programu

Lista Przebojów Programu Trzeciego (the Radio Three Chart, LP3) is the oldest and the longest-running music chart in Poland. Aired by Polskie Radio Program III, a division of the Polskie Radio public broadcaster, the list has been broadcast weekly since 24 April 1982. Initially hosted by Marek Niedźwiecki, since 2010 the hosting duties have been alternated by Niedźwiecki and Piotr Baron.

View More On Wikipedia.org
  1. Nafaka

    Karibu kwenye project yangu ya Programu ya Computer kwa ajili ya Dubbing

    Kwa wale watu wanaofanya Dubbing hasa studios, wanatumia softwares hasa Voiceq ambayo minimum subscription per month ni 19$. Mimi kama freelancer huwa sipendelea sana subscription za kile mwezi maana unajikuta mtu unatumia pesa nyingi kila mwezi. Hivyo kwa muda sasa nimeanza project yangu ya...
  2. Blasio Kachuchu

    Wafanyabiashara 20 wa Kitanzania kunufaika na programu ya AfroGreen 3.0

    Na Mwandishi Wetu, Arusha WAFANYABIASHARA 20 wa Kitanzania wanaoendesha biashara zinazolenga kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi wamechaguliwa kujiunga na awamu ya tatu ya programu ya AfroGreen, inayolenga kuwawezesha kukuza biashara zao, kuvutia uwekezaji na kuongeza fursa za...
  3. Keyboard_Warrior

    Zawadi ya dola za Kimarekani milioni 20 kutolewa kwa mtu mwenye taarifa za programu ya nyuklia ya Iran

    Changamkeni ndugu zangu, Trump ametangaza donge nono huko. Milioni 20 zinatolewa kwa mtu yeyote atakayekuwa na taarifa za programu ya nyuklia ya Waajemi. Hiyo milioni 20 ni pesa za Kimarekani, ni pesa ndefu sana. Tushirikiane kuchukua kibunda, CIA na MOSSAD wanahitaji msaada wetu.
  4. Tech Max

    Kama unahitaji kompyuta desktop, laptop, na software / programu

    Kama unahitaji kompyuta desktop na laptop ,na software / programu nicheki ,mkoa wa dar es salaam mikoani tunatuma kwa uaminifu
  5. Roving Journalist

    Jeshi la Polisi Ulanga latekeleza Programu ya “Ongea Na Kamanda” Kata ya Ketaketa - Morogoro

    Jeshi la Polisi Wilaya ya Ulanga limeendelea kuimarisha uhusiano na ushirikiano kati yake na wananchi kupitia programu ya “ONGEA NA KAMANDA”, iliyotekelezwa katika Kata ya Ketaketa na Kijiji cha Ketaketa, Wilaya ya Ulanga, Mkoa wa Morogoro. Programu hiyo imelenga kuwapa wananchi fursa ya...
  6. Pfizer

    Programu ya Loyalty ya Darling Hair sasa yahamia mikoani

    Baada ya kufanyika kwa mafanikio makubwa jijini Dar es Salaam, sherehe za maadimisho ya miaka miwili ya programu maalumu ya Darling Hair maarufu kama ‘Loyalty Program’ sasa zinahamia mikoani ili kuwafikia wasusi wengi zaidi. Tayari wasusi zaidi ya elfu sita wameshafikiwa kufuatia hafla...
  7. A

    DOKEZO Kuna haja ya Serikali kufuatilia baadhi ya programu za incubation kwa vijana wabunifu zinazoendeshwa na Atamiz/CBE

    Kuna haja kwa mamlaka husika kufuatilia kwa karibu kinachoendelea katika baadhi ya programu za incubation kwa vijana wabunifu zinazoendeshwa chini ya Atamiz/CBE. Kila mwaka vijana wengi hujiunga na programu hizi wakiahidiwa kupata msaada wa kukuza biashara na ubunifu wao kupitia mentorship, seed...
  8. N

    Teknolojia za Uundaji wa Programu: Native vs. HTML, CSS, na JavaScript ni ipi ni rahisi na ina ubora zaidi

    Native ni nini ? "Native" inamaanisha kwamba programu imeundwa kwa ajili ya kufanya kazi kwenye mfumo maalum wa uendeshaji wa kifaa, kama vile Android au iOS, na hutumia lugha na zana za maendeleo za asili za mifumo hiyo. HTML, css, js ni nini ? HTML, CSS, na JavaScript ni teknolojia za...
  9. S

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran: Hatuna mpango wa kuachana na programu ya nyuklia, hatutishiki

    ''Iran imelipa gharama kubwa kwenye programu ya amani ya nyuklia na urutubishaji wa uranium.-Abbas Araghchi - Kwanini tunasisitiza sana kwenye urutubishaji wa uranium na hatuna mpango wa kuachana na programu hii hata kama vita vikiletwa kwetu ?Ni kwasababu hakuna nchi ambayo inaweza kuamuru...
  10. B

