TENA is a Swedish-based brand of Essity that specializes in products for adults with urinary or fecal incontinence, such as pads and diapers. TENA also produces a youth diaper brand for teenagers and larger children. The company has offices in all of North America, most of Europe, in Australia and New Zealand, and some parts of Asia and Central America. TENA has specific lines for retail and health care. They can be found at grocery, drug and discount stores, in aisles where other bladder control products are sold.
👉 Tarehe 30 Mei 2026 itabaki kuwa siku ya kukumbukwa kwa mashabiki wa Paris Saint-Germain baada ya kutwaa ubingwa wa UEFA Champions League kwa mara nyingine mbele ya Arsenal katika fainali iliyokuwa na presha kubwa. PSG walionyesha moyo wa kishujaa, utulivu na uzoefu wa mabingwa hadi kufikia...
Nini kinasababisha kukwamia kwenye bao1 tu, kwa wenye umri wa kuanzia 35 years na kuendelea?
Na kama unaweza kufakamia bia6 bila breki katika umri huo, kulikoni ushindwe kuunganisha goli2 kwa1 kwenye 6kwa6?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Binafsi hua najiskia kunyaa sana nikimuona mwanamke wa aina hiyo. Na kabisa siwezi kumtazama tena na ninaweza hata kubadili uelekeo au kuondoka kabisa mahali nilipomuona.
Ni kitu gani hasa wanawake wa aina hii huhitaji? Kama ni uweupe, si wamezaliwa nao kabisa?
Unakuta binti kaiva sura...
Ukifa hutatamani tena kuishi duniani.
Hutatamani kuishi tena duniani kwa sababu utakuwa hujui chochote kinachoebdelea.
Hali inakuwa sawa na vile ilivyokuwa kabla ya kuzaliwa.
Ni hayo tu!
Watu wengi wamekariri kutumia pasi kavu bila kujua zinachangia pakubwa kuharibu nguo zao
Pasi kavu huchosha kitambaa, huchosha nyuzi na fabrics, huondoa mwonekano mzuri wa nguo na kufanya zifubae mapema. Ndio maana mara nyingi utaona nguo za mtumba zimetumika miaka mingi huko zilipotoka lakini...
Ni nadra sana katika sehemu nyingi zenye Zebra crossings ambazo hakuna traffic police karibu kukuta madereva wa magari, Bajaji au Bodaboda wakiheshimu na kuruhusu watembea kwa miguu kuvuka.
Ni wakati sasas serikali ijikite kujenga madaraja ya juu tu kuvukia badala ya hizi zebra crossings za...
Yote mnayoyaona na kuyasikia, msingi wake mkuu ni kama nilivyoeleza katika kichwa cha habari cha uzi huu.
Wamechafuka na kukataliwa ndani na nje ya nchi na kwa akili zao, CHADEMA ndio wamewaponza, wanasahau ni ulevi wa madaraka na kupuuza madai ya msingi ya wananchi ndio umewafikisha hapo...
Hakuna haja ya kuwa na chombo ambacho ni chanzo cha migogoro kila siku. Rushwa, kuzuia demokrasia, kupendelea CCM na kujipa cheo cha mahakama hakuna sababu ya kuwa na hii idara ya kijinga jinga hivi. Kutafutwe kitengo cha mahakama cha kusajili vyama na msimamizi
Awe sheria sio viongozi wajinga...
MCC ni kwasasa ni kama maluweluwe ni kama mtu,mbuzi,nyoka ,mara kiwiliwili ni joka kubwa na upande wa juu ni binadamu anaye nena maneno ya Makufuru kila muda na kila dakika
Kifupi MCC ni monster,liko tayari kusuck blood ya yoyote tena Lina penda fresh blood,lakini linawapambe kibao wanalipwa...
CCM ikiongoza serikali wanaangaika na Chadema bila hata sababu za msingi. Swali la kujiuliza CCM bado inasimamia misingi ya uanzishwaji wake? CCM imezaliwa na TANU cha kushangaza chama cha wakulima na wafanyakazi ghafla kikawa chama cha wafanya biashara, Mafisadi ni ukweli usiopingika kwamba...
Nairobi imeamka na stress nyingine tena after transport operators announcing kwamba strike itaendelea kesho because talks na serikali zimegongana mbaya. From matatus, boda bodas, Uber mpaka cargo trucks wengi wameamua “hakuna kazi mpaka mafuta ishuke.”
Wananchi ndio wamebeba mzigo mkubwa. Leo...
Najua inawezakua ni habari mbaya kwa wengine. Ila ndio hivyo.
Honda wamezindua generation ya nne ya hybrid yake pendwa Honda Insight, ila sasa wameachana na hybrid moja kwa moja wameenda EV.
Kwahiyo Insight EV jina jingine itaitwa Honda e:N2 kwa masoko ya China na Thailand.
Kwa kuanza...
Kaa chini kwa dakika chache na utafakari maisha.
Fikiria watu uliowahi kuwaona wakifanikiwa sana — leo hawapo tena.
Fikiria wafanyabiashara waliotikisa miji kwa utajiri wao — leo majina yao hayasikiki.
Fikiria kampuni zilizokuwa kubwa, maduka yaliyokuwa yamejaa watu, biashara zilizokuwa...
Mwanamke mmoja huko Lusaka, Zambia kamfikisha mahakamani mwanaume aliyalala naye mara moja na kuitaka mahakama imuamuru mwanaume huyo kulala naye tena kwa mara nyingine. Hii ni baada ya mwanaume kupiga Hit & run. Kwa mujibu wa huyo mwanamke ni kuwa mara baada ya kulala na mwanaume huyo hajawahi...
Rais wa Awamu ya kwanza , Mwalimu Nyerere aliwaweka watu waliobpbea kiuchumi kuwa washauri wake.
Mwalimu aliweza kubishana na IMF kwa kipindi kirefu kutokana na misimamo inayotokana na ushauri wa kitaalam toka kwa washauri wake wa kiuchumi.
Mwalimu alishauriwa na magwiji kama Dr Mwaluko, Prof...
Nimefikia uamuzi huo baada ya kufuatlia na kuona vijana wengi wakiumwa ugonjwa wa figo.. ninao wajua na maarufu tunaowajua wengi...
Pia nitajitahidi sana unywaji wa beer🍻 kwa kiwango na mara chache.
Jamii inaangamia tuchukue tahadhali kwa wakati.
Mwenyezi awaongoze nanyi wenzangu wengineo...
Mwanaichi wa kawaida Kenya amebaki confused na hii mchezo ya fuel prices. Last month tu serikali ilitangaza bei ya mafuta imepanda vibaya, wananchi wakalalamika, pressure ikaongezeka online na kwa ground, then ghafla prices zikashushwa kidogo kama “relief.” Sasa barely a month later, boom...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.