Darkənd (also, Dər, Dar, and Der) is a village and municipality in the Ordubad District of Nakhchivan, Azerbaijan. It is located in the south of the Ordubad-Nakhchivan highway, 15 km in the south-west from the district center, on the right bank of the Gilanchay River. Its population is busy with gardening, vegetable-growing, animal husbandry. There are secondary school and a medical center in the village. It has a population of 500. The ruins of the historical and architectural monuments is in the territory of the village. The tomb, the mosque's minaret, etc. is attracting attention.
Hivi karibuni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam ametangaza mpango wa kusimamia usafi na kupiga vita utupaji taka ovyo baada ya maelekezo ya Mh. Raisi. Ni hatua ya kupongezwa. Lakini ukweli tunaoujua sote ni kwamba kampeni za usafi huja na kuondoka — kinachokosekana ni mfumo wa kudumu unaomfanya...
Dar el salaam mpya ( New Dar Es Salaam) yote Leo imehamia Kiwalani kuanzia saa kumi hadi saa kumi na mbili. Kama hukuwa Kiwalani Leo mida hiyo I have very little to tell you.
U were supposed to be there..
# Kiwaside Halla.
#Mascombisco.
New Dar Es salaam = Back City ( Mbagala), Chanika...
JKN Airport (DAR) bado ina mapundufu makubwa sana kwenye nyanya za kimataifa ila mimi binafsi ninakerwa na hizi tatu:
(a) Kutokuwa na mfumio unform wa kuhudumia wateja. JKN sasa hivi hutoa upendela wa wazi wazi kwa wachina kuliko mteja yeyote. Mnajipanga kwenye foleni moja, halafu mchina aliyeko...
Mimi ni mkazi wa Mbuyuni-Salasala, Dar es Salaam. Kuna baa mpya imeanzishwa takribani miezi miwili na nusu iliyopita, ikiwa kwenye ghorofa, na imekuwa kero kubwa kwa wakazi wa maeneo ya jirani.
Muziki unaopigwa kwa sauti kubwa huendelea hadi usiku wa manane, hali inayofanya iwe vigumu kupata...
Meneja Mpya wa Jengo la RITA TOWER lililopo hapa Dar amekuja ameondoa sinks za kunawia na mifumo ya maji vyooni, sehemu za kunawia kwa ajili ya maboresho lakini hadi sasa ni wiki ya NNE hakuna maji ya kunawa na sinks vyooni kwenye floors zaidi ya 15 kati ya 26 za jengo hili.
Tumemfikishia...
Madereva wa Dar es salaam kufungiwa leseni . Hizi sheria ziop lakini huwa hawafuati.
1. Dereva wa Hizi Eicheza za Gongo la Mboto- Masaki, Kawe- Tegeta na Gerezani, wao muda wote wanapiga honi kali bila msingi wowote.
2. Maderva wa bajaji , mbezi -gerezani wao wanaendesha pole pole na wanakaa...
Huu utaratibu kuwekewa uchafu mlangoni kwenye makazi yetu wakati mtambo wa kusafisha Mto Ng'ombe hapa Dar sio salama kwetu kwa kuwa uchafu wote unakuja kwenye makazi yetu na kutuweka katika hali hatarishi kiafya.
Anonymous
Thread
dar
kiafya
kusafisha
kuweka
makazi
makazi ya watu
milango
mto
ng'ombe
salama
sio
uchafu
Nimevutiwa sana na story ya Gautama Buddha na nimeamua kutaka kujifunza kuhusu Buddhism kwa lengo la kujiunga na kufuata mafundisho yake.
Kwa sasa sioni Ukristo wala dini yangu ya asili ikinipa matokeo ninayoyatafuta zaidi ya matumaini, hivyo nimeamua kutafuta njia nyingine ya kiroho...
Wahenga, miaka ya zamani nikiwa kama msikilizaji nguli wa RTD kuna kipindi nilikuwa nakipenda sana kiliitwa Mshindi ni Nani.
