TENA is a Swedish-based brand of Essity that specializes in products for adults with urinary or fecal incontinence, such as pads and diapers. TENA also produces a youth diaper brand for teenagers and larger children. The company has offices in all of North America, most of Europe, in Australia and New Zealand, and some parts of Asia and Central America. TENA has specific lines for retail and health care. They can be found at grocery, drug and discount stores, in aisles where other bladder control products are sold.
=================
Tumuulize Bwana Kamusi tujue exactly maana ya neno "nyukua" na mnyambuliko wake...
Na hii ndiyo maana yake...
NYUKUA:
Ni kitenzi cha Kiswahili kinachomaanisha kufinya, kunyofoa, au kung'oa kwa ghafla kwa kutumia vidole, na kitu chenye ncha kali:
Mnyambuliko wa Maana na...
Sio kwa ndugu, rafiki, askari wala mwanajeshi hata kwa mkuu wa nchi siwezi jiliza wala kutia huruma ili nipate kitu fulani au haki fulani nitapambana mwenyewe.
Nimegundua watu hutumia kujiliza kwako au kulalama kwako kama mwanya wa kukukandamiza japo sio wote
Ndio hivyo tena, tumeikosa.
Dangote ameiambia BBC, ujenzi wa kiwanda cha kusafisha mafuta katika mji wa Lamu nchini Kenya utaanza Oktoba 2026. Ujenzi utagharimu Dola za Kimarekani bilioni 15.5 badala ya bilioni 20 zilizotajwa awali. Upungufu wa gharama umetokana na uzoefu wa kujenga kiwanda...
MLianza na 20, 30, ikaja 50, ikaja 80, sasa hivi 100k
Laki moja imekuwa sasa kama trend.
Tena hamjali hata hali ya mtu kisa tu ni rafiki au ndugu
Hivi haya yootee ya nini, jamani,
Si mchukuane mpelekane nyumbani hivyo hivyo kwani lazima mrushe watu roho mjini humu na matarumbeta?
Nilikuwa nikisikia sifa zinazopewa kwenye tunda linaitwa embe ng'ong'o nilikuwa natamani sana kulionja kwa kuwa huku kwetu kanda ya magharibi halipo na kama lipo mie sijwahi kukutana nalo.
Nikawa natamani sana kulionja, ila siku niliyolionja nikasema chaaa nini hiki, sitaki hata kulisikia tena...
Uhasama wa mashabiki wa Manchester United na Arsenal nchini Kenya umechukua sura nyingine baada ya mashabiki wa Manchester United kuibuka washindi wa 5–4 kwa mikwaju ya penalti dhidi ya Arsenal katika pambano lililofanyika jana katika Uwanja wa Nyayo.
Mchezo huo ulijaa ushindani mkali huku...
Wadau wote nawakaribisha kwa manunuzi ya simu na vifaa vya simu na laptop kutoka dukani kwetu utajipatia series mbalimbali za simu hizi SAMSUNG.PIXEL NA IPHONE NA NYINGINE NYINGI.PIA LAPTOP ZA KAZI ZOTE NA DESKTOP ZA NYUMBANI NA MAOFISINI ZIPO BRAND ZOTE Tunapatikana Kariakoo Dsm Huduma ya topup...
Unadhani kwanini baadhi ya vyama vya siasa vya upinzani nchini Tanzania vimeaamua kuacha kupambana kutafuta kuungwa mkono na wananchi kwa kutumia itikadi za vyama vyao, sera na agenda za kuvutia wananchi wapiga kura, na badala yake vimeanzisha utamaduni wa kutumia matusi kujitambulisha kwa umma...
Wakuu,
Leo nikiwa katika mtandao wa Instagram nilimsikia Oscar Oscar akisema ya kuwa wanawake wa kichagga ni wazuri sana kabla hujawaoa ila ukishawaoa kwisha
Na pia bingwa wa magari alisema kama huna sababu za msingi kuoa mchagga usioe
Nimepata sintofahamu Kwa sababu Nina mpenzi wangu mchagga...
