vijana

  1. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Vijana kwa kujipa matatizo hamjambo. Maisha ya kuungaunga (chini ya 1M), bado unaoa single mother?

    VIJANA KWA KUJIPA MATATIZO HAMJAMBO. MAISHA YAKUUNGAUNGA(CHINI YA 1M) BADO UNAOA SINGLE MOTHER'S? Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Mtake msitake lazima muambiwe Ukweli. Hivi mmekosa wazazi wa kuwashauri? Au ndio mnadharau wazazi na walezi wenu. Maana sidhani kama kuna mzazi mwenye akili...
  2. Inside10

    JamiiForums Tanzania Askofu Mwagala: Vijana Wakirudi Nyuma Taifa Litapoa Tunahitaji Nguvu Yao

    Sehemu ya maoni ya Mhashamu Vicent Mwagala Askofu wa Jimbo Katoliki Mafinga juu ya mapendekezo ya Vijana katika Mkutano Mkuu wa 21 wa Amecea.
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Balozi Yakubu: Ushiriki wa Tanzania majukwaa ya vijana ya UNESCO unaimarisha sauti ya Taifa katika urithi wa Dunia

    Tanzania imeendelea kuonesha uwezo wake katika jukwaa la kimataifa la UNESCO baada ya Bi. Rose Kinabo kuiwakilisha nchi katika Jukwaa la Vijana Wataalamu wa Urithi wa Dunia 2026, linalofanyika sambamba na Kikao cha 48 cha Kamati ya Urithi wa Dunia jijini Busan, Jamhuri ya Korea. Katika kuonesha...
  4. Leejay49

    JamiiForums Tanzania Sema kuna muda kuwaamini wanaume ni ngumu sana

    Hello guys,. Hope mko poa kwa ambao mnapitia changamoto zozote ni maombi yangu Mungu awafanyie wepesi wote mkae sawa,. Referring to thread ya Dr. Mariposa mwanaume anaweza akutongoze hata muwe mnaheshimiana namna gani,. Yalinikuta ila huyu hakunitongoza. Huyu sijui nimwite mkaka au mbaba (...
  5. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Familia ziwe macho na vijana wao, ndugu kutafunana imezidi

    Wakuu hii hali imekuwa hatari. Hakuna cha binamu, sijui mtoto wa baba mkubwa au mama mdogo.. yaani vijana wanatafunana hatari. Hii sio sawa. Zamani ukisikia mabinamu wametafunana inakuwa jambo la aibu ukoo mzima. Ila sasa hivi hali imezidi kuwa mbaya. Leo nimeona na kusikia mama mmoja...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Vijana wa kiume mnaokataa ndoa, fanyeni mapema Kuoa kabla hamjakutana na hiki ninachopitia

    Leo najisikia kuandika TU na kuwashauri vijana , ipo hivi mimi ni mwalimu na mfanyabiashara mzuri TU ( Mimi sio fala kwenye nchi hii) umri wangu ni 38, ni baba wa watoto watatu nawahudumia kwa kila kitu pamoja na hayo ni bachelor wa mda mrefu. Miaka kama kumi na mbili nyuma niliapa sitaoa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kuna Mwanamke alinikataa kabisa baada ya Mimi kijitambulisha kwake ni mwalimu

    Nilikuwa nimemwelewa single mother flani yupo tunduma, so mara kazaa nilikuwa napita mtaani kwake karibu na ofisi yake anakojumlisha viazi . Ukizingatia umri wangu umeenda soon naikuta 40, umri niliopanga kuoa ,nilitokea kuvutiwa na yule Binti ambaye age yake 25, basi nikaomba mahusiano ...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Maonesho ya ajira kati ya China na Tanzania yawaunganisha vijana na fursa za ajira

    Katika siku iliyojawa na hamasa, mamia ya vijana wa Kitanzania walimiminika katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam katika mji wa kibiashara wa Tanzania. Walikusanyika kwa ajili ya Maonesho ya tano ya Ajira kati ya China na Tanzania, yaliyofanyika kwa siku moja nzima na kuwakutanisha watafuta ajira...
  9. min -me

    JamiiForums Tanzania Vijana nyie wajinga sana

    Kuna kijana wa humu kanifuata , anataka nimuunganishie mchongo, nikavuta simu moja kwa mwanangu tajiri wa mwanza akampa dogo babashoap, dogo alikua anakula zaidi ya 400k bila wasiwasi kusimamia tu, yeye akusanye tu maokoto ya boss , now boss wake ananipigia simu dongo miyeyusho, analeta...
  10. A

    JamiiForums Tanzania KERO Vijana tulioshiriki katika Kampeni ya Chanjo ya Polio - Misungwi (Mei 2026) hatujalipwa posho zetu

