Dar es Salaam is the largest city and financial hub of Tanzania. With a population of over five million people, Dar es Salaam is the largest city in East Africa and the sixth-largest in Africa. Located on the Swahili coast, Dar es Salaam is an important economic center and one of the fastest-growing cities in the world.
Kamwene,
Huu ni ushauri wa wazi na wa kujenga kuhusu suala la usafi wa barabara za Dar es Salaam, hasa katika maeneo yenye shughuli nyingi za ujenzi, biashara na makazi.
Moja ya changamoto inayoonekana katika barabara nyingi za Dar es Salaam ni matumizi makubwa ya watu kufagia barabara kwa...
Dar el salaam mpya ( New Dar Es Salaam) yote Leo imehamia Kiwalani kuanzia saa kumi hadi saa kumi na mbili. Kama hukuwa Kiwalani Leo mida hiyo I have very little to tell you.
U were supposed to be there..
# Kiwaside Halla.
#Mascombisco.
New Dar Es salaam = Back City ( Mbagala), Chanika...
Habari ya wakati huu.
Mwenye mahitaji mashine ya kununua, spea parts, na service za mashine hizi chini, karibu tuwasiliane zaidi.
1. Tractor (35hp, 50-60hp, 75hp) na Power tiller 15.5hp
2. Forklifts ( 3.5T, 5T & 7-10T)
3. Generators ( 17kva - 550kva )
4. Wheel loaders ( 3T & 5T)
5...
🏠
Nyumba za vyumba 3 vya kulala zinauzwa UPANGA!
📍 LOCATION: UPANGA, Dar es Salaam - Karibu na kila kitu!
💰 BEI: Kuanzia Milioni 540 TZS
HUDUMA ZILIZOPO:
✔️ Self-contained rooms
✔️ Fully fitted wardrobes & Kitchen
✔️ Ample parking space
✔️ Secure location na CCTV 24/7
✔️ Standby generators -...
Nimevutiwa sana na story ya Gautama Buddha na nimeamua kutaka kujifunza kuhusu Buddhism kwa lengo la kujiunga na kufuata mafundisho yake.
Kwa sasa sioni Ukristo wala dini yangu ya asili ikinipa matokeo ninayoyatafuta zaidi ya matumaini, hivyo nimeamua kutafuta njia nyingine ya kiroho...
Wahenga, miaka ya zamani nikiwa kama msikilizaji nguli wa RTD kuna kipindi nilikuwa nakipenda sana kiliitwa Mshindi ni Nani.
Wakati kile kipindi kinaanza, kulikuwa na biti moja kali sana halafu unasikia kama mtu anapiga yowe "uuuuuwih...yau...yauyau" halafu ndo inakuja sauti ya kike kwa madaha...
Nilikuwa naona kama watu wa bandari walafi tu wa eneo. Ila ukilinganisha na bandari zingine, bandari ya Dar ina eneo dogo sana. Bandari kubwa(kwa mizigo) zaidi Afrika ni ya Tangier, Morocco. Ina eneo la ardhi la ekari 2,500. Bandari ya Mombasa, Kenya ina jumla ya eneo la ekari 3,000. Ban mydari...
BEI ZA MBAO
2*2: 2,200/=
2*3: 3,500/=
2*4: 5,000/=
2*6: 7,000/=
1*4: 2,200/=
1*6: 4,200/=
1*10: 13,000/=
TUNAPATIKANA DAR ES SALAAM, BUGURUNI,MTAA WA
MADENGE ,KARIBU NA MSIKITI WA ALBANI.
MAWASILIANO
0748874928 (PIGA/SMS/WHATSAPP)
Wakuu, habari za mchana huu.
Kuna changamoto naona inazidi kushamiri kwenye mitaa yetu mingi hapa Dar es Salaam, nayo ni tabia ya baadhi ya watu kuchoma moto taka katikati ya makazi ya watu. Lugha ya mtaani wengi wanasema "kusoma matakataka."
Kimsingi, jambo hili limekuwa likisababisha moshi...
Barabara ya Mwenge, ambayo ni miongoni mwa makutano makuu na muhimu zaidi jijini Dar es Salaam, inaendelea kushuhudia msongamano mkubwa wa magari, hasa wakati wa asubuhi na jioni. Eneo hili linalounganisha Barabara ya Ali Hassan Mwinyi, Bagamoyo, na Sam Nujoma ni kiungo muhimu sana cha usafiri...
Inakuwaje nauli kuwa kubwa kuliko umbali halisi wa safari? Je, nauli hii imepitishwa na LATRA kweli? Kama imepitishwa, ni vigezo gani vilivyotumika kuamua kiwango hiki cha nauli, na inalingana na viwango rasmi vilivyowekwa?
Wananchi wanastahili kupata maelezo ya wazi kuhusu namna nauli...
Anonymous
Thread
dardaressalaam
kupitia
latra
mpaka
nauli
vijijini
wapi
UPANUZI NA UBORESHAJI WA BANDARI YA DAR ES SALAAM MAMBO YAZIDI KUNOGA
UJENZI WA MATENKI YA KUPOKEA NA KUHIFADHI MAFUTA WAFIKIA ZAIDI YA ASILIMIA 52.
Mradi huu Utagharimu kiasi cha Shilingi Bilioni 678 za Kitanzania.
Matenki haya yatafanya jumla ya Ukubwa wa Cubic Meter 389000 sawa na Lita...
TURAHISISHE MAISHA: STENDI YA MAGUFULI ISIWE MWISHO WA UBUNIFU WA USAFIRI DAR ES SALAAM
Na GULATONE MASIGA
Uamuzi wa Serikali wa kuimarisha matumizi ya Stendi Kuu ya Mabasi ya Magufuli iliyopo Mbezi kwa shughuli za kupakia na kushusha abiria ni sehemu ya juhudi za kupanga upya mfumo wa usafiri...
Naomba majibu tafadhali na mtuambie watu wa mikoani imekuwaje kuwaje mpaka kumpa nafasi kubwa namna hiyo mpaka Rais analalamika mji wenu ni mchafu mpaka aibu.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amekemea hali ya uchafu uliokithiri katika miji, hususan jiji la Dar es Salaam. Akizungumza Septemba 2, 2026, katika Ikulu Ndogo ya Tunguu, Zanzibar, wakati akiwaapisha Wakuu wa Mikoa na Katibu Tawala wa Mkoa, Rais Samia ameeleza kuwa...
Need a secure, spacious, and strategically located warehouse for your business?
Kitomai Properties connects you with warehouses for rent and sale across:
Ubungo | Chang’ombe | Mikocheni | Nyerere Road | Mbagala | Kigamboni & More
Perfect for:
Storage
Logistics
Distribution
Manufacturing...
Mimi ni mhitimu wa Diploma katika chuo cha Ukutubi na Uhifadhi nyaraka School of Library and Documentation Studies (SLADS) kilichopo Dar es Salaam, chini ya Maktaba ya Taifa.
Tangu tulipoanza masomo ya Certificate mwaka 2023, tulilipa fedha kwa ajili ya bima ya afya, lakini hadi leo...
Anonymous
Thread
chuo
chuo cha ukutubi
dardaressalaam
nyaraka
uhifadhi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.