vijana

  1. Foffana

    JamiiForums Tanzania John Heche:Je Betting itaondoa umaskini kwa vijana?

    Betting itaondoa umasikini kwa vijana? Kilimo hakuna watu, Betting ina watu!!!!
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kamari imekuwa janga kubwa, Vijana tuungane kutokomeza janga hili

    Kamari imekuwa janga kubwa, hasa kwa vijana na watu wengi kwa ujumla. Imeua ndoto nyingi na kusababisha watu kupoteza mali, kazi na hata maisha. Zaidi, michezo ya kubashiri mtandaoni kama casino, Aviator, JetX na mingine imekuwa changamoto kubwa kutokana na urahisi wa kuifikia. Hakuna dalili...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kwa nini mijimama mengi yaliyoachika huwa yanafungua grocery na huwanasa vijana

    Nimefanya tafiti na kugundua mijimama mingi iliyovunja miji huwa inafungua biashara ya grocery . Hapo ndipo huwa inawanasa vijana wadogo wadogo na hutumia juju kali sana.
  4. Top Gun

    JamiiForums Tanzania Maandiko yanasemaje kuhusu vijana wa kiislam walio mashoga kuhusu wao kupokea thawabu ya mabikra 72 kama wengine?

    Tuseme nae amechangia kufanya jihad na akafa kama mpambanaji. Akipokewa huko, atapewa mabikra hawa kama straight men wengine? Sasa najiuliza, atawaweza kweli? Au kuna mbdadala wake ?😁
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dkt. Evaline Munisi: Ughaibuni Loan ni hatua ya kujenga imani mpya kati ya Serikali na vijana wa Kitanzania

    Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu- Kazi, Ajira na Mahusiano, Dkt. Evaline Wilbard Munisi amesema uzinduzi wa Ughaibuni Loan si uzinduzi wa mkopo pekee, bali ni hatua ya kujenga imani mpya kati ya Serikali na vijana wa Kitanzania, hasa vijana wenye ujuzi wanaotamani kutumia fursa za...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hizi hasira za baadhi ya vijana wa Tanganyika ni wivu na chuki ya kuona kijana kama wao kapewa cheo chenye uhakika wa maisha mazuri hadi kifo

    Ni kijana mdogo tu kisiasa na kaweza kupata cheo namba 2 kikubwa nchini kinachomuhakishia uhakika wa maisha safi hata baada ya kustaafu MAFAO BAADA YA KUSTAAFU Pensheni ya kila mwezi: 80% ya mshahara wa Makamu wa Rais aliye madarakani. Kiinua mgongo: 50% ya jumla ya mishahara yote aliyopokea...
  7. Miss Halima

    JamiiForums Tanzania Afunga Wi-Fi ya Bure Usiku Kupata Ulinzi wa Vijana Bila Gharama

    TAMALE, GHANA – Mmiliki mmoja wa jumba kubwa la kifahari (mansion) katika mji wa Tamale nchini Ghana, amegundua mbinu ya kipekee na ya kijasusi ya kuimarisha ulinzi wa nyumba yake kwa kutumia teknolojia ya internet. Mwanaume huyo, ambaye ripoti zinasema alikuwa akikabiliwa na changamoto ya...
  8. Huihui2

    JamiiForums Tanzania EFM Radio: Kocha anayelawiti na kulawitiwa na vijana achukuliwe hatua

    Nilileta uzi humu kuhusu malalamiko ya huyu kocha lakini MODS waliufuta kwa madai ya kuwa kijana aliymtuhumu kocha amekiri kusema uwongo. Leo EFM wamejadili suala hili, na hapa nawaletea link msome wenyewe: https://www.instagram.com/reel/DcfmfofMFS_/?igsi=NjA1c2lkYnljN3gw
  9. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Vijana, thamani yako haipimwi na kiasi cha pesa ulichonacho. Usikubali kuingizwa kingi na wanawake

    VIJANA, THAMANI YAKO HAIPIMWI NA KIASI CHA PESA ULICHONACHO. USIKUBALI KUINGIZWA KINGI NA WANAWAKE. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Vijana wengi leo wanaishi chini ya shinikizo kubwa ili kuthibitisha thamani yao kupitia pesa. Unaambiwa bila pesa huwezi kupendwa, kuheshimiwa au kuwa mwanaume...
  10. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Viongozi Wataka Ushiriki Mkubwa wa Vijana katika Ubunifu wa Kidijitali Afrika

