Dar es Salaam is the largest city and financial hub of Tanzania. With a population of over five million people, Dar es Salaam is the largest city in East Africa and the sixth-largest in Africa. Located on the Swahili coast, Dar es Salaam is an important economic center and one of the fastest-growing cities in the world.
Explore Latest Trending Jobs in Dar Es Salaam, 2026
Apply Faster and conveniently with besttalentreach platform
1. Storekeeper & Procurement Officer — Tanzania, Dar es Salaam
2. Accountants - 2 posts — Tanzania, Dar es Salaam
3. Marketing Manager - 1 post — Tanzania, Dar es Salaam
4. Sales...
1. UTANGULIZI
Elimu ya fedha ni nyenzo muhimu katika kuwawezesha wananchi kufanya maamuzi sahihi kuhusu akiba na uwekezaji. Miongoni mwa fursa zinazopatikana katika masoko ya mitaji ni uwekezaji katika hisa, ambao humwezesha mtu kumiliki sehemu ya kampuni na kushiriki katika matokeo ya biashara...
Wanabodi,
Mimi mwanabodi mwenzenu, leo niko Delta Hotel jijini Dar es Salaam, to share na nyinyi uzinduzi wa Kitabu
kilichoandikwa na Marsha Msuya Kileo.
https://youtube.com/live/vpYHWWtVFVs
Hiki ni kipindi maalum cha uzinduzi https://youtu.be/y_zJipDG18M?si=jHpEazmnCgMnkSab
Hii ni Story ya...
Na hii ni kutokana na mizaha, dhihaka na dharau za kiwango cha juu sana dhidi ya tahadhari zinazotolewa na mamlaka husika pengine zaidi hata ya wale waliokua wakimdhihaki Nuhu wakati akijenga safina kujiepusha na gharika.
Tayari baadhi ya mikoa kama vile Kigoma, Manyara na kanda ya ziwa...
Leo nikiwa maeneo ya Samora, Posta Mpya, nilishuhudia watu wawili wakikimbizana kwa kasi kubwa. Kilichonishtua zaidi ni kwamba mmoja aliyekuwa akimkimbiza mwenzake alikuwa ameshika kisu. Mwanzoni nilihisi huenda kulikuwa na mwizi, lakini baada ya dakika chache, mtu huyo mwenye kisu alirejea...
Anonymous
Thread
chama
dardaressalaam
jiji
jiji la dar
mamlaka
serikali
Habari za majukumu wana-JamiiForums,
Wasifu wetu ni FUNDI FRIJI DAR, tunajishughulisha na utoaji wa huduma za ukarabati, matengenezo, na service ya vifaa vya ubaridi majumbani na maofisini jijini Dar es Salaam.
Huduma Tunazozitoa Mahususi:
• Matengenezo ya friji na freezer za aina zote...
Utajiri hauanzii kwenye fedha nyingi; wakati mwingine huanzia kwenye ujuzi, uthubutu na uwezo wa kuona fursa pale wengine wanapoona changamoto.
Wakuu, leo ningependa kushiriki historia ya marehemu Mzee Joseph Mfugale, mfanyabiashara Mtanzania anayekumbukwa kwa kuanzisha Peacock Hotel jijini Dar...
Habari wana JF,
AtlasCommTech ni msambazaji wa moja kwa moja kutoka kiwandani (China) wa vifaa vya CCTV na mitandao (network). Tumekuwa tukiuza na kufunga mifumo hapa Dar es Salaam kwa zaidi ya miaka 2, tukiwa na miradi mingi ya wateja wa hapa nchini.
Tunauza:
Kamera za CCTV (IP/PoE) -...
Julai 15, 2026, Mdau aliandika hoja kuhusu miundombinu ya Kituo cha Segerea kinachohudumia daladala za maeneo mbalimbali kuwa ina hali mbaya, alieleza kuwa imeharibika na kwamba hiyo haikuwa mara ya kwanza kuibuliwa kwa hoja hiyo.
Hoja ya awali ~ Stendi ya Segerea - Dar kimeo sana, miundombinu...
