M Malaria 2 JF-Expert Member Joined Oct 17, 2023 Posts 9,826 Reaction score 15,275 Aug 9, 2026 #1 Vijana swala zinawashinda za dakika 5, wanashinda kwenye TV wakiangalia yanga na Simba day.
M mbari sa menya JF-Expert Member Joined Apr 29, 2022 Posts 1,012 Reaction score 1,942 Aug 9, 2026 #2 Malaria 2 said: Vijana swala zinawashinda za dakika 5, wanashinda kwenye TV wakiangalia yanga na Simba day. Click to expand... Sasa Sheikh kama vijana wanaisikia athana, na hawaendi kuswali ukiandika humu hawatakuelewa, Wewe waombee dua pengine watabadilika,
Malaria 2 said: Vijana swala zinawashinda za dakika 5, wanashinda kwenye TV wakiangalia yanga na Simba day. Click to expand... Sasa Sheikh kama vijana wanaisikia athana, na hawaendi kuswali ukiandika humu hawatakuelewa, Wewe waombee dua pengine watabadilika,
Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 65,352 Reaction score 112,266 Aug 9, 2026 #3 Tuliza mzima sheikh, mpira ni mkubwa kuliko dini.
M Mopak JF-Expert Member Joined Sep 19, 2024 Posts 2,643 Reaction score 5,734 Aug 9, 2026 #4 Dini zililetwa tuu.