JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

02:30
Loneliness expresses the pain of being alone, and solitude expresses the glory of being alone!
 
"She" was such a good friend... It was such a good feeling... such a good love, It left me in awe! She was such a beautiful world.

2:47am
 
Me mwenyewe mwez wa 4 huu ila haikua kaz rahisi
Big up sana, mi Kila nikikumbuka mateso Ile wiki ya kwanza nilipostop kunywa,yaani nikiiona pombe naona sumu.
Asubuhi kichefuchefu hata ukinywa maji yanarudi,
Mchana hakuna appetite ya kula,mwili muda wote umechoka, jasho linatoka hata hamna joto,
Usiku usingizi hakuna hata chembe na ukipitiwa kidogo mandoto ya ajabuajabu lazima ushituke ukishashtuka haulali tena
Bado mapigo ya moyo kwenda kasi ilibaki kidogo nipate minor stroke, yaani hii kitu ni sumu iliyopewa brand
Kwa kweli wale wanakunywa acha wanywe tu maana wengi wao wamestuck kwa sababu wanaogopa hizo withdrawal symptoms kama huna pumzi zinaweza kukuwahisha akhera
 
Back
Top Bottom