Ninashangaa kuona kuwa hadi mwaka 2026, Serikali bado inajenga barabara zenye njia mbili tu kwa magari ya kawaida, licha ya changamoto kubwa ya foleni jijini Dar es Salaam.
Kwa mfano, eneo la barabara ya Airport lina nafasi kubwa ambayo ingeweza kutumika kujenga njia nne za magari ya kawaida na...
Anonymous
Thread
barabara
dardaressalaam
haziendani
kuhusu
maendeleo
mji
ndogo
ujenzi
ujenzi wa barabara
Tunaiomba Bolt kuboresha huduma kwa wateja jijini Mwanza kwa kuanzisha ofisi ya huduma kwa wateja au kuweka njia rahisi na za uhakika za kupata msaada.
Wateja na madereva wa Bolt tumekuwa tukikabiliwa na changamoto mbalimbali, lakini tunapojaribu kuwasiliana na kampuni hiyo, mara nyingi...
Habari wana jf,
Kwa kifupi kila nikipata safari ya kikazi, familia au mapumziko na kufika au kupita Dar es Salaam
Huwa na ondoka nikiwa na huzuni sana moyoni mwangu
Kwasababu hizi chache
1. Ndio sehemu ambayo hunikumbusha kwamba ninaweza kuwa bora sana katika shughuli zangu za kiutafutaji au...
08 October 2026
KONGAMANO LA KIMATAIFA LA SACCA 2026 / 2026 SACCA CONGRESS DAR ES SALAAM 11 – 16 October 2026
26th SACCA Congress to bring more than 1, 200 cooperative leaders in Dar es Salaam
https://m.youtube.com/watch?v=tFw2aqH6Xi8
Held under the theme, “Building Trust, Driving...
Mahakama kuu ya Tanzania, Masijala Ndogo ya Dar es Salaam, imeahirisha kutolewa kwa uamuzi wa maombi ya zuio katika kesi inayowahusisha Said Issa Mohamed na Ahmed Rashid Khamis dhidi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
Mahakama imesema uamuzi huo umesogezwa mbele hadi tarehe 22...
Natafuta fundi professional mwenye uzoefu na uwezo mkubwa katika ushonaji wa suit za kiume, kwa ajili ya kufanya naye kazi kwa muda mrefu.
Workshop ipo Mbezi Beach, Dar es Salaam, ikiwa na mashine za kisasa, nzuri na za kutosha pamoja na mazingira mazuri ya kazi.
Awe na uwezo wa:
• Cutting na...
Bandari ya Dar es Salaam imeorodheshwa nafasi ya 255 duniani katika Container Port Performance Index (CPPI) 2025, ikiwa mbele ya Mombasa (396), Durban (398) na Cape Town (400). Tathmini ya Benki ya Dunia na S&P Global hupima ufanisi wa bandari kwa kuangalia muda ambao meli hutumia bandarini...
Watu mbalimbali wakiwasili kwenye ukumbi wa mikutano wa JNICC jijini Dar es salaam kwa ajili kuhudhuria mkutano wa COP12 ambao Tanzania imeweka rekodi ya kuhost kwa mara ya kwanza.
Kwa mujibu wa sheria, TARURA ina mamlaka ya kutoza ushuru wa maegesho katika maeneo maalum ambayo yametengwa na kuandaliwa kwa ajili hiyo.
Hata hivyo, kinachoendelea katika baadhi ya maeneo ya Dar es Salaam kinaibua maswali kuhusu utaratibu wa utozaji huo.
Unapokwenda kwenye baadhi ya...
Hamjambo wote!
Mwezi wa nane nilikuja humu na post yenye kuzungumzia kero ya uchafu katika jiji la Dar es salaam. Ingawaje nilimaanisha ni suala la kitaifa. Dsm ilikuwa kama cade study tuu.
Uzi huu...
MAMLAKA ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) imeingia katika hatua ya ziada ya kuboresha ufanisi wa huduma na kupanua miundombinu ya bandari zake, huku ikilenga kukabiliana na ongezeko kubwa la meli na mizigo pamoja na kuimarisha ushindani wa bandari nchini katika soko la kimataifa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.