    Vijana tulioshiriki katika kampeni ya chanjo ya polio iliyofanyika kuanzia tarehe 7 hadi 10 Mei 2026 katika mikoa ya Kanda ya Ziwa na Kanda ya Kati. Mimi nilifanya kazi katika Wilaya ya Misungwi, Mkoa wa Mwanza, kama mhamasishaji wa jamii kuhusu umuhimu wa chanjo kwa watoto wenye umri wa miaka 0...
  11. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Samia: Vijana wanamezeshwa sumu kuchukia Serikali

    Samia amesema kuwa baadhi ya Mataifa makubwa duniani hayafurahishwi na kasi ya maendeleo ya Nchi zinazoendelea, huku wakiwalaghai Vijana kuhujumu Mataifa yao. Samia ameyasema hayo leo Julai 13, 2026, wakati akizungumza katika Mkutano Mkuu wa Chama cha Mawakili wa Serikali pamoja na Wakuu wa...
  12. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Samia: Vijana wanamezeshwa sumu kuichukia Serikali.

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa baadhi ya Mataifa makubwa duniani hayafurahishwi na kasi ya maendeleo ya Nchi zinazoendelea, huku wakiwalaghai Vijana kuhujumu Mataifa yao. Rais Samia ameyasema hayo leo Julai 13, 2026, wakati akizungumza katika...
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kuna wimbi la kuwalaghai na kuwalisha Sumu Vijana ili wahujumu Uchumi wa Nchi zao

  14. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kuna wimbi la kuwaaminisha vijana wa Kiafrika kuwa serikali zao hazifati haki za binadamu

    Tais Samia amesema kuwa Tanzania wanafuata haki za binadamu kikamilifu. Hayo ameyasema Rais Samia leo, 13 Julai, 2026
  15. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Kuna ukomavu mkubwa katika akili za vijana na Watanzania kwa ujumla wake!

    Facts is:- Kunapotokea suala la starehe ya muziki,basi tufanye muziki, ------ Kunapotokea suala la michezo,basi tufanye michezo, ------ Kunapotokea suala la siasa au muda wa siasa tufanye siasa..
  16. min -me

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kabisa kwenu vijana

    Nyie vijana mtambue kuwa hakuna umri wa mafanikio, mimi ni kati ya vijana nilianza kufanikiwa nikiwa na miaka 33 , yani hapo kwa umri huo buku sina , nilichokua nacho ni mind setting na akili ya pesa tu . Leo hii nikifilisika kabisa nikawa na 50 elfu tu , nitampita ambae anajiona yupo...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Tiktok kuweni makini na live(watu) zinazokaa masaa 24. Wengine ni Doria mtandaoni

    Nimefuatilia kwa makini mwenendo wa mijadala ya Tiktok nikagundua huwa hawatoki online. Nadharia yangu miongoni mwao hizo live kuna Mapolisi na maafisa vipenyo ambao wanafanya kazi ya kuzirekodi na kujaribu kuvuruga mijadala ambayo inaweza ikawa na tija na mbinu. (Wapo wanafanya doria) Katika...
  18. Wazalendo_Tz

    JamiiForums Tanzania Vijana na biashara za viwanda

    Wakuu hivi kwanini vijana hatugusi kabisa biashara za viwanda tunakimbilia maduka tu Wakati miaka ya nyuma pale kitumbini palikua ni soko la wahindi tu sasa wamebaki wachache wengi wao Wamehamia kwenye uzalishaji wa bidhaa kwanini sisi tusifikirie huko au tunakwama wapi
  19. Baba mtakatifu91

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike ili vijana wajiajiri kupitia michezo?

    Michezo ni moja ya nguzo kuu katika maisha ya vijana ambayo humkuza kijana kiakili,kimwili,kitabia na kijamii. Licha ya serikali kutoa mchango mkubwa ili kukuza michezo kwa vijana nchini, ombwe linabaki katika kuendeleza kipaji kwa kijana mwenye ndoto ya kuwa mchezaji mkubwa. Katika awamu hii...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Viongozi wengi wa vijana wamejaa uoga, wanaongoza kundi la vijana waoga wenzao waliokata tamaa

    Askofu Dkt. Bagonza amesema viongozi wengi wa vijana wamejaa uoga unaoitwa utii, hali inayowafanya washindwe kusimamia maslahi ya wenzao. Amesema viongozi hao wanaongoza vijana wengi waliokata tamaa na wanaokimbilia majibu mepesi, ikiwemo kutegemea miujiza, njia rahisi za kupata utajiri na...
Back
Top Bottom