watanzania

There are currently over 50,000 people of Indian origin in Tanzania. Many of them are traders and they control a sizeable portion of the Tanzanian economy. Indians have a long history in Tanzania starting with the arrival of Gujarati traders in the 19th century. They came to gradually control the trade in Zanzibar. Many of the buildings constructed then still remain in Stone Town, the focal trading point on the island.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    Tatizo la CCM ni kupigana vita na Maboss wao Watanzania mtaendelea kushinda kwa kufake tu

    Tatizo la CCM ni kupigana vita na mabosi wao—wananchi. Watanzania mtaendelea kushinda kwa kuigiza tu. Wananchi ndiyo mabosi wa nchi. Hata katika nchi zenye mifumo ya kiimla, uongozi hauwezi kupendwa bila kuleta maendeleo na kupambana na rushwa—jambo ambalo CCM imeshindwa kulifanya. Tangu miaka...
  2. Watanzania asilimia kubwa wanaamini mtoto Yule angel aliepigwa risasi oktoba 29 na kufariki Jana muhimbili pengine ameuwawa Je wewe unaamini nini?

    Piga kura hapa kuhusu mtoto angel aliefariki jana
  3. Watanzania: ukombozi hauji kwa kumwombea mabaya adui.

    The universe does not respond to prayers, it responds to energy. Kumekuwa na utamaduni wa kusema, "Mungu atakulipa" Eti as if ni law ya cause and effect, kuwa mtu akifamya ubaya atalipwa ubaya na nguvu ya bwana... Ingekuwa hivyo, simba anaye winda watoto wa viboko, ama nyumbu, naye angekuwa...
  4. Uwekezaji wa watanzania

    Huu ndio uwekezaji wetu watanzania, kuwa mabilionea tusahau. 1: guest 2: frem 3: nyumba za kupanga 4: majungu, husda, wizi, ulonzi, ngono zisizo na mpangilio etc 5: Boda boda, bajaji, dalalala etc 6: Simba, yanga 7: hatumtaki mangungu 8: Uwanja wa yanga
  5. Hivi ushajiuliza hii akili ya watanzania waliitoa wapi?

    Watanzania inawezekana ni viumbe vya ajabu zaidi duniani ndl maana wengine husema inawezekana TZ ni chaneli ya vichekesho huko mbinguni. I magine mtu anaenda choni anakunya anajitawaza kwa kutumia mkono wake baadae huo mkono anaweza kutumia kula kitu na akaona sawa tu. Ila Sasa mtanzania huyo...
  6. NIDA wanatuumiza mno Watanzania.

    NIDA ni taasisi ambayo imekuwa ikitumia pesa nyingi sana za serikali lakini utendaji wao hauna ubunifu wa kutatua suala la kitambulisho. Vitambulisho vilivyofutika nina miezi 19 mpaka sasa naambiwa hakijatoka. Je, huu ni utendaji au ni mazingira ya kutengeneza rushwa? Ninaomba serikali...
  7. Watanzania tunapumbazwa na tumekubali inauma sana

    Habarini wana JF Hivi karibuni kumekuwa kuna mambo mengi yanayofanywa kuwasahaulisha watu mambo ya muhimu na kudai haki kuna mambo ya kuongelea ushoga, mambo ya miaka 30 ya bongo fleva, mambo ya bashite!! kuvujishwa kwa picha za ngono yaani connection mnaita lengo ni kuwasahaulisha ishu muhimu...
  8. O

    DOKEZO Vinywaji vingi vya Sayona (hasa twist) vime expire toka mwezi wa nne lakini vipo kwenye majokofu madukani

    vinywaji vyote vya twist , tangawizi, vanila n.k vyote vime expire tangu tarehe 19 mwezi wa nne mwaka huu lakini wauzaji bado wanavyo kwenye fridge . Hamna mamlaka ya kuforce kuvimwaga ? watoto wanajisevia tu
  9. B

    Miaka 8 Leo toka ujenzi uanze na bado Kodi za watanzania zinaelea tu juu ya maji

    Ilikuwa 2018 pale JPM akizindua ujenzi wake, meli mpya, kubwa na ya kisasa ambayo ilitegemewa kukamilika ndani ya miaka 3 na kuleta sura mpya katika suala Zima la usafiri katika ziwa Viktoria na nchi jirani. Kuamsha uchumi uliolala na kusaidia mzunguko wa pesa katika mikoa ya Kanda yote ya ziwa...
  10. Mifumo ya uwekezaji ni matawi ya CCM yanayojihusisha na kuwaibia na kuwanyanyasa Watanzania

    Mifumo ya uwekezaji ni matawi ya CCM yanayojihusisha na kuwaibia na kuwanyanyasa Watanzania. Kwa kifupi, ni torturing chambers zisizo rasmi. Nimebahatika kufanya kazi katika kampuni moja ya maua iliyopo karibu na Barabara ya Machame, na kwa sasa nafanya kazi katika kampuni ya nyanya iliyopo...
  11. TUTATOKAJE HAPA TULIPOFIKA?