    Viongozi wa Serikali, sekta sekta binafsi na wadau wa teknolojia wametoa wito wa kuongeza uwekezaji kwa vijana katika ubunifu na ujuzi wa kidijitali ili kuiwezesha Afrika kutoka katika utegemezi wa teknolojia na kuwa mzalishaji wa suluhu za kidijitali zinazoendana na changamoto za maendeleo ya...
  11. Denice Maxwell

    JamiiForums Tanzania Vijana muacheni Rais Samia afanye anavyoviweza, hawezi kuridhisha kila moja

    Watanzania wenzangu, hasa vijana, jikiteni kwenye kuzitafuta fursa. Achana na siasa vijana wenzangu, acheni kutumia mitandao ya kijamii kutoa maneno yasiyo mazuri kwa viongozi. Kumbuka Mungu anatutazama, ipo siku utaeleza kwanini ulitumia maneno hayo ya matusi na dhihaka. Mama Samia ni Mtulivu...
  12. mirindimo

    JamiiForums Tanzania PICHA: Utambuzi unaendelea, inasemekana ndiye anayetesa vijana wanaotekwa eneo maarufu kama Garage hapo Oysterbay

  13. Sister Abigail

    JamiiForums Tanzania Trend mpya ya vijana barabarani

    Unawakuta barabarani wanapungia mikono sijui wanafanyeje Kwa mabasi ya mikoani ama magari binafsi,then yule dereva nae anamulika mataa kama ana-blink. Ni Nini?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Nikiona vijana waliopiga pesa kwenye tech miaka ya 2000–2010 leo wanahangaika, najifunza kuwa hakuna ujuzi unaopitwa haraka kama wa teknolojia

    Wapo waliokuwa na nidhamu ya fedha waliwekeza au kupanua biashara zao nyingine wanakula maisha hadi leo lakini kuna hawa wengine ambao walidhani ujuzi wao utawabeba hadi kuzikwa, maisha yao yameshuka. Baadhi ni hawa Website designers - Ilikua deal sana enzi hizo, nakumbuka nikiwa nimepada...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Je vijana wa tanzania wanapata fursa za kuonesha innovations zao?

    Vijana wa tanzania kwa miaka ya hivi karibuni wanaonesha muamko mkubwa katika kuumiza vichwa na kuja na innovations ambazo zinaweza kutafuta changamoto za Moja kwa Moja kwa jamii ya watanzania na pili kuleta fursa za kipato lakini swali linabaki Kuna majukwaa sahihi ya kufukisha bunifu zao na je...
  16. Optimists

    JamiiForums Tanzania Ungepata nafasi ya kurudi chuo ungesoma nini na kwanini? Unawashauri nini vijana wanaoingia chuo mwaka huu?

    Lengo ni kuwapa vijana picha halisi ya maisha? Vijana wengi wanaenda vyuoni kwa kufata mkumbo, wachache sana wanabahatika kujitambua mapema na kupata fursa, mimi binafsi niliajiriwa serikalini kama Mwalimu bachelor holder, then nikarudi veta kusoma umeme wa magari na kujishikiza kwa mafundi...
  17. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Kuna swali moja matata sana litaulizwa kwa mkuu IGP na CDF ikiwa wataamua kwenda mahakamani. Nani aliamuru vijana wapigwe risasi 0ctober 29?.

    Oya siyo poa tusifike huko.
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Richard Kasesela: CCM ina mvuto mkubwa sana kwa Vijana na wana matumaini nacho

  19. K

    JamiiForums Tanzania Elimu ya chuo bado ni njia bora ya mafanikio kwa vijana?

    Katika dunia ya sasa vijana wengi wanatafuta njia mbalimbali za kujenga maisha yao, baadhi wanaamini kuwa elimu ya chuo kikuu au vyuo vya kati ndiyo msingi muhimu wa kupata ajira na maisha bora. Wakati wengine wanaona kuwa ujuzi wa vitendo, biashara na teknolojia vinaweza kumpa kijana nafasi...
  20. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Serikali, Hivi Mnaona Kinachotokea kwa Vijana Wetu?

    Naandika hili kwa heshima kubwa kwa Dkt. Dorothy Gwajima na Waziri wa Vijana kwa sababu ninaamini hili sio suala la udaku tena, bali ni suala la ustawi wa kizazi cha Tanzania. Kati ya mwaka 2008 hadi 2016 tulishuhudia utamaduni wa magazeti ya udaku kutengeneza watu maarufu kupitia skendo...
Back
Top Bottom