Mwanasiasa mkongwe wa Kenya na Kiongozi wa Chama cha People’s Liberation Party, Martha Karua, ameitaka serikali ya Tanzania kumwachia huru mara moja Mwenyekiti wa Chama cha CHADEMA, Tundu Lissu, kufuatia uamuzi wa mahakama wa kumwachia huru baada ya kumkuta hana hatia katika shtaka la uchochezi...
Mashtaka ya Serikali dhidi ya Lisu yalikuwa ni uhaini, lakini Nduguru na genge lake wamemhukumu Lisu kwa mashtaka ya uchochezi? Hayo mashtaka ya uchochezi dhidi ya Lisu, aliyafungua yeye Ndunguru? Hivi ina maana Ndunguru hana weledi kabisa! au ni wakala wa waovu wabambikiaji kesi watu, na hivyo...
Kwa sheria za magereza ambapo mfungwa hutumikia theluthi mbili (2/3) ya kifungo chake. Hivyo kwa hukumu ya miaka minne yaani miezi 48 theluthi mbili ni miezi 32 ndiyo atatumikia.
Kwahiyo inategemewa ikiwa hatashinda rufaa yake wala kupewa msamaha wa Rais basi Tundu Lissu atakuwa nje ifikapo au...
picha: Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, akionyesha msimamo thabiti nje ya Mahakama Kuu ya Tanzania wakati wa mchakato wa kesi yake.
Wakuu wa jukwaa hili,
Kama nilivyoahidi asubuhi ya leo hapa jukwaani kuwa nitaweka andiko refu la uchambuzi kufuatia maamuzi ya kesi inayomkabili kiongozi wa...
demokrasia
demokrasia tanzania
hukumu
hukumu ya tundulissu
kisheria
kisiasa
kutoka
lissu
mustakabali
mustakabali wa demokrasia
tanzania
tundutundulissu
uchambuzi
uchochezi
uhaini
Kwa mateso ambayo Mwenyezi Mungu ameruhusu apitie kwa kipindi cha miaka yake naona kama inatosha sasa. Nakumbuka ile picha anachaniwa suti/kaunda kule tarime. Nakumbuka alipoiita report ya makinikia uchafu wa kitaaluma enzi hizo hayati JPM ni wa moto anaogopwa nchi nzima hadi na sisimizi na...
Lissu ni mharifu kwa Mujibu wa hukumu ya Leo ya Mahakama, na katiba ya Nchi kifungu no. 25 kifungu kidogo no. 3 cha utumishi wa umma.
hivyo basi ni vema mkaitisha uchaguzi kuchagua mwenyekiti mwingine iwe nje ya hawa waliopo kwasababu wanakashifa
Nawashauri chadema katika kuchagua mwenyekiti...
Nina maswali machache kuhusiana na hukumu ya miaka 4 iliyotolewa dhidi ya Tundu Lissu.
Hivi kama serikali ilikuwa imeshamfungulia Lissu kesi nyingine ya uchochezi iliyokuwa inasubiri hukumu ya kesi ya uhaini ili iendelee kusikilizwa, kwa nini hawa majaji wa kesi ya uhaini kama waliona kuna...
Huyu mtu ni maana HALISI ya KIDUME cha shoka.
Tena akifa mwili wake ukaushwe na kuwekwa katika jumbo la makumbusho kama kumbukumbu itakayo tukumbusha wanaume maana HALISI ya kuishi kama mwanaume kimisimamo na matendo. Na sio kuishia kubeba pumbu tu
Over!!!
Hamjambo!
Huyu Jamaa nafikiri serikali imemthibitisha ni habari nyingine. Kumuweka kwenye shunikizo kama hili na bado akabaki kwa hali na msimamo kama alionao ni jambo ka kushangaza.
Uso, macho na body language yake inaonyesha kabisa ni mtu asiye na mashaka. Msimamo huu sio rahisi kuupata kwa...
Anazungumza Lissu akiwa mahakamani.
"Sijawahi kupatikana na hatia kwa kosa lolote la jinai; Wamenishtaki kwa miaka 24 na hawajawahi kunipata na hatia hata mara Moja. Mnapofikiria adhabu ya kutoa kwa hili mnaloliita kosa msisahau mnatoa kwa mtu ambaye hajawahi kupatikana na hatia EVER!
Wakili...
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Antipas Lissu, anayekabiliwa na kesi ya uhaini yenye muda wa takriban miezi 19 sasa. Tundu Lissu amefikishwa mahakamni saa hii, tayari kwa kusomewa hukumu yake siku ya leo tarehe 6, Novemba 2026.
Kuingia kwake mahakamani kunafuatia...
Haya ni Maoni yangu.
Kwanza, Lissu atakutwa na Hatia.
Pili, ataambiwa ajitetee.
Yeye pamoja na mawakili wake na wale wa serikali . Na kwa pamoja wataomba hukumu isiwe Kubwa.
Kwasababu ni hatia yake ya kwanza.
Ila sasa kosa la uhaini kisheria hubeba adhabu kubwa zaidi ikiwemo hukumu ya Kifo...
Lengo ni kufungwa kwa miaka mitano au zaidi ili asishiriki siasa hadi kipindi cha Samia kipite.
Asalaam aleikumu.
Update ya hukumu ya kesi ya Uhaini inayomkabili Tundu Lisuu unaweza kuifuatilia hapa
Hukumu ya Tundu Lissu inaenda kusomwa leo November 6, 2026, tukio kubwa ambalo kila Mtanzania, mwanademokrasia, mpigania haki na mpenda haki, uhuru wa mahakama, uhuru wa maoni, kukusanyika na uraia kwa ujumla anataka kujua litaenda vipi.
Ni kama wakati ule wa skendo za Richmond, Escrow na...
Je, utachinja jogoo lako pendwa?
Je, utafanya ibada ya shukrani kwa Mungu?
Je, utaishukuru mahakama kutenda haki?
Je, utashinda bar kulewa na kuiendeleza weekend kwa kishindo cha wakoma..!!
Je, utaserebuka kwa muziki?
Je, tutarajie mimba nyingi siku ya leo? Nyavu kutikiswa kwa wingi...
Waungwana habari!
Katika sheria na utaratibu wa kimahakama baada ya hukumu kusomwa na mshitakiwa kukutwa na hatia anaruhusiwa kutoa maombolezo au hoja za shufaa. Hatua hii ya kutoa shufaa au maombolezo hujulikana kisheria/ kiingereza kama "mitigation stage". Ni katika hatua hii ambapo mshitakiwa...
Wakati Bw. Nelson Mandela alipopewa na kubambikiwa Kesi ya uwongo ya ugaidi kule nchini Afrika Kusini enzi hizo za Utawala wa Ubaguzi wa rangi wa Makaburu Bw. Baltazar Johannes Vorster, kwa jina lingine pia alikuwa anajulikana Kama John Vorster au kwa kifupi pia alikuwa anaitwa B.J. Vorster...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.