana. Hili li team linatumika na wapinzani wa CCM pia kuhujumu harakati. Mi silipendi kabisa. Nlishapigwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.