🚨 JOB ALERT! JOB ALERT! 🚨
Beyond Beauty Naturals inatafuta NAIL TECHNICIAN (Kijana wa Kucha) mwenye mikono ya kazi! 💅🔥
Tunatafuta mtu ambaye:
- Ana uzoefu wa angalau miaka 2.
- Ana ubunifu na passion ya kazi ya kucha.
- Ni msafi, mchapakazi na mwenye nidhamu.
- Anajifunza haraka na yuko tayari kukua pamoja nasi.
📍 Location: Salasala, Dar es Salaam.
💰 Salary nzuri kwa mtu sahihi!
Una kipaji? Usikifiche! Au unamjua mtu anayefaa? Mtumie tangazo hili.
📲 Apply now: tuma maombi yako kwa whatsapp/Msg 0652696824.
Beyond Beauty Naturals
Feel Natural, Be Natural.

Deadline: 30/11/2026
Beyond Beauty Naturals
Feel Natural, Be Natural.
Create an account or log in to Instagram - Share what you're into with the people who get you.
www.instagram.com