TENA is a Swedish-based brand of Essity that specializes in products for adults with urinary or fecal incontinence, such as pads and diapers. TENA also produces a youth diaper brand for teenagers and larger children. The company has offices in all of North America, most of Europe, in Australia and New Zealand, and some parts of Asia and Central America. TENA has specific lines for retail and health care. They can be found at grocery, drug and discount stores, in aisles where other bladder control products are sold.
Wakati wengi wakizungumzia maendeleo ya Afrika Mashariki, mara nyingi husahaulika kwamba Zanzibar ilikuwa miongoni mwa maeneo ya kwanza kabisa Afrika kupata umeme mwaka 1888 chini ya utawala wa Masultani. Wakati huo huo, Zanzibar ilikuwa tayari na reli ya Bububu, mojawapo ya reli za mwanzo...
Ilikuwa ikionekana kupitia namba 290, ila sasa ni Wiki ya Pili haionekani tena na sijui tatizo ni nini.
Wazalendo wa Kweli wa Tanzania tuliopo nje ya mipaka yetu huwa tunapenda Kuifuatilia.
Tafadhali Watu wa TBC1 ambao najua wengi mpo hapa tafadhali njooni na majibu murua.
CCM imepoteza mvuto kabisa na sasa kimekuwa sio tena chama cha siasa. Ni kikundi cha watu wahuni. Ndio maana unaona wanavamia na kuiba mali za CHADEMA. Wanateka, wanaua na hata sasa eti wanajaribu kuwaonga mabeberu!! Hayo mambo sio siasa kabisa. HAYO MAMBO NI UHUNI
Na hata watu ambao bado...
Hakuna wanachokihofia wala hawajali tena wanafanya nini kibaya Kwa watanzania.
Leo hii wanajiuliza ni jambo gani baya hawajawahi kufanya. Kama kila aina ya uovu wamefanya na Bado watanzania wapo kimya, wahofie nini tena?
Hakuna ufisadi ambao CCM hawajafanya, lakini wanaona watanzania wamejawa...
Utakuta mdada anakupigia simu au anakutumia sms"Nimekumiss" unamjibu njoo,anasema umtumie nauli aje,woiii,upwiru wake nimtumie nauli tena?,tutatuma nauli tunapowahitaji tu kama hatuwahitaji mnatuhitaji mje na nauli zenyu.
Na bado akija anataka uichape mpaka itoe moshi alie kama kasongo,akojoe...
Kenya walishawai kupata dili la Microsoft wafungue data center ila kampuni ili hitaji gigawati 1 ya umeme.wakat Kenya kwa wakati huo ilikuwa na uwezo wa kuzalisha takribani MW 3,000–3,200 tu.
Hapo ni kenya.
Asilimia 95% ya simu za iphone ambazo watanzania wengi wanauziwa kwenye box huwa ni simu used….
Je,
Ulikuwa unajua hili ? kama hujui basi habari ndio hiyo.
……naona unabisha pengine wewe mwenyewe au rafiki au ndugu ulisha wahi muona amenunua simu mpya kabisa na amefungua kwenye box …sasa...
bestiphonedealersintanzania
bila
bila kujua
hii
hizi
iphone
iphonedealerstanzania
iphonempyanausedkariakoo
kujua
siri
sirimuhimuzaiphone
tena
ukwelikuhusuiphone
usiyoyajuakuhusuiphonetanzania
wauzaiphonekariakoo
Wakazi wa Eneo la Kimara Temboni mtakuja Tunapata shida ya Maji yapata sasa ni week ya tatu Maji hatuna .Ratiba ilikuwa kila jumamosi tena wanatoa Maji kuanzia saa kumi usiku na ikifika saa kumi na mbili maji yanakatika .
Watu wanateseka sana.
Tunaomba mamlaka husika itufikirie sisi wakazi wa...
Ni nini kumetokea, hata wachangiaji kuacha kutoa pesa zao kuichangia chadema?
Je,
achangiaji wameshtukia wizi au utapeli wa pesa zao mchana kweupe? au kuna mapumziko ya kuomba kuchangiwa pesa?
Hata wafuata mkumbo viherehere humu jukwaani, hawaelezi tena ikiwa pesa zimechangwa wapi, na ni...
Nineumia sana kuona dadangu anashikwa shikwa trako na kuchezewa mbele yetu ma kaka na wazazi ukumbini kisa wanacheza mziki wa bluez. Japo dada yetu katuheshimisha kutuletea shemela lakini binafsi nimeumia.
Yaani baada ya kula na kunywa tukiwa ukumbini kuna mda kukawa hakuna shamra shamra...
Wengi hawakuamini masuala ya uwepo wa vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi, na mamluki wao, waliojificha ndani ya miongoni mwa vyama vya siasa nchini, wakiwa na nia na dhamira ovu dhidi ya taifa letu.
Lakini sasa ni wazi maadui wa taifa letu,
wamejidhirisha wenyewe mbele ya waTanzania na dunia...
Niliwahi kuwa na girlfriend back in 2018,
Alienielezea namna jamaa alivyokuwa anamchapa makofi na muda mwingine kumuingilia kinguvu kingono. Na akasema hataka amrudie tena huyo mbwa
Red flag ilikuja pale yule demu akawa anamzungumzia jamaa kila mara, nikagundua huyu fala bado bado ana miss...
Mpo eeeh
Sasa hivi ni akijiamulia tu ndio itavyokuwa hivyo ivyo, inakuaje? Msimamo wa kiongozi mkuu wa chadema akisema tena chama cha CHADEMA hakitashiriki tena uchaguzi 2030 nini? Mtafanya wana chadema
Kufata amri au kupinga amri na kwann? Mpinge amri na wakati mwanzo mliifata
Na...
Watanzania wenzangu, msitolewe kwenye reli.
Mara nyingi katika siasa hutokea mijadala, matukio au watu wanaojitokeza ghafla na kuhamisha mjadala kutoka kwenye hoja kuu kwenda kwenye mambo mengine. Huo ni mtego ambao wananchi wanapaswa kuuangalia kwa makini.
Msikubali kupotezwa maboya. Meli...
Kesho jumatano kutakuwa na kilio kingine cha mafuta kupanda tena ni muda WA kujipanga tena kisaikolojia na maisha magumu tena.
Adui ya nchi hii anaenda kuwaumiza tena wananchi huku nchi jirani wakiendelea na maisha yenye faraja kutoka kwa serikali zao zinazojali watu wake.
Maadui hawa wa...
Jeshi la IDF liliteka tena Ngome ya Beaufort huko Lebanon ambayo Israel iliikalia kisheria kuanzia 1982 hadi 2000 katika vita vya kwanza vya Lebanon.
Safari hii Magaidi wa Hezbollah wanapigwa mpaka chumbani kwao bila huruma yoyote!!
Natamani kila Mtanzania aelewe namna ambavyo viongozi wetu wanatuchukulia
Wanatuchukulia kama mazwazwa,mapwoyoyo flani yasiyotofautisha mambo serious na ishu extra yaani za burudani kama mpira.
Siku Simba na Yanga wamecheza mpira tarehe Sikumbuki wa NBC premier league,tukiwa busy sijui na...
Hawa ndio viongozi wa Afrika, nchi yake ina matatizo kibao yeye anaponda raha.
BREAKING: Congolese President Tshisekedi Stuck at Budapest Airport Over Ebola Concerns
President Félix Tshisekedi was held up at Budapest Airport after arriving with a delegation to attend the Champions League final...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.