    Tanzania ni nchi masikini lakini tangu kuasisiwa kwake imekuwa ni nchi bora kwa umoja na mshikamano. Kwa umasikini wao siku zote wamekuwa wakishikamana kwa upendo. Wakiombana chumvi hadi chakula kwa upendo mwingi. Wameshirikiana kwenye misiba na sherehe Dini zao hazikuwafanya wachukiane wala...
  12. TUTATOKAJE HAPA TULIPOFIKA?

    Tanzania ni nchi masikini lakini tangu kuasisiwa kwake imekuwa ni nchi bora kwa umoja na mshikamano. Kwa umasikini wao siku zote wamekuwa wakishikamana kwa upendo. Wakiombana chumvi hadi chakula kwa upendo mwingi. Wameshirikiana kwenye misiba na sherehe Dini zao hazikuwafanya wachukiane wala...
  13. M

    CCM iwaombe radhi Watanzania dhidi ya mauwaji,

    Waliouwawa kipindi cha uchaguzi wa 2025, ni Watanzania wenye itikadi mbalimbali, Wana CCM, Chadema na wasio na vyama Kufanya maridhiano kupitia majukwaa ya kisasa na kuhusishwa vyama pekee, haitatosha, Watanzania waliopoteza watu wao hawatatendewa haki Kwa MAONI YANGU, Juhudi zilizoelekezwa...
  14. K

    Watanzania wengi wana roho mbaya

    Jana Nilikuwa Napiga Stori na Rafiki Yangu Mmoja hivii, Akaniuliza Sasa Mwanangu Umemaliza Chuo Una Mipango Gani !? Nikamwambia January Tunaenda internship Hivyo Mpaka tunamaliza Nitahakikisha Nimekusanya Laki 5 ya Mtaji wa Chips. kusikia hivyo jamaa Aka'panic Akaanza kusema "Chips Mtaji wake...
  15. Watanzania Wengi Wana Chuki, Wivu na Husda

    Nakumbuka miaka michache nyuma kuna msanii maarufu alinunua Rolls Royce. Kwa kweli mitandao ilichafuka kwa kebehi,kashfa na maneno mengi yenye mlengo hasi. Mara used, mara bei kaongeza sifurimara sio lake,mara matairi vipara basi tu ili mradi watu waliojaa sumu mwilini wazitoe na wamshushe...
  16. A

    Tindu Lissu na Watanzania wanasanifiana

    Tundu Lissu anawasanifu Watanzania kwa familia yake kuwa nje ya nchi na kuwa wanawe ni raia wa Marekani. Watanzania nao, wakiweno viongozi na wanachama wa Chadema, nao wanamsanifu Tundu Lissu kwa kumuacha abebe msalaba wake kwa ubwabwajaji wake. Ndo Dunia hiyo.
  17. J

    Mfumo gani wa kiuchumi unaweza ondoa mfumo wa Kidigitali? - Huu mfumo umewatajirisha watanzania wengi sana.

    𝗙𝗥𝗢𝗠 𝗣𝗔𝗬𝗠𝗘𝗡𝗧𝗦 𝗧𝗢 𝗠𝗔𝗥𝗞𝗘𝗧𝗦: 𝗝𝗘, 𝗨𝗞𝗨𝗔𝗝𝗜 𝗪𝗔 𝗠𝗔𝗟𝗜𝗣𝗢 𝗬𝗔 𝗞𝗜𝗗𝗜𝗝𝗜𝗧𝗔𝗟𝗜 𝗨𝗡𝗔𝗭𝗔𝗟𝗜𝗦𝗛𝗔 𝗧𝗛𝗔𝗠𝗔𝗡𝗜 𝗚𝗔𝗡𝗜 𝗡𝗗𝗔𝗡𝗜 𝗬𝗔 𝗨𝗖𝗛𝗨𝗠𝗜 𝗪𝗔 𝗧𝗔𝗡𝗭𝗔𝗡𝗜𝗔? 𝘔𝘸𝘢𝘬𝘢 2025 𝘮𝘢𝘭𝘪𝘱𝘰 𝘺𝘢 𝘮𝘵𝘶 𝘬𝘸𝘢 𝘣𝘪𝘢𝘴𝘩𝘢𝘳𝘢 (𝘗2𝘉) 𝘯𝘤𝘩𝘪𝘯𝘪 𝘺𝘢𝘭𝘪𝘧𝘪𝘬𝘪𝘢 𝘛𝘡𝘚 𝘵𝘳𝘪𝘭𝘪𝘰𝘯𝘪 37.52 𝘬𝘶𝘱𝘪𝘵𝘪𝘢 𝘮𝘪𝘢𝘮𝘢𝘭𝘢 𝘣𝘪𝘭𝘪𝘰𝘯𝘪 2.30, 𝘴𝘢𝘸𝘢 𝘯𝘢 𝘵𝘢𝘬𝘳𝘪𝘣𝘢𝘯 𝘢𝘴𝘪𝘭𝘪𝘮𝘪𝘢 16 𝘺𝘢 𝘗𝘢𝘵𝘰 𝘭𝘢 𝘛𝘢𝘪𝘧𝘢. 𝘞𝘢𝘧𝘢𝘯𝘺𝘢𝘣𝘪𝘢𝘴𝘩𝘢𝘳𝘢...
  18. J

