Serikali ya Uingereza imeelezea wasiwasi wake kuhusu kuhukumiwa kwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, na kuitaka Tanzania kuzingatia haki ya kupata usikilizwaji wa kesi kwa haki, maridhiano ya kisiasa, demokrasia na utawala wa sheria.
Kupitia taarifa iliyochapishwa kwenye tovuti ya Wizara ya...
Baada ya hukumu kusomwa mahakamani, lazima pawepo na nyaraka rasmi inayoonyesha kilichofanyika na kilichoamuliwa kwa ajili ya kumbukumbu. Nyaraka hiyo ndiyo msingi unaotumiwa iwapo pande husika zitataka kurejelea shauri au kuanzisha mchakato wa rufaa.
Nyaraka hizi zikoje?
Hukumu ya Kwanza...
Taarifa za hukumu ya Tundu Lissu kuvuja kabla ya kutangazwa rasmi zimeibua maswali kuhusu usiri wa mwenendo wa mahakama na uadilifu wa taasisi za utoaji haki.
Je, taarifa hizo zilitoka wapi? Nani alikuwa na mamlaka ya kuzipata kabla ya wakati? Na kama kweli hukumu ilivuja, je, hatua gani...
Republic v. Tundu Antiphas Lissu | Criminal Case No. 19605 of 2025
Ndugu wanajamvi, Wadau wa Demokrasia na utawala wa Sheria, Wanaharakati na wengine wote Kwa ujumla Uzi huu utajikita moja kwa moja kwenye mambo kadhaa ambayo ni ya kina kabisa Kisheria kama ifuatavyo;
1. Ukweli wa kumbukumbu za...
Yeah ,lissu akiwa mahakakamani kwenye mchakato wa kusikiliza kesi yake alitoa pole na akaomba zifike kunapostahili , lakini mbona upande wa pili kutoka kwa her majesty's Queen Elizabeth the second sijaona pole ...au zilitolewa pole kwa niaba?
The Tundu Lissu Effect: Samia Suluhu aufyata, aanza kutekeleza Matakwa ya Tundu Lissu kuhusu tume huru ya uchaguzi INEC.
Samia Suluhu Hassan, amuapisha Jaji Mkuu wa Tanzania, George Masaju kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Usaili wa Wajumbe wa Tume Huru ya Uchaguzi kwenye hafla iliyofanyika Ikulu...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mheshimiwa Tundu Antiphas Lissu, amekata rasmi rufaa katika Mahakama ya Rufaa ya Tanzania kupinga hukumu ya kifungo cha miaka minne jela aliyopewa Novemba 6, 2026.
Hati ya kusudio la rufaa hiyo, iliyowasilishwa na wakili wake Dkt...
Dhahabu na chuma lazima moto uhusike. Na mbegu ili iiote lazima ufukiwe kwanza.. Lissu atatoka jail akiwa mpya..
Mwanasiasa na Mwenyekiti wa chama kikuu cha siasa Tanzania Tundu Antiphas Mghwai Lissu mfungwa mwenye namba 623/2026 kaanza maisha rasmi ya Gerezani. 623 logo ya utetezi wa...
Nakala ya hukumu ya Tundu Lissu ina saini ya Jaji mmoja badala ya majaji watatu waliosikiliza kesi.
Majaji wengine majina wala saini zao hazipo licha ya hukumu humo ndani kutumia wingi yaani neno "we.." kila ukurasa.
Hali hii inatia mashaka ikizingatiwa uwepo wa tetesi kwamba wakati hukumu...
Please see attached na ruksa kuongezea panapostahili. Documents za rufaa ( kwa kiswahili na Kiingereza) nimeziandaa kutokana na nyaraka ya hukumu kama ilivyoletwa humu na mdau tucker carlson ( Asante kwa kushare)
Kwa hati ya rufani, nukuu kifungu cha 9(1)(b)(i) na (ii) cha The Appellate...
Kwa mliokuwa mnaulizia, nakala rasmi ya hukumu ya Mahakama Kuu ya Tanzania (Kanda ya Dar es Salaam) katika kesi ya jinai namba 000019605 ya mwaka 2025 kati ya Jamhuri na mwanasiasa Tundu Antiphas Lissu, iliyotolewa tarehe 6 Novemba 2026 na Jaji Dunstan Ndunguru.
Kwa mujibu wa hati hiyo, Lissu...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, amehukumiwa kifungo cha miaka minne jela baada ya kupatikana na hatia ya kosa la uchochezi. Hukumu hiyo imetolewa Ijumaa, Novemba 6, 2026, na Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam
Kuna watu wanaamini...
Wakati Serikali ikitumia kumshikilia Tundu Lissu kama njia ya kushinikiza maridhiano, CHADEMA na Lissu wanachukulia kushikiriwa Tundu Lissu kama sababu ya kugomea maridhiano.
Kumbe njia ilikuwa rahisi tu ni kumuachia Tundu Lissu halafu unaitisha maridhiano ya kweli ni wazi chadema na lissu...
Rais Samia Suluhu Hassan alijipatia umaarufu kwa 4Rs yaani akiwa na maana ya;
1. Reconciliation-Maridhiano
2. Reforms-Mabadiliko
3. Resilience- Ustahimilivu
4. Rebuilding-Kujenga upya
Sasa ikiwa ni miaka takribani miaka 6 madarakani na akiwa amebakiza miaka 3 na nusu aondoke je sera hii ya 4Rs...
Wanabodi,
Tundu Lissu ni mwanachama wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika, TLS,
Hili ni bandiko la kuipongeza TLS kwa kitendo chake cha TLS kukaa kimya tangu kutolewa kwa hukumu hiyo, TLS imekuwa kimya bila kusema chochote, au bila kukurupuka kutoa maoni yoyote rasmi ya TLS, kuhusu hukumu...
Wanabodi,
Leo asubuhi hii, nilikuwa najibu kwa hasira, post ya jamaa fulani humu jf, baada ya kuniita "kibaraka" ambayo imenitia hasira sana hadi ku invoke the the voices from within!, sasa hata kabla sijamaliza kuiandika kumjibu, na kuiposti, nikiwa katikati, nikaisikia ile sauti, ya kutoka...
Historia za Wafungwa wa Siasa na Kusisimua Kwake:
"toka leo asubuhi nimekuwa napita maktaba na kutizama vitabu vyangu ambavyo mada zake ni vifungo watu ambao walifungwa jela kwa ajili ya harakati za siasa... kila unaposoma historia za watu ambao wametumkia vifungo historia zao ni za kusisimua...
Najua kwenye hii kesi lisu ana fidia yake kwani wakati shauri la uhaini linaendelea upande wa mashtaka ulikata rufaa kupinga kukataliwa kwa ushahidi wao wa video. Ambapo rufaa yao vilaza wa sheria katuga na jopo lake ilitupiliwa mbali.
Sasa kutokana na kutupiliwa mbali ile rufaa ya akina...
Katibu wa NEC, Itikadi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kenani Kihongosii amesema wameumizwa na hukumu iliyotolewa katika kesi ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu na kwamba wanamuombea atoke.
Akizungumza mkoani Morogoro, Kihongosi amesema Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA amemwandikia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.