    Tanzania kuendelea kufaidi programu za biashara za pande mbili, Sheria ya Ukuaji na Fursa ya Afrika (AGOA)

    12 January 2026 Baraza la Wawakilishi laongeza muda wa mkataba wa AGOA Januari 12, 2026 WASHINGTON, DC – Baraza la Wawakilishi limepiga kura ya kuendelea na programu za biashara za pande mbili, Sheria ya Ukuaji na Fursa ya Afrika (AGOA) na HOPE/HELP kwa Haiti, ambazo zinalinda na kuimarisha...
  11. stabilityman

    Ijue programu ya ujasusi PRISM na XKeyscore

    Program maalumu inayorekodi mazungumzo ya watu kwenye simu (yaani actual voice/content ya mazungumzo, sio tu metadata kama nani alipiga nani na muda gani) ni tofauti na PRISM na XKeyscore kulingana na maelezo yaliyotolewa na Edward Snowden na ripoti za baadaye. Hii hapa ufafanuzi rahisi na wa...
  12. Tech Max

    Unahitaji Programu ya kompyuta ya kutunza kumbukumbu

    Je unahitaji programu ya kompyuta (Windows OS 7,8,10,11) ya kutunza kumbukumbu ya bidhaa, wateja na kazi zingine za kumbukumbu. Gharama ya programu hii ni 250,000 Tsh. Unalipia mara moja tu, hakuna malipo baada ya hapo. Napatikana: Mkoa wa Dar es salaam, Mbezi. Mawasiliano: 0756704145
  13. Tech Max

    Programu ya kompyuta ya kutunza kumbukumbu za wateja, bidhaa na n.k.

    Je unahitaji programu ya kompyuta (Windows OS 7,8,10,11) ya kutunza kumbukumbu ya bidhaa, wateja na kazi zingine za kumbukumbu. Gharama ya programu hii ni 250,000 Tsh. Unalipia mara moja tu, hakuna malipo baada ya hapo. Napatikana: Mkoa wa Dar es salaam, Mbezi. Mawasiliano: 0756704145
  14. Tech Max

    Programu ya kutunza kumbukumbu kama wateja, bidhaa na n.k

    Je unahitaji programu ya kompyuta (Windows OS 7,8,10,11) ya kutunza kumbukumbu ya bidhaa, wateja na kazi zingine za kumbukumbu. Gharama ya programu hii ni 250,000 Tsh. Unalipia mara moja tu, hakuna malipo baada ya hapo. Napatikana: Mkoa wa Dar es salaam, Mbezi. Mawasiliano: 0756704145
  15. L

    Programu ya Msimbo (coding) yazindua ndoto ya kidijitali kwa vijana wa Kenya

    Shule ya umma anayosoma Pauline Wahuna, iliyoko katika Kaunti ya Kajiado, kusini mwa Kenya, inaweza kutoonekana kwa urahisi, lakini imekuwa kituo kinachoshamiri cha kuendeleza kizazi kijacho cha waandishi wa Msimbo (coding). Mwaka 2024, Pauline Wahura, mwenye umri wa miaka 15 anayesoma Daraja...
  16. Tech Max

    Unahitaji huduma za Kompyuta kama programu, windows 10,11 na n.k

    Kama unahitaji huduma za Kompyuta kama windows 10,11, programu na n.k Napatikana: Dar es salaam, Mbezi Mawasiliano: 0756704145
  17. Tech Max

    Kama unahitaji huduma za Kompyuta programu na n.k

    Kama unahitaji huduma za Kompyuta programu na n.k (Microsoft Office Pro 2019) Napatikana: Dar es salaam, Mbezi Mawasiliano: 0756704145
  18. Michael Amon

    Ushauri: Programu nzuri ya usimamizi wa biashara

    Nawasalimu wadau wote wa biashara humu ndani. Naomba ushauri wenu kwa yoyote anayejua programu nzuri ya usimamizi wa biashara (business management software). Programu hiyo nataka iwe na sifa zifuatazo: Accounting Invoicing Support for Mobile and bank payments Payroll Track stocks, sales...
  19. S

    Programu gani unahitaji ya Windows OS?

    Programu gani unahitaji ya Windows OS? Adobe Master Collection 2025 - 30,000 Tsh. Ms office Pro Plus 2019 - 20,000 Tsh. Activator ya Windows na Ms office - 20,000 Tsh. Nitro PDF Pro 2025 - 20,000 Tsh. + Programu na zingine nyingi jipatie Mawasiliano: 0756704145 Napatikana: Dar es salaam, Mbezi
  20. S

    Programu gani unahitaji ya windows OS?

    Programu gani unahitaji ya windows OS? Adobe Master Collection 2025 - 30,000 Tsh Microsoft Office Pro Plus 2019 - 20,000 Tsh Activator ya Windows + Office - 20,000 Tsh Nitro PDF Pro 2025 - 20,000 Tsh Windows OS installation - 20,000 Tsh Mawasiliano: 0756704145 Napatikana: Dar es salaam, Mbezi
Back
Top Bottom