tundu lissu

  1. Manyanza

    Wanaosema Mh. Tundu Lissu ataendelea kukaa ndani hadi rufaa itakapoamuliwa, Kuna kifungu cha 389 cha sheria ya makosa ya jinai

    Wakuu ! Kuna jambo la kisheria ambalo ni muhimu kulielewa katika mjadala unaohusu hukumu ya Mheshimiwa Tundu Lissu. Wengi wanajadili hukumu na uwezekano wa rufaa, lakini je, tunafahamu kwamba sheria inatoa uwezekano wa mtu aliyepatikana na hatia na kuhukumiwa kifungo kuachiwa kwa dhamana au...
  2. O

    Ninawasihi sana viongozi wetu wa CHADEMA kuzingatia sana suala la Dipolomasia ya Mazungumzo ya kisiasa kutatua suala la TUNDU LISSU

    Ndugu zangu viongozi wa CHADEMA ,tafadhalini sana katika kushughulikia suala la TUNDU LISSU tuzingatie suala la kidiplomasia ya mazungumzo. Pamoja na juhudi za kisheria mahakamani lakini bado kuna umuhimu mkubwa kuzingatia diplomasia ya kisiasa kama nyenzo muhimu ya kutatua matatizo ya...
  3. Manyanza

    Mjadala kuhusu hukumu ya Tundu Lissu umeahirishwa

    Wakili Peter Madeleka ameibua mjadala baada ya kueleza kuwa mdahalo kuhusu hukumu ya Tundu Lissu umeahirishwa ghafla kwa hoja kwamba Lissu tayari amekata rufaa, hivyo hukumu hiyo haiwezi tena kujadiliwa. Kwa maneno yake, ametoa pole kwa Odemba na wapigania haki. Lakini swali linabaki: Je...
  4. Keynez

    Kimantiki takwa la kuachiwa huru kwa Tundu Lissu kabla maridhiano hayajafanyika halina maana tena!

    Moja ya matakwa ambayo CHADEMA wamekuwa wanayasema kama moja ya vigezo vya kuingia katika meza ya maridhiano ni kuachiwa huru kwa Tundu Lissu bila masharti yoyote. Ukiangalia hapa ambapo tumefikia, takwa hilo halina maana tena maana kama mahabusu amekaa siku 577, kama kuhukumiwa amehukumiwa...
  5. S

    Peter Madeleka: Hukumu rasimi ya Mahakama Kuu inaonyesha Tundu Lissu alihukumiwa na Jaji Mmoja

    Ni maelezo ya Wakili Peter Madeleka aliyoyatoa kupitia mtandao wa X. Tukumbuke huyu ni wakili
  6. A

    Tindu Lissu na Watanzania wanasanifiana

    Tundu Lissu anawasanifu Watanzania kwa familia yake kuwa nje ya nchi na kuwa wanawe ni raia wa Marekani. Watanzania nao, wakiweno viongozi na wanachama wa Chadema, nao wanamsanifu Tundu Lissu kwa kumuacha abebe msalaba wake kwa ubwabwajaji wake. Ndo Dunia hiyo.
  7. figganigga

    Yaani mnamfunga Tundu Lissu halafu mtegemee Timu ya taifa Tanzania ifanye vizuri?

    Kuna wajinga wanadhani timu ya Taifa ya Tanzania ni mali ya CCM. Mmoja ya Wachezaji mdogo wake mlimuua 29.10.2025. Halafu mnamfunga Tundu Lissu. Kichapo hiki kinamanisha hii ni timu ya taifa si timu kutoka Kizimkazi bali ni timu ya Watanzania.. Na watanzania hatufurahi mwenzetu hata akiwa...
  8. Izato

    Hukumu ya Tundu Lissu tujifunze kupitia shinikizo la Ponsiyo Pilato

    Majaji na hukumu ya Tundu Lissu tujifunze kupitia shinikizo la Ponsiyo Pilato Injili inatufundisha kuwa Pilato alikabiliwa na shinikizo kubwa kutoka kwa Kuhani Mkuu, wakuu wa makuhani, walimu wa sheria, waandishi, wazee, pamoja na makutano ya Wayahudi ili atoe hukumu ya uhaini kwa Yesu...
  9. Manyanza

    LHRC yakosoa kuhusu uamuzi wa kesi ya Tundu Lissu

    Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu nchini Tanzania (LHRC) kimeibua maswali kuhusu uamuzi wa Mahakama Kuu kumhukumu kiongozi wa upinzani Tundu Lissu kifungo cha miaka minne jela kwa kosa la uchochezi, baada ya kumkuta hana hatia ya kosa la uhaini. Katika taarifa yake iliyotolewa Novemba 12...
  10. Cute Wife