Wakati kile kipindi kinaanza, kulikuwa na biti moja kali sana halafu unasikia kama mtu anapiga yowe "uuuuuwih...yau...yauyau" halafu ndo inakuja sauti ya kike kwa madaha...
Kero yangu ni upande wa Traffic Polisi kwa Mkoa wa Dar es Salaam, hivi kwanini wanakazia sana kupewa rushwa tena wanaomba kiasi kikubwa cha fedha, kikikosekana wanakuandikia fine kubwa ya makosa kuanzia matano.
Changamoto hiyo inawakuta hawa wenye magari na madereva wa Bajaj, mfano sisi watu wa...
Anonymous
Thread
bajaj
barabarani
dar
kutengeneza
madereva
magumu
mazingira
mazingira magumu
waache
Nilikuwa naona kama watu wa bandari walafi tu wa eneo. Ila ukilinganisha na bandari zingine, bandari ya Dar ina eneo dogo sana. Bandari kubwa(kwa mizigo) zaidi Afrika ni ya Tangier, Morocco. Ina eneo la ardhi la ekari 2,500. Bandari ya Mombasa, Kenya ina jumla ya eneo la ekari 3,000. Ban mydari...
Habari wakuu, majuzi nikiwa naperuzi insta nilikutana na tangazo la dalali la apartment ya AirBnB. Nilikuwa tayari nimeshapita, lakini nikastuka baada ya kugundua kuwa jengo lile ni la mradi wa Samia Housing Scheme uliopo pale Kawe.
Swali likanijia mara moja: Hivi hizi nyumba tunawajengea kina...
Wakuu, habari za mchana huu.
Kuna changamoto naona inazidi kushamiri kwenye mitaa yetu mingi hapa Dar es Salaam, nayo ni tabia ya baadhi ya watu kuchoma moto taka katikati ya makazi ya watu. Lugha ya mtaani wengi wanasema "kusoma matakataka."
Kimsingi, jambo hili limekuwa likisababisha moshi...
Yes sir.
Ili uishi comfortable life hapa Tz hususani Dar, Arusha inabidi uwe una earn Tzs6M kila kweli consistently.
Fikiria hivi.
You are in your early 30s, unaishi na wife au girlfriend.
1. Assume unaishi Dar bado hujajenga.
Rent for 2 bedroom apartment inaanzia Tzs1.5M maeneo prime...
Barabara ya Mwenge, ambayo ni miongoni mwa makutano makuu na muhimu zaidi jijini Dar es Salaam, inaendelea kushuhudia msongamano mkubwa wa magari, hasa wakati wa asubuhi na jioni. Eneo hili linalounganisha Barabara ya Ali Hassan Mwinyi, Bagamoyo, na Sam Nujoma ni kiungo muhimu sana cha usafiri...
Dar es salaam, ukipita pale Jangwani unaona bodaboda ametoa mboo yake anakojoa, hajali nani ni nani, hajali watoto wa kike wa shule ya zanaki wala jangwani.
Ukienda maeneo mengi utaona wanaume wanatoa mboo, anakojoa na akimaliza anakunguta kunguta, unajiuliza hivi haoni aibu na fedheha, sasa ni...
Inakuwaje nauli kuwa kubwa kuliko umbali halisi wa safari? Je, nauli hii imepitishwa na LATRA kweli? Kama imepitishwa, ni vigezo gani vilivyotumika kuamua kiwango hiki cha nauli, na inalingana na viwango rasmi vilivyowekwa?
Wananchi wanastahili kupata maelezo ya wazi kuhusu namna nauli...
Anonymous
Thread
dardar es salaam
kupitia
latra
mpaka
nauli
vijijini
wapi
UPANUZI NA UBORESHAJI WA BANDARI YA DAR ES SALAAM MAMBO YAZIDI KUNOGA
UJENZI WA MATENKI YA KUPOKEA NA KUHIFADHI MAFUTA WAFIKIA ZAIDI YA ASILIMIA 52.
Mradi huu Utagharimu kiasi cha Shilingi Bilioni 678 za Kitanzania.
Matenki haya yatafanya jumla ya Ukubwa wa Cubic Meter 389000 sawa na Lita...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.