"JKT si chombo cha Muungano. Zanzibar ina idara maalumu yenye hadhi na majukumu yanayofanana na JKT; ambayo ni JKU. Kuwalazimisha vijana wa Zanzibar kujiunga JKT ni kupora mamlaka ya Zanzibar."
Mwenezi wa ACT Wazalendo, Salim Bimani
Msemaji Mkuu wa Serikali akiwa Mkoani Morogoro, Gerson Msigwa leo Mei 31, 2026 akitoa taarifa ya Serikali kwa Umma wa Watanzania amesema;
"Watanzania, hasa vijana ambao kwa bahati mbaya watu wanaojiita wanaharakati wakiwa na wafadhili wao huko wanapokujua, wamejipa kazi ya kuhamasisha vijana wa...
Miaka yote nilikuwa nasoma nimebahatika kupata shahada
Ila Cha ajabu wale vijana walioishia standard 7 wengine form four hawana Maendeleo wala utajiri mkubwa
Je na Mimi nijiandae kuwa mmoja wao?
Au nihame nikatafute mbali?
Kuna zoezi la ukamataji wa Pikipiki na Bajaj linaloendelea mjini, lakini utekelezaji wake unaacha maswali mengi. Baadhi ya wanaotekeleza zoezi hilo wanatuhumiwa kujihusisha na vitendo vya rushwa, jambo linalopunguza imani ya wananchi katika operesheni hizo.
Aidha, faini zinazotozwa ni kubwa...
Sabato Njema!
1. Tulizoea kuona Wanamapinduzi wa kijeshi, yaani wenye mafunzo ya kijeshi. Vijeba na watu wa medani za kivita. Hasa physically
2. Lakini Dunia Kila Zama huja na mambo yake.
3. Mange Kimambi na genge lake ingawaje wanaonekana ni wanaharakati waliojikita na mambo ya siasa.
4...
Pia soma...
~ Serengeti Boys yatinga Fainali ya AFCONU17 2026, baada ya kumuondoa Misri kwa mikwaju ya penati
~ Makonda: Kila Mkoa tuweke screen kubwa kuangalia heshima inayojengwa na vijana wetu Serengeti Boys, Juni 2, 2026
Video: Mchambuzi Smart
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Paul Makonda amewataka wakuu wa mikoa Nchini kote Siku ya Jumanne, Juni 2, 2026 Kila Mkoa waweke Luninga kubwa ili watu watazame fainali ya michuano ya AFCON kati ya Timu ya Taifa ya Vijana chini ya umri wa miaka 17 Serengeti Boys na Senegal...
Viongozi wetu wanapaswa kuelewa jambo moja muhimu: kizazi cha sasa cha vijana si kizazi cha kuamrishwa bila kuuliza maswali. Hawa vijana wamefundishwa kuhusu demokrasia, haki za binadamu, uchaguzi huru na wa haki, utawala wa sheria, na uwajibikaji wa serikali. Hivyo wanapoona tofauti kati ya...
Katika kipindi hiki ambacho gharama za maisha zimeongezeka kwa kasi, vijana wengi wamejikuta wakikata tamaa, wakiamini mafanikio ya kiuchumi yanahitaji mtaji mkubwa, connection au bahati ya kipekee. Ukweli ni kwamba uchumi wa mtu hauanzi kwenye kiasi kikubwa cha fedha, unaanzia kwenye fikra...
Mikopo ya vijana, wanawake na watu wenye ulemavu imeanzishwa kwa lengo jema, hasa katika kipindi hiki ambacho changamoto ya ajira imekuwa kubwa nchini. Mfumo huu umekuwa msaada muhimu kwa wengi katika kujiajiri, kukuza biashara ndogo ndogo na kuinua uchumi wa wananchi. Hata hivyo, bado kuna...
Habari Wana nzengo
Mimi ni mdau wa maendeleo ya watu wenye ulemavu nimekuwa nikifuatilia vyuo vya watu wenye ulemavu vilivyokuwa chini ya ofisi ya waziri mkuu ambako kwa Sasa vimehamia katika wizara ya elimu sayansi na teknolojia vyuo hivi vipo Singida (sabasaba) Dar es salaam (yombo),Mwanza...
Ku-survive kama kijana Dar bila ya kumezwa na ufuska uliopo karibu yako kama pua na mdomo inatakiwa iwe sehemu ya SKILL maalum katika resume'.
Adventure kwa mzungu ni kutembea kuona vitu na kujaribu vyakula na weather mpya ila adventure kwa mtu mweusi ili kuzifanikisha sexual fantasies zake kwa...
Habari za Sabato!
Nimeshangazwa Sana na mawazo ya vijana.
Mnawaza nini vijana?
Mnataka nini Vijana?
Mkoje ninyi vijana?
Katika hali ya kustaajabisha GenZ wanasema wao tatizo lao sio Soka, tatizo lao sio ajira, ajira hawana tatizo nalo.
Nikajiuliza kivipi tena wakati vijana ninyi ni jobless...
Kwamba kufa ni sawa hata kama ni premature death!
Kwamba wale wanaokufa mahospitalini kwa sababu ya uzembe wa serikali kupeleka vifaa na wataalamu waliobobea navyo ni vifo tu!
Kwamba vifo vitokanavyo na ajali za barabarani ambavyo vingi ni kutokana na uzembe wa polisi wa usalama barabarani...
Sisi Tumeomba mikopo ya halmashauri kupitia mfuko WA vijana,wanawake, wazee na walemavu maarufu kama mikopo ya Asilimia 10% ,Tangu Mwaka Jana mwezi wa nane lakini Hadi Leo hakuna dalili za kuupata mkopo huo.
Tumetumia gharama na Muda wetu mwingi Sana ,kila wakati wakiwa Wanatuita kwenye vikao...
Anonymous (aeb0)
Thread
halmashauri
kutoa
mikopo
sana
tunduru
vijana
wilaya
Dhana ya kwamba vijana walioingia barabarani walilipwa? Sijajua walilipwa kiasi gani mpaka kuingia barabarani kuhatarisha hata Maisha yao kwa maandamano hatarishi kama yale.
Lakini pia nani aliyewalipa hao vijana ? Pesa alizitoa wapi? Huyo mtu mpaka sasa amekamatwa?
Makundi ya vijana kuratibu...
Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), kwa kushirikiana na Shirika Lisilo la Kiserikali la Save Youth Dream Foundation (SYDF) pamoja na Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalumu ya Kiuchumi Tanzania (TISEZA), leo tarehe 15 Mei 2026, wameendesha mafunzo ya uwekezaji kwa wanafunzi yaliyofanyika katika Ukumbi...
Tume ilibaini kwamba vikundi vya vijana vilifunzwa kwa zaidi ya siku 28 katika maeneo ya siri. Muda huu mrefu wa mafunzo unaonyesha wazi kwamba hii haikuwa ni operesheni ya haraka bali ni mkakati ulioandaliwa kwa uangalifu mkubwa, ukithibitisha haja ya mfumo bora wa ujasusi wa mapema wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.