Kama unahitaji kompyuta desktop, laptop, na software / programu

Kama unahitaji kompyuta desktop, laptop, na software / programu

Tech Max

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2025
Posts
400
Reaction score
365
Kama unahitaji kompyuta desktop na laptop ,na software / programu nicheki ,mkoa wa dar es salaam

mikoani tunatuma kwa uaminifu
 
Laptop mnauza kuanzia shigap ,used?
50174.jpg

Bei laki 300,000...ina i5 processer intel,hdd 500GB, RAM 8GB,chaji inakaa saa moja...nicheki 0756704145
 
Kama unahitaji kompyuta desktop na laptop ,na software / programu nicheki ,mkoa wa dar es salaam

mikoani tunatuma kwa uaminifu
Nitumie desktop moja mkuu, nipo kazuramimba kigoma huku
 
Hii laptop ya 15m ikoje boss, kapicha na sifa zake
Ipo ya 20m MSI TITAN 18 HX DRAGON EDITION,mpya...

Specs. RAM 96GB DDR5, Graphics card RTX 5090 24GB VRAM,96GB RAM, SSD 4TB
 
Back
Top Bottom