Naandika hili kwa heshima kubwa kwa Dkt. Dorothy Gwajima na Waziri wa Vijana kwa sababu ninaamini hili sio suala la udaku tena, bali ni suala la ustawi wa kizazi cha Tanzania.
Kati ya mwaka 2008 hadi 2016 tulishuhudia utamaduni wa magazeti ya udaku kutengeneza watu maarufu kupitia skendo...
Kuna jambo ambalo nimekuwa nikijiuliza kuhusu safari yetu ya digital transformation Tanzania. Serikali ina mifumo mingi yenye taarifa muhimu, na tayari ina miundombinu ya data sharing na interoperability kupitia GovESB. Miongozo ya e-GA yenyewe inaeleza kuhusu application integration, data...
Wake za watu tulizeni nyapu zenu kwa waume zenu, mnajirahusisha kwa vijana wadogo, wanawapelekea moto mnapagawa, waume zenu wakigundua vijana watu wanaingia kwenye matatizo makubwa.
Nanyi vijana wa kiume, waepukeni wake za watu, ukidakwa mo safi ni halali yako.
NARUDIA; VIJANA MAISHA NI POLEPOLE, HUO NDIO MWENDO. USIYASUBIRI. YAFUATE.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Haba na haba hujaza kibaba. Bandua bandua humanize gogo.
Hizo ni hekima za wahenga, manabii wa kale. Polepole ndio mwendo.
Kijana nisikie, ndoto kubwa uliyonayo ni kama gogo la mbuyu...
Kuna kizazi cha vijana wenye miaka 32,33, 34, 35 na 36 ambacho kwa kweli kinanishangaza.Wengi ni smart sana darasani na ni watulivu sana wana nidhamu fulani sio haba na wana degree zao na walikuwa na ndoto kubwa. Lakini tatizo ni kwamba wengi wamekuwa sio wajanja wa maisha.
mtu ana degree...
Ishu sio kujilaumu kwa mtiririko huu
Ila kujua kweli, ili tujiondoe katika utumwa wa victim mentallity wa kufundishwa kulaumu wazungu huku anaekufundisha kulaumu anatumia mwanya huo kukuminya wenye wewe mwafrika mwenzake.
Truth prevails, truth heals, right?
Tukijua ukweli kuwa kuna jamii...
Kwenu watu Wazima, Mnaowalaumu vijana Kwa Utoto
Kuna (baadhi) ya watu wazima
wale ambao umri umeenda, wamekuwa na tabia ya kuzodoa vijana wadogo au watu ambao bado hawajafikia umri wao
Utasikia:👇
Yaani huyu utoto unamsumbua
Huyu ana utoto mwingi
Hajitambui
Na maneno mengine mengi sana
Lakini...
Wadau kwema? Vijana wengi wanamaliza vyuo na kupata vyeti, lakini bado wanakaa muda mrefu bila ajira. Wengine wanaishia kufanya kazi ambazo hazihusiani kabisa na taaluma walizosoma mfano boda boda n.k
Kwa maoni yako, tatizo kubwa ni ukosefu wa ajira, mfumo wa elimu, ukosefu wa ujuzi wa vitendo...
Na Mwandishi Wetu
Dar es Salaam. Shirika la Dawa Asilia na Ulinzi wa Mazingira Tanzania (TRAMEPRO) limewataka vijana kutumia ubunifu, sayansi na teknolojia kama nyenzo za kujenga uchumi, kuzalisha ajira na kulinda mazingira, likisisitiza kuwa wao ndiyo nguvu ya mabadiliko ya sasa na si viongozi...
Wanasiasa wengine hivi sasa, hasa vijana hawana tena muamko wenye kuibua mawazo mapya wala fikra mbadala na bora zaidi za kutatua changamoto zao, wala hawana tena uwezo wa kujitetea wenyewe kwa hoja, bali sasa wengi wao wanasubiri, na in fact wamemezwa na siasa za matukio au vihoja vya kutafuta...
Vijana tupatao 436 tuliowahi kuahidiwa na aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, kwamba baada ya kumaliza mafunzo yetu tungeajiriwa moja kwa moja, hadi sasa hatujaajiriwa wote.
Baadhi yetu tumebaki mitaani bila ajira, huku wengine wakiwa wanakabiliwa na changamoto za...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, amesema vijana ni nguvu kubwa katika jamii na wana uwezo wa kusababisha mabadiliko nchini.
Heche ameyasema hayo akizungumza na vijana, akiwahimiza kutambua nguvu waliyonayo na kuitumia katika kushiriki katika masuala yanayohusu mustakabali wa nchi...
Ndugu zangu mimi nauliza tu ni kwanini UVCCM tarehe ya Leo hawajaonekana kufanya kongamano la vijana maana leo ni siku ya vijana bali naona online tvs nyingi Kuna Bavicha na kwa mbali ile ngome ya nondo.
Wakili William Maduhu akizungumza leo tarehe 12 Agosti 2026 wakati Ngome ya Vijana ya ACT Wazalendo chini ya Mwenyekiti wake Abdul Nondo inapoadhimisha Siku ya Vijana Duniani kwa kufanya Kongamano katika Ukumbi wa Mrina, Dar es Salaam.
https://www.youtube.com/watch?v=vm0FWYIKQv8
Leo tarehe 12 Agosti 2026, Ngome ya Vijana ya ACT Wazalendo chini ya Mwenyekiti wake Abdul Nondo inaadhimisha Siku ya Vijana Duniani kwa kufanya Kongamano katika Ukumbi wa Mrina, Dar es Salaam.
Bey Minyodo Tz ni kijana pande la miraba miwili mwenye mwili mkakamavu wa mazoezi anayechunguza na kuwaadhibu vijana wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja
Minyodo amekuwa akiwatembezea viboko na makwenzi wale wote wanaoingia anga zake huku akiwaonya kujihusisha na ulawiti
Amekuwa akiungwa...
Inasemekana kuwa maeneo deep ya ujaluoni kuna uchawi ulio kithiri sana.
Inasemekana hata maendeleo yamedumaa maana anaeunuka anadondoshwa in no time.
Je hii ndio inaweza kuwa sababu kuu ya vijana hawa kutorudi vijijini?
Vijana wenzangu mjitahidi sana kuyaelewa maisha.
Maisha ya duniani yana formula na hii formula ndio inawafanya baadhi kufanikiwa na kuwa mbele.
Ni muhimu pia wakati una date angalia familia na utulivu wa huyo mdada.
Kuna vijana watatu miaka ya hivi karibuni wameonesha maturity kubwa mno ...
Vijana wa Gen Z hawana madhara kwa Taifa lolote duniani
Wanachotaka ni ajira na mitaji, haki pamoja na ukweli
Vijana wa Gen Z wana upeo mkubwa sana wa akili, wanafahamu mambo mengi ambayo hayakuwa yakifahamika zamani
Ni vijana wazuri, wema, watiifu, wadilifu na wachapa kazi sana ikiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.