    Mapendekezo ya LHRC juu ya Hukumu ya Kesi ya Uchochezi ya Tundu Lissu

    Haya hapa mapendekezo na wito wa LHRC kulingana na hukumu ya kesi ya uchochezi ya Tundu Lissu 1. Wito kwa DPP Kupitia Upya Mashtaka ya Uhaini La kwanza ni kwa Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) kupitia upya mashtaka yote ya uhaini yaliyofunguliwa kwa kutumia kifungu cha 39(2)(d) cha Kanuni ya...
  11. Waufukweni

    Tundu Lissu Kupandishwa Mahakamani Kisutu 19/11/2026 kwa kosa la Uchapishaji wa taarifa za Uongo

    Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, anatarajiwa kurejea katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, Novemba 19, 2026, kwa ajili ya kutajwa kwa kesi nyingine ya jinai inayomkabili ya kuchapisha taarifa zinazodaiwa kuwa za uongo kupitia...
  12. tucker carlson

    Anna Henga LHRC: Lissu kuwekwa pamoja na waliohukumiwa kifo kunaibua maswali kuhusu uzingatiaji wa Katiba

    Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Anna Henga, amehoji hatua ya mshtakiwa Tundu Lissu kuwekwa gerezani pamoja na wafungwa waliohukumiwa adhabu ya kifo (death row), licha ya kuwa bado ni mahabusu ambaye hukumu dhidi yake haijatolewa. Akizungumza na waandishi wa...
  13. Keynez

    Tundu Lissu amepewa namba 623 huko gerezani. Kitabu cha Biblia kinasemaje katika mistari hiyo?

    Baada ya kupewa hukumu na kuwa mfungwa huko gerezani, Tundu Lissu amepewa namba ya mfungwa 623. Nimepitia vitabu vyote vya Biblia. Hii ndiyo mistari iliyopo katika sura 6 mstari wa 23, na sura ya 62 mstari wa 3. Danieli 6:23 Basi mfalme akafurahi sana, akaamuru wamtoe Danieli katika lile...
  14. Hussein J Mahenga

    Wakili Kizimbani: Tundu Lissu na Utetezi Wake Katika Kesi ya Uhaini

    Tundu Lissu, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), ni mmoja wa wanasiasa wa upinzani wanaofahamika zaidi Tanzania, na pia ni wakili mzoefu. Kesi ya uhaini iliyofunguliwa dhidi yake Aprili 2025 ilimpa nafasi isiyo ya kawaida: kusimama kizimbani kama mshtakiwa na wakati huohuo...
  15. Keynez

    Tundu Lissu aliionya Mahakama isitengeneze "precedent" mbaya nao wameamua kumpa "precedents" lukuki!

    Ebwana eeeh, najua nyuzi za kuhusu kesi na hukumu ya Tundu Lissu zipo nyingi ila hili jambo bado linashtua, linasikitisha na kushangaza sana. Nimesikiliza mahojiano fulani Jambo TV na mawakili wawili, mmoja ni wakili kanjanja ila mwingine nondo zake aisee ukiorodhesha makosa na mapungufu...
  16. figganigga

    Je, Tundu Lissu katenda kosa la uchochezi katika kipindi gani?

    Tunachojua kosa lazima lijulikane limetendeka lini.. Je, hilo kosa la Tundu Lissu hadi anafungwa, alilitenda lini?
  17. U

    Hivi mwana sheria mkubwa Tundu Lissu kuna kesi yeyote ya maana aliyoshinda mahakamani?

    Wadau hamjamboni nyote? Sitaki matusi au Lugha za hivyo njoo na ushahidi wa kesi aliyoisimamia na kushinda
  18. Corticopontine

    Ilikuwaje Tundu Lissu na ndugu zake wameshindwa kujenga nyumba za kisasa kwao?

    Kama TAL ameshindwa kujenga nyumbani kwao licha ya nafasi kubwa aliyoipata serikalini, hana qualities za uongozi
  19. Manyanza

    Uingereza yavunja ukimya kuhusu hukumu ya Tundu Lissu, yataka haki na maridhiano Tanzania

    Serikali ya Uingereza imeelezea wasiwasi wake kuhusu kuhukumiwa kwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, na kuitaka Tanzania kuzingatia haki ya kupata usikilizwaji wa kesi kwa haki, maridhiano ya kisiasa, demokrasia na utawala wa sheria. Kupitia taarifa iliyochapishwa kwenye tovuti ya Wizara ya...
  20. Cute Wife

    Kesi ya Lissu ina nyaraka mbili za Hukumu! Ipi Sahihi na ipi ni Batili?

    Baada ya hukumu kusomwa mahakamani, lazima pawepo na nyaraka rasmi inayoonyesha kilichofanyika na kilichoamuliwa kwa ajili ya kumbukumbu. Nyaraka hiyo ndiyo msingi unaotumiwa iwapo pande husika zitataka kurejelea shauri au kuanzisha mchakato wa rufaa. Nyaraka hizi zikoje? Hukumu ya Kwanza...
Back
Top Bottom