    Mfumo gani wa Kiuchumi unaoweza Ondoa kabisa tatizo la ukosefu wa mitaji? - Watanzania wakipata mtaji wanatajirika haraka sana

    𝗣𝟮𝗕 𝗔𝗡𝗗 𝗠𝗦𝗠𝗘 𝗖𝗔𝗣𝗜𝗧𝗔𝗟 𝗔𝗖𝗖𝗘𝗦𝗦: 𝗝𝗘, 𝗛𝗜𝗦𝗧𝗢𝗥𝗜𝗔 𝗬𝗔 𝗠𝗔𝗨𝗭𝗢 𝗬𝗔 𝗞𝗜𝗗𝗜𝗝𝗜𝗧𝗔𝗟𝗜 𝗜𝗡𝗔𝗪𝗘𝗭𝗔 𝗞𝗨𝗧𝗔𝗧𝗨𝗔 𝗖𝗛𝗔𝗡𝗚𝗔𝗠𝗢𝗧𝗢 𝗬𝗔 𝗨𝗣𝗔𝗧𝗜𝗞𝗔𝗡𝗔𝗝𝗜 𝗪𝗔 𝗠𝗜𝗧𝗔𝗝𝗜 𝗞𝗪𝗔 𝗠𝗦𝗠𝗘𝘀? 𝘒𝘢𝘵𝘪 𝘺𝘢 2023 𝘯𝘢 2025 𝘮𝘢𝘭𝘪𝘱𝘰 𝘺𝘢 𝘮𝘵𝘶 𝘬𝘸𝘢 𝘣𝘪𝘢𝘴𝘩𝘢𝘳𝘢 (𝘗2𝘉) 𝘺𝘢𝘭𝘪𝘰𝘯𝘨𝘦𝘻𝘦𝘬𝘢 𝘢𝘴𝘪𝘭𝘪𝘮𝘪𝘢 106 𝘩𝘢𝘥𝘪 𝘛𝘡𝘚 𝘵𝘳𝘪𝘭𝘪𝘰𝘯𝘪 37.52, 𝘯𝘢 𝘸𝘢𝘧𝘢𝘯𝘺𝘢𝘣𝘪𝘢𝘴𝘩𝘢𝘳𝘢 𝘸𝘢 𝘬𝘪𝘥𝘪𝘫𝘪𝘵𝘢𝘭𝘪 𝘸𝘢𝘮𝘦𝘧𝘪𝘬𝘪𝘢 𝘮𝘪𝘭𝘪𝘰𝘯𝘪 2.79. 𝘒𝘸𝘢...
  19. Watanzania kwa nini tusianzishe kampeni ya kuikataa mahakama na watumishi wake ?

    Tulikua na mahakama za kijadi ambazo zilisimamia mashauri kwa Haki na Usawa , kuzidi hii Mahakama ya hawa jamaa wa Law School zilizo chini ya CCM !! Kwa nini tusifanye kampeni ya kuikataa hii Mahakama sisi kama wananchi , tuikatae na watumishi wake wote. Mpaka pale itakapo thibitika...
  20. S

    Watanzania lazima watambue serikali haijali haki za wazawa na wawekezaji hasa Wachina, Waarabu na Wahindi wasipofuata haki hawachukuliwi hatua yeyote

    Hili lazima lieleweke. Kwamba ni matukio mengi sana yanaendelea nchini ambapo hawa wageni wanaokuja kama wawekezaji au wakaandarasi toka nje wanawadharau sana Watanzania na kutowatendea haki katika visa vingi sana. Watanzania wasitegemee katika visa hivi serikali itakuwa upande wa mwananchi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…