Soul21
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 216
- 356
NIDA ni taasisi ambayo imekuwa ikitumia pesa nyingi sana za serikali lakini utendaji wao hauna ubunifu wa kutatua suala la kitambulisho.
Vitambulisho vilivyofutika nina miezi 19 mpaka sasa naambiwa hakijatoka. Je, huu ni utendaji au ni mazingira ya kutengeneza rushwa?
Ninaomba serikali itoe tamko juu ya ambao tulirejesha vyeti na mpaka sasa hakuna kilichofanyika kwani tunapata changamoto sana katika kutatua mambo yetu.
Asante sana