Habari zenu,kiukweli hili mechi ni kama imeisha tu,sioni simba akishida kivyovyote vile,nasema hivi kwasababu naona siasa imeingia,
Na ukizingatia yanga ina watu wazito serikalini,suala la uwanja suala la tiketi.kuna mauzauza mengi sana kwenye soka la mbogo,hizi mechi zinachezwa nje uwanja sana...