"I remain optimistic about tomorrow but am also prepared for the worst, so if the best comes, I will go straight to Arusha to take my brother home. If the worst happens, then the struggle will continue. It will not be the end of the world; it will just be a new chapter in the struggle for...
Zikiwa zimesalia saa chache kabla ya Novemba 6, 2026, siku iliyopangwa kutolewa kwa hukumu ya kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, hali ya mvutano inaendelea kujitokeza kwa kauli na matamko.
Kauli ya Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam kuhusu uwepo wa...
Anonymous
Thread
hukumu
kesi
kesi ya tundulissu
kuepusha
lissu
maslahi
maslahi ya umma
mubashara
sintofahamu
tundutundulissu
umma
Ikiwa ni takribani saa 24 zimebaki, sawa na siku moja kabla ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Antiphas Lissu hajapandishwa kizimbani kwa ajili ya kusomewa hukumu ya kesi yake ya uhaini, hizi ni baadhi ya kauli alizowahi kuzitamka Mahakamani kuhusu hukumu hiyo, ambapo amekuwa akisema mara nyingi...
Mvutano wa kidiplomasia umeongezeka kuelekea uamuzi ujao wa mahakama, baada ya wawakilishi kutoka mabunge ya kimataifa kuingilia kati mwenendo wa kisheria na shauri linalomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu.
Katika barua rasmi ya wazi iliyosainiwa na Mbunge wa Uingereza na Waziri Kivuli...
Kwa kweli Marekani ni model wa demokrasia duniani. Uchaguzi imefanyika ndani ya masaa sita washindi washajulikana na walioshindwa wamekubali kushindwa na maisha yanasogea. Hadi Rais kichaa Trump kakubali kushindwa na kuahidi kufanya kazi na democrats.
Kwa marekani usipotekeleza sera zako...
Nadhani wengi wetu badala ya kuwaza kwenda mahakamani 06/11 siku ya kutajwa hukumu ya kesi ya Tundu Lissu, ambapo idadi inayoruhusiwa kuingia mahakamani ni ndogo na ili kuepusha rabsha, wengi tujiandae kusimama pembezoni mwa barabara.
Kuna ruti ya kwanza ambayo huwa inatumika kumpeleka Tundu...
Kuna baadhi ya watu wana hofu na fadhaa kuu ya nini kitatokea tarehe 6/11/2026, siku ya maamuzi ya kesi ya Mh Tundu Lissu, Mwenyekiti wa CHADEMA taifa...
Wengine wanaamini, Lissu tayari alishahukumiwa kufa na kwamba kinachosubiriwa ni hukumu hiyo kuwekwa wazi tu..
Mimi nasema, SIO KWELI na...
Hukumu ya Tundu Lissu ilipangwa kutolewa mnamo tarehe 6 Novemba, 2026. Zilikuwa imebaki siku 2 tu hukumu itolewe rasmi. Lakini kuna kitu cha hatari nakiona mbele. Mimi sio mtabiri wala mganga wa jadi lakini nina wasiwasi huenda hukumu ya Tundu Lissu ikaahirishwa hadi mwakani kwa kisingizio...
Na. M. M. Mwanakijiji
Chama cha Mapinduzi kiko katika matatizo makubwa sana. Chama hiki kinachounda serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania bado kinaishi kwa fikra za kushika hatamu. Katika fikra hizi chama hiki hakikubali kuwa kiko kwenye matatizo makubwa. Tatizo lake kubwa ni jinsi gani...
Yeriko Nyerere ametoa uchambuzi kuhusu mkutano wa Godbless Lema na waandishi wa habari uliofanyika juzi, akidai kuwa mkutano huo ni miongoni mwa viashiria vinavyothibitisha kuwa Tundu Lissu ndiye mtuhumiwa namba moja kuhusishwa na maafa na mauaji ya Oktoba 29, 2025.
Soma Pia: Yeriko Nyerere...
Ndugu zangu Watanzania,
Huyu mtu hapaswi hata kidogo kurejeshwa ama kurejea Mitaani Kwa sababu kwa kauli na Maneno yake ya kupandikiza chuki uchonganishi na kuhamasisha ghasia na uvunjifu wa amani Amesababisha Maumivu na vilio kwa Familia nyingi sana hapa Nchini.
Amepoteza wengi sana na...
Kwa mda mrefu nimekua nikifuatilia Sakata la Tundu Lissu naona Chama chake hakijafanya vya kutosha katika kumpigania awe huru na badala yake Wanaharakati ndiyo wamekua wakimpazia sauti.
Hatua ya yeye Kutangaza kugoma kula ilikua inaonesha anajibambania mwenyewe japo naye ali ulaghai Umma kwani...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam limeonya dhidi ya Makundi ya Watu wanaodaiwa kuhamasishana kufanya vurugu, fujo na vitendo vya kihalifu ifikapo Novemba 6, 2026 siku ya hukumu ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu.
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam, SACP Jummane...
Huyu dada anaweza kuwa na mapungufu yake kama binadamu, lakini yuko vizuri sana kichwani.
Ukisikiliza majibu yake kuhusu matamshi ya Lema, utanielewa na ninahakika hata Lissu yatamfariji na kumtia moyo wa kupambana zaidi.
Inawzekana Lema amekata tamaa na kutafuta short cut akamini atamsaidia...
Imagine alikuwa anaongozwa na madalali wa siasa ila akawa mvumilivu akijua iko siku atakomesha huo mfumo
Mbowe na madalali wenzake wameshapoteana
Lema alijijengea heshima kwa muda mrefu ametumia miez michache sana kuifuta
Aibu
Mwenyekiti ni Mtu mmoja aliyejipambanua yeye ni nani na kusudi lake la kua hivo alivyo ni lipi!!.
Habari za kuwafata fata Àkina Abduli, Samia, Kikwete n.k kwamba 'Unaouwezo wa kuwashawishi Ndugu au Lissu mwenyewe kukubaliana na CCM' ... Mkome mara Moja .
Mnakula Hela za CCM kwa Jina la TUNDU...
Wakili Allute Lissu Mughwai ambaye ni kaka wa Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amefariki usiku wa kuamkia Leo Novemba 1, 2026.
Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na Dada yake aitwaye Rose Masesa pindi alipozungumza na Jambo TV.
Jambo TV ilipotaka kufahamu chanzo cha kifo chake Rose...
Kwa namna kesi ilivyoendeshwa kuanzia kumkamata, kumfikisha mahakamani, mpaka mashahidi wa mchongo kwenda kutoa ushahidi wao, ni wazi kuwa hata mtoto mdogo anaona hapo tunapotezewa muda tu, hakuna kesi wala nini, hivyo hawawezi kumkuta na hatia.
Lakini kumuachia nayo ni risk nyingine ambayo...
Bingwa wa Siasa Freeman Aikael Mbowe baada ya Kushika madaraka ya Uwenyekiti wa CHADEMA ndiyo atakua Mhimili wa CHADEMA katika Maridhiano ndiye atasaidia Tundu Lissu na John Heche kuachiliwa huru baada ya kusota gerezani kwa mda fulani.
Bingwa huyu wa siasa za upinzani bado ana ushawishi mkubwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.