VIJANA WENZANGU: Hakuna Atakayekuja Kubadilisha Maisha Yetu Isipokuwa Sisi Wenyewe
Leo nimeamua kushare mawazo machache kwa kila kijana anayehangaika kutafuta maisha.
Ukweli ni kwamba wengi wetu tunasubiri muda mzuri, mtaji mkubwa au mtu wa kutushika mkono. Lakini muda mzuri hauji wenyewe...
Kwa mujibu wa rekodi za kihistoria, yalifanyika maandamano siku ya Jumamosi, 22 Oktoba 1966. Hapa chini kuna mfuatano wa matukio kwa tarehe:
4 Oktoba 1966:
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania lilipitisha sheria iliyofanya National Service (JKT) kuwa ya lazima kwa wahitimu wa Kidato cha...
Katika hotuba yake ya hivi karibuni mkoani Njombe, Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson alitoa maagizo yanayoshtua. Baada ya kuwaonya watumishi wa umma dhidi ya kuvujisha "siri za serikali," alitangaza kwa fahari kuwa zaidi ya vijana 400 wa Kitanzania wamekamatwa kwa kutoa lugha za matusi kwenye...
Wazee, ipo hivi; kuna vijana tunahitaji sana, tena sana, kupata familia au kuanzisha familia na wenza wetu tunaowapenda. Shida inaanzia pale mzazi, yaani mkwe, unaponipimia mahari kama vile unanikomoa. Yaani sijui huwa mnafikiria kiukweli au huwa mnaamua tu kuropoka.
Mnatufanya tuendelee kuwa...
Wakuu habari Zenu
Dah wimbi kubwa la vijana tumekuwa tunapenda matokeo ya haraka sanaaa yaan boom baah 💥
Manoti hayooo
Hii kitu inapelekea baadhi ya vijana 😂 kutumia fursa hii ya vijana tupendao matokeo overnight kupiga pesa
Wanafungua platform wanaipromote mitandaon kwamba ukijiunga...
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Nimemuona Mwaipopo akiwa amekusanya vijana watoto wa watu wasio na hatia akiwaita kundi la mbwa mwitu la kutahiri watanzania bila ganzi
Hakika nimesikitika sana kwa kweli nimewaonea huruma hao vijana kesho na kesho kutwa akaingia rais...
Ukiwa kijana, kushika mshiko wa kwanza maishani ni kama kupata uchawi fulani hivi unaokufanya uhisi una uwezo wa kununua mtaa mzima. Lakini bila kujitambua, unajikuta unafanya makosa ya kijinga sana ya kifedha yanayokuhakikishia umaskini wa kudumu ukifika umri wa miaka 30. Usikubali kuwa "bosi...
Nina Mwaka sijaingia Jf Kwakuwa nilikuwa busy nimeingia nakupa SM zaid ya 200 hivi kwanini msifanye kazi ? Unamuombaje hela mtu mtandaoni ambaye humjui
Mkuu wa Wilaya ya Siha Mkoani Kilimanjaro Christopher Timbuka, amesema kundi la vijana lililozua vurugu na kuweka jeneza lenye mwili wa kijana aliyefariki dunia juu ya gari lake la kikazi lilikuwa katika hali isiyo ya kawaida kutokana na matumizi ya vilevi.
Pia Soma:
Jeneza lawekwa juu ya gari...
- Kupiga simu badala ya kutuma ujumbe.Gen z wanapendelea kutuma ujumbe kupiga simu wanaona ni kuingilia uhuru wao binafsi.
Mambo gani mengine yakushangaza funguka?
Kuna haja kwa mamlaka husika kufuatilia kwa karibu kinachoendelea katika baadhi ya programu za incubation kwa vijana wabunifu zinazoendeshwa chini ya Atamiz/CBE. Kila mwaka vijana wengi hujiunga na programu hizi wakiahidiwa kupata msaada wa kukuza biashara na ubunifu wao kupitia mentorship, seed...
VIJANA WAKIUME LAZIMA MJUE NDOA LAZIMA UZINGATIE MASLAHI YAKO YAKO KIUCHUMI. NDIVYO FAMILIA KUBWA ZINAVYOFANYA. SIO UNAJIOLEA OLEA HOVYOHOVYO.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
1. Kuna dhana nyingi za kizamani ambazo zipo zaidi Afrika na jamii maskini au zilizotopea kwenye ujinga.
2. Kwamba...
Huu ni mtego wa "Lifestyle Inflation" (Mfumuko wa Gharama za Maisha Binafsi)—ule ugonjwa unaotafuna vijana wengi wa Kitanzania kati ya miaka 24 na 35 pale wanapoanza kushika "pesa kidogo" ya mshahara au biashara.
1. Shambulio la Gari: Chuma vs. Ardhi
Hili ni kosa namba moja la vijana wa kiume...
Mchekeshaji Mzee Shayo amemkosoa vikali Coy Mzungu, akimtuhumu kuwanyonya vijana kwa manufaa yake binafsi na kudai hafai kuitwa game changer wa ucheshi nchini. Shayo amesema game changer halisi katika comedy ni Diamond Platnumz, akishangazwa na tuzo aliyopatiwa Coy Mzungu.
"Siwezi Kumtofautisha...
Tanzania kuna sehemu ukiweza kuwa dotto magari kwa uwezo mdomo wako basi umeweza kufika kukomboa nchi.
Hapa naongelea uwezo wa ndani ya nchi kujumu domo vs matendo.
Kuna jamaa yule yeriko Nyerere kwa kujifanya vingwa wa vitabu na matendo ni kitu tofauti sana.
Leo uwezi kumuona mtu kama mwenye...
Waziri wa Fedha, Khamis Mussa Omar ameyasema hayo Juni 11, 2026 wakati akiwasilisha mapendekezo ya Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2026/27 akidai Serikali imetenga kiasi cha shilingi bilioni 200 kwa ajili ya Programu ya Kitaifa ya Uwezeshaji Vijana Kiuchumi ambapo hadi Aprili 2026...
Kando ya Tamasha la Asili la Utamaduni BULABO linalofanyika katika Viwanja vya Ngomeni-Kisesa, Ilemela Mkoani Mwanza, leo tarehe 11/06/2026 limefanyika Kongamano lililowakutanisha Wanafunzi wa Vyuo Vikuu na Vya Kati katika Chuo Cha Mipango kwa lengo la kukumbushana umuhimu wa kuenzi tamaduni za...
Naam vijana wetu na watoto wetu pia wajukuu huamua kufunga safari na kwenda nchi za mbali katika kujitafutia riziki,
Wengi huenda kwa njia ya kupata Elimu na baadae huamua kufanya kazi,,,wengine huenda kama kutembea na kujilipua nk nk wengine hupata Green Card kwa wale wa magharibi ya mbali...
Guys
Huyu dada na akili mara mia ya Makonda. kiufupi Makonda ni empty head kabisa sijui huwa anatumia ubongo upi kutekeleza mambo yake.
Mara nyingi amekuwa ni mtu wa papara na mipango mibovu mibovu kwa kweli kama Taifa tuna hasara kubwa sana.
Acha tu Nchimbi aitwe YUDA maana namba moja...
Rais wetu mpendwa Dkt. Samia Suluhu Hassan sisi vijana wazalendo tunapenda kukupa pongezi za dhati kwa namna unavyoendelea kuiwakilisha Tanzania katika majukwaa mbalimbali ya kimataifa kwa hekima busara na ujasiri mkubwa.
Safari yako nchini Urusi imeendelea kuonesha kwamba Tanzania ina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.