Kama wewe ni mtumiaji wa ChatGPT Free, kuna habari kubwa inakuja! 🔥
Kuanzia wiki ijayo, OpenAI inatarajiwa kuondoa kikomo cha kawaida cha text chats kwa watumiaji wa Free kwenye GPT-5.6 Luna. 🤖🔥.
Yaani ile hali ya kuambiwa umefikia kikomo Cha kutuma message limit inaenda kufa na kubaki...
Vodka na warusi sasa leo waitaliano wameleta hizi
Najiuliza Huyu mgana ambaye wamemwandaa ionekane wanafuatilia anayemfuatilia makamu wa Chama kikuu cha Upinzani kwanini iwe hivi?
Tuko hatua 5 mbele yenu
CCM kama chama cha siasa kilishakufa siku nyingi sana. Sasa hivi ni genge wa wahuni wamejivika mamvuli wa chama cha siasa. Lakini ni typical group la wahuni na wezi.
Sijawahi kuona mwizi ana ambiwa tu acha kuiba na akaacha. CCM ni wezi hawako tayari kuacha wizi kwa mazungumzo. Hiyo tusahau...
Inasikitisha.
Vijana wanaumia,wanaumizwa mbaya zaidi hawasikilizwi, vijana wa kiume ndiyo kabisa wahanga wa hii kitu wamebaki na Vitu vingi mioyoni mwao.
Jinsia na haiba yao inazidi kuwateketeza mithili ya moto wa nyika kwenye nyasi nyingi.hawasemi popote, kwakuwa tu wameshakaririshwa uanaume...
Aachiwe huru mara moja na kisha akamatwe tena hapo hapo baada ya kesi kufunguliwa upya, ili hatimae ushahidi mpya utumike katika kumtia hatiani na apewa haki anayostahili kama watuhumiwa wa uhaini wengine duniani.
Hii itasaidia sana kutokuingilia uhuru na maamuzi ya mahakama za Tanzania, lakini...
baada
hapo
huru
kesi
kufunguliwa
kukamatwa
kwa mujibu wa sheria
lisu
mashtaka
mpya
mujibu wa sheria
napendekeza
nyongeza
sheria
tena
tundu
tundu lisu
upya
ushahidi
Kwa Nini CCM imefika mwisho.
Haitavuka 2030.
Ongezeko kubwa la wanawake kua wapigania haki wakubwa hapa Tanzania.
Ni kawaida wanaume kwa miaka mingi ulimwenguni ndio wamekua wapigania haki kwa jasho na damu.
Zama zimebadilika,wanawake wamejiunga kwa wingi katika harakati za kudai haki,kwa...
Licha Ya Kupigana Na Mfungwa Mwenzake Gerezani Hivi Karibuni, Lakini Rapa Sean 'Diddy' Combs Amepunguziwa Kifungo Kwa Mara Nyingine Tena. Kwa Sasa Diddy Ataachiwa Huru January 24, 2028.
Diddy Awali Alitarajia Kuachiwa Huru - June 2028 Ikaja April 2028, Kisha Februari 2028 Na Sasa Ataachiwa Huru...
Nina hoja kuhusu baadhi ya daladala zinazofanya safari kati ya Mwenge na Bunju, hasa nyakati za jioni. Kuna baadhi ya magari ambayo yamekuwa na utaratibu wa kuwatangazia abiria kuwa yanaishia Tegeta, hivyo abiria wanaosafiri hadi Tegeta hushuka hapo.
Pia soma ~ LATRA: Tumeanza kufunga...
Nakumbuka miaka ya nyuma mahubiri kuhusu Mpinga Kristo, alama ya mnyama (666) na kitabu cha Ufunuo yalikuwa kawaida sana kuyasikia kuanzia makanisa ya kilokole vijijini huko hadi yale makubwa ya akina askofu Mwakatage na Mwenisongole mijini huku!
Kila baada ya muda ungeyasikia madhabahuni.
Leo...
Kwa mda mrefu nimeishi katika maisha ya kuunga unga sana chumba kimoja zile nyumba za kupanga za mabehewa ya train yaani mnakuta milango yote imejipanga ivi kama mabehewa.
Ilikuwa ngum kuleta demu maana palijaa wa mama wa kiswahili wanapikia nje muda wote kelele uwezi letq demu usiwape mada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.