laptop

  1. Titleless leader

    Nipo Iringa natafuta laptop ya kununua Iwe SSD processor angalau 2.4, bajeti 250,000

    Nipo Iringa natafuta laptop ya kununua Iwe SSD processor angalau 2.4, bajeti yangu 250,000
  2. Tech Max

    Nauza laptop fujistu i5 ram 8GB,hdd 500GB,ina windows 11 os, bei 300,000 nipo dar es salaam, nicheki 0756704145

    Nauza laptop fujistu i5 ram 8GB,hdd 500GB,ina windows 11 os, bei 300,000 nipo dar es salaam, nicheki 0756704145, free original keyboard na mouse
  3. Tech Max

    Nauza laptop fujistu i5 RAM 8GB,HDD 500GB ,windows 11 bei 300,000 dar es salaam, nicheki 0756704145

    Bei 300,000 Fujistu i5, RAM 8GB, HDD 500GB,ina windows 11 os, ina keyboard na mouse original ,chaji saa 1 nipo mkoa wa dar es salaam, mbezi..nicheki 0756704145 sms,call,whatsappfujistu
  4. Tech Max

    Nauza laptop Fujistu i5 ram 8GB,windows 11, keyboard,mouse free original bei 300,000 nipo dar es salaam, mkoani natuma

    Nauza laptop Fujistu i5 ram 8GB,hdd 500GB, windows 11, keyboard,mouse free original bei 300,000 nipo dar es salaam, mkoani natuma. Nicheki 0756704145 whatsapp,call, sms
  5. Tech Max

    Computer4Sale Nauzaa used laptop fujistu i5 ram 8GB

    Nauza laptop fujistu i5 ram 8GB,I akaanz chasing saa 1 kwa 300,000 nipo mkoa wa dar es salaam, mbezi nicheki whatsapp,sms,call 0756704145
  6. Tech Max

    Kama unahitaji kompyuta desktop, laptop, na software / programu

    Kama unahitaji kompyuta desktop na laptop ,na software / programu nicheki ,mkoa wa dar es salaam mikoani tunatuma kwa uaminifu
  7. M

    Laptop mpya

    Watalaam kwema humu....nahitaji ushauri wenu kuhusu laptop mpya yaani marimba ya mzungu iwe quality mpya. Budget 1 to 1.5mil. duka gani hawana longoongo na brand gani uhakika
  8. Nestory Semeni

    Zawadi Ya Bure Kwa Anayetaka Kununua Laptop

    Kama unataka kununua laptop na ndio huelewi laptop ipi itakufaa Iwe na uwezo gani, Au toleo gani, Unachotaka ni laptop ambayo itakusaidia kwenye kazi zako au shughuli zozote Ila huelewi unaanzia wapi kuna kijitabu hapa "Kabla Hujanunua Laptop" Huu ni mwongozo kamili kukusaidia kujua...
  9. Nestory Semeni

    Hakuna Laptop Nzuri Au Mbaya

    Hakuna laptop nzuri au mbaya, Na kama hukujua ni hivi unaweza ukanunua laptop ambayo unasema ni "Nzuri" Lakini baadae ukaona ni mbaya kwa sababu tu sio laptop ambayo inakufaa, Uzuri ni jambo moja, Muhimu zaidi ni kukufaa wewe, Je ni kwa ajiki ya kazi gani? Ili kufanya kazi hiyo kwa ubora...
  10. Mbalizi feedstuff

    Wakuu kwa bajeti ya Tsh 1,500,000 naweza pata Brand New Laptop

    Kichwa cha somo chajieleza ninawaza kununua laptop mpya,sio refurbished wala used.Je kwa fungu hili nililoliallocate naweza pata laptop ya haja ya moyo wangu.Brand hasa niliyoiwenga ni HP kwa matumizi ya kuangalia movies,kuingia mtandaoni programming,music hivyo ninalenga storage kubwa.Naomba...
  11. jT0078

    Tunatengeneza aina zote za Laptop na kuuza spare

    Tunatengeneza aina zote za Laptop Tunauza spare aina zote za Laptop Tipo ilala - Dsm 0666761542
  12. jT0078

    NANUNUA LAPTOP MBOVU BEI MAELEWANO. 0666761542

    Lete laptop mbovu nanunua, bei maelewano Ilala - Dsm 0666761542
  13. General Nguli

    Jinsi ya kutumia mtandao wa X kwenye Windows laptop.

    Nimekuwa na changamoto ya kutumia mtandao wa X kwenye Laptop yangu Ninatumia mtandao wa X zamani tweet kwa miaka kadhaa.Lakini imekuwa changamoto sana kwenye Laptop yangu Tangu matumizi ya VPN yaanze kutumika. Naomba kujua namna notakavyo Counter hili tatizo. Natanguliza shukrani
  14. jT0078

    NANUNUA LAPTOP MBOVU BEI MAELEWANO

    Lete laptop mbovu nanunua. Bei maelewano Ilala - Dsm 0666761542
  15. M

    Mzazi umefunga wifi nyumbani na unaruhusu watoto waitumie bila mipaka, unasubiri kuvuna ulichopanda ?

    Hongera kwa kufunga wifi lakini umewahi kuwaza matumizi yake kwa hao watoto wako wanaoitumia ?
  16. jT0078

    Nanunua laptop mbovu na mzima

    maelewano. Inategemea na Model Ubovu Specs Tupi ilala - Dsm 0666761542
  17. Mtukutu Mkuu

    NAHITAJI GAMING LAPTOP YENYE RTX CARD

    Habari za muda huu wakuu Nahitaji gaming laptop USED yenye rtx graphic card 2060 vram 6gb Core i7 gen 11 CLEAN CONDITION UKAAJI WA CHAJI ATLEAST MASAA 3 KWA KAZI NDOGO NDOGO KAMA MOVIE ,MS WORD BAJETI YANGU NI 1MILION 0627796644 SERIOUS SELLER TUWASILIANE
  18. mkale

    VERY SLIM AND PORTABLE..

    HP ELITEBOOK 845 G8 processor: AMD Ryzen 5 Pro - 11th Generation with (12CPUs) processor speed: turbo 4.2GHZ RAM :16GB storage SSD : 256GB screen size: 14 Inches. battery health: excellent, 5 hours. ✅Face ID Recognition ✅Fingerprint scanner ✅HD Front camera ✅Bluetooth & Wi-Fi ✅Backlight...
  19. britanicca

    Sijui niliyoyasoma Kwenye Laptop waliyomnyang’anya Lopelope niyeweke wazi au nijiridhishe kwanza?

    Nilipata bahati ya kupenyezewa mawazo Mazuri tu yaliyokuwa kwenye mpakato wa LOPELOPE , Kwa hatua na Balozi Mkubwa kuachia ngazi yaweza kuwa step stone ya kuelekea Chanya Kama karata zitachezwa vema Ngoja niyachatakate nimerudi Britanicca Mpaka kieleweke! Balozi tuko pamoja Soma uzi huu 👇🏽👇🏽...
  20. jT0078

    NANUNUA LAPTOP MBOVU KAMA SPARE

    Lete laptop MBOVU nikupe PESA. Bei MAELEWANO inategemea na... Ubovu Model Specs Nipo ILALA -Dsm 0666761542
Back
Top Bottom