Huu umri una harakati nyingi, na hauna uzoefu unaohisi unao.
Tulia;
1. Pata ujuzi (au wazo la biashara)
2. Anza
3. Acha kuota utatoboa KIMIUJIZA
Utajishukuru ukiwa 32+
(& kwa mabinti, ongeza na kuacha kuhisi kila kijana anayekuhitaji atakuoa, umri huu uzuri wako unaonekana kwa UZURI...