Katibu wa NEC, Itikadi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosii amesema wameumizwa na hukumu iliyotolewa katika kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu na kwamba wanamuombea atoke.
Akizungumza mkoani Morogoro, Kihongosi amesema Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA amemwandikia...
DAVID MCALLISTER
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge la Ulaya ya Masuala ya Nje
Tundu Lissu amepatikana na hatia ya uchochezi na mahakama za Tanzania, huku akiachiwa huru dhidi ya shtaka la uhaini.
Kumtesa na kumkandamiza mwanasiasa wa upinzani ni shambulio la moja kwa moja dhidi ya misingi ya...
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile ameeleza kuwa Mahakama Kuu ya Tanzania imetenda kwa mujibu wa sheria katika kumtia hatiani na kumhukumu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Antiphas Lissu, kifungo cha miaka minne jela kwa kosa la...
https://youtu.be/eCxcuqDMftY?si=jt5ije0UyztmghrJ
KWA UFUPI:
Wakili Peter Madeleka: Hii ni Moja ya hukumu ambayo nikipata nakala yake ngumu, nitaiwekea fremu na kuitundika sebuleni kama kumbukumbu...
Wakili Peter Madeleka: Mahakama kuu imejipa jukumu la kusikiliza na kutoa hukumu ya kesi ya kosa...
ADHABU YA LISSU NI YA KIMKAKATI
Jaji ametoa miaka 4 kwa TAL pasipo kuzingatia KANUNI & MIONGOZO ya utoaji ADHABU! Kisheria, adhabu inapaswa kutolewa kwa kuzingatia sheria & miongozo. Huu ni UTARATIBU wa LAZIMA sio hiyari ya Jaji. Kanuni ambazo mahakama imekiuka KIMKAKATI:
1. KUKIUKWA KWA...
Wajinga mna kazi sana, yaan muda wote wa kesi ya Lissu, hukuwahi hata kufunua Domk lako, Leo baada ya Lissu kufungwa Kisiasa , unalipa Media, ikualike ,ujifanye unaongea ongea, ili Yule mjinga wa ELIMU mbalimbali Aliyeua Watanzania Oktoba 29, akuone?.
Kwa upande mwingine, unaamini Wewe na Genge...
‘Nikipata nafasi ya kwenda kumuona Tundu Lissu nitaenda ni Mjomba wangu na yeye anajua, na mmoja wa watu walionishawishi mimi kusoma Sheria ni Tundu Lissu, kuteleza kupo, nilotamani matokeo yawe toauti jana lakini sababu tunaheshimu mifumo basi tunaacha'
‘Magereza sio sehemu nzuri ya kwenda...
Ndugu zangu,
Kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, imemalizika jana Ijumaa Novemba 6, 2026, baada ya takribani miezi 19 tangu akamatwe Aprili 9, 2025.
Ili tujadili vizuri, tuweke kwanza UKWELI WA KISHERIA uliotokea, halafu tuulize: Lawama ni ya Serikali au ya Mahakama?
1. UKWELI...
Na Mwandishi Wetu
Nilimfahamu Tundu Lissu kwa mara ya kwanza wakati wa uzinduzi wa mgodi wa Barrick, alipokuwa pamoja na Rais wa taasisi yake, Dkt. Nshala, katika kipindi cha utawala wa hayati Dkt. Benjamin Mkapa.
Wakati huo, gazeti la Rai lilikuwa na makala yenye kichwa cha habari...
Philbert Paschal ndo nabii peke alitabiri kesi ya Tundu Lissu kwa Usahihi. Wengine walikuwa wanabahatisha na kwenda na upepo.
Huu ni utabiri wa tatatu nimeona kwake.
Nasubiri aseme kuna kiongozi aliiba kura akijua atafika 2030 kumbe hatafika.
Kuna mtabiri mwingine kasema atarogwa afe kabla ya...
Umoja wa Kimataifa wa vyama vya Demokrasia (International Democracy Union – IDU) umelaani vikali hukumu iliyotolewa leo dhidi ya Makamu Mwenyekiti Mtendaji wa umoja huo, Tundu Lissu, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), chama kikuu cha upinzani nchini...
Wakili Peter Madereka amesema hukumu iliyotolewa na Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, dhidi ya mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, imeweka hadharani jambo ambalo wengi walikuwa wakibishana kulihusu: kama mwaka jana kulikuwa na uchaguzi au la.
Kwa mujibu wa Madereka...
Mimi nilikuwa simpendi Museven kwa mlengo wa yeye kungangania madaraka same kwa Kagame ila ukiangalia kwa mwenendo wa kesi na maisha ya Lissu huwezi tena washangaa wakina Museven na Kagame
yaani mwacheni museven awaachie watoto wake na wajukuu wake wale matunda yake ya kuipigania uganda...
Ni nani amevujisha siri za Hukumu ?
Ndugu zangu wapenda Haki, Kilichotokea Leo tulikisema humu siku kadhaa nyuma, Hata hivo Ndio kwanza Tunaanza Kupambania Haki ,UWAZI, Uwajibikaji Mauaji ya Oktoba 29, KATIBA MPYA, UCHAGUZI MPYA na Kumuachia Huru Tundu Lissu.
https://youtu.be/BrTpgftKTlQ?si=xMSm7XK1LyGTlTK0
MOHAMED SAID: HISTORIA YA TUNDU LISSU NI ZAIDI YA KESI YA MAHAKAMANI!
Kwa nini historia ya Tundu Lissu inapaswa kujadiliwa na Watanzania wote? Na kama mwandishi wa vitabu vya kihistoria angeichukua simulizi hii, angeiandikaje?
Katika mazungumzo...
Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dkt. Rugemeleza Nshala, ametoa msimamo wa chama hicho akieleza kuwa Tundu Antiphas Lissu bado anatambulika kikamilifu kama Mwenyekiti wa CHADEMA.
Kauli hiyo imetolewa Jijini Dar es Salaam mara baada ya Mahakama kumhukumu Lissu...
Wanabodi,
Leo ni siku muhimu kwa mahakama ya Tanzania kitaifa na kimataifa kuhusiana na hukumu ya Kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu. Huu ni uzi wa somo kubwa nililolipata kwenye kesi hii, kabla ya kesi hii juzi nilipandisha bandiko hili
Macho na Masikio Yote ni Mahakama Kuu, Kusubiria Hukumu ya...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche amewataka Wafuasi wa chama hicho kuendelea kuwa imara na kutokubali kugawanywa kwa maneno.
Akizungumza leo, Novemba 6, 2026, katika Makao Makuu ya CHADEMA, Heche amesisitiza umuhimu wa umoja na kuendelea kupambana, huku akiwashukuru Mawakili kwa kazi...
Baada ya Ushindi huo mnono Majaji wakiongozwa na Dunstan Ndunguru (Jaji wa DP WORLD) kwa niaba ya serikali wakaanzisha kesi mpya ya UCHOCHEZI , kesi ambayo Lissu hajawahi kushitakiwa nayo wala hajawahi kujitetea nayo na wala haijawahi kutajwa kwenye komito
Wakajisikiliza wenyewe na...
Tarehe 6 Novemba 2026
Akizungumzia hukumu iliyotolewa Ijumaa dhidi ya kiongozi wa upinzani nchini Tanzania, Tundu Lissu, na adhabu ya kifungo cha miaka minne jela kwa kosa la uchochezi, baada ya kuachiwa huru katika shtaka la uhaini, Mkurugenzi wa Kanda ya Afrika Mashariki na Kusini wa Amnesty...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.