tena

TENA is a Swedish-based brand of Essity that specializes in products for adults with urinary or fecal incontinence, such as pads and diapers. TENA also produces a youth diaper brand for teenagers and larger children. The company has offices in all of North America, most of Europe, in Australia and New Zealand, and some parts of Asia and Central America. TENA has specific lines for retail and health care. They can be found at grocery, drug and discount stores, in aisles where other bladder control products are sold.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Pesa zinazokusanywa ni kwajili ya kuendeleza Dar, Dodoma na Zanzibar ? mikoa mingi imekuwa vyanzo vya mapato bila kupewa umuhimu kwenye maendeleo

    Kuna mikoa huchangia mamia ya mabilioni ya kodi kila mwaka kupitia biashara, kilimo, madini na shughuli nyingine za kiuchumi. Lakini ukifika hata makao makuu na majiji ya mikoa hiyo, maendeleo hayaendani kabisa na mchango wao, Inasikitisha kuona kuwa sehemu kubwa ya mapato hayo yanaelekezwa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Bei sio kigezo tena cha kutambua bidhaa original, Bidhaa feki zimejaa sokoni na tunapigwa kwa bei original

    Bei haionyeshi ubora tena, feki na original vinauzwa sawa sokoni Zamani ilikuwa rahisi kutambua biashara ya bidhaa feki. Wafanyabiashara walikuwa wanauza vitu hivyo kwa bei ya chini kabisa, na mnunuzi alikuwa anajua kabisa kwamba anachonunua si original. Ilikuwa kama makubaliano ya kimya kimya...
  3. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania FT: Simba 1- 0 JKT Tanzania; ni "Mzee " Chama tena

  4. Idugunde

    JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo hamuwezi kukubalika tena hata mkipiga kelele kubwabwaja ovyo

    Mlishatambulika kuwa mpo Pamoja na CCM na hata wakati wananchi wanapigwa risai ile Oktoba 29 mlikuwa pamoja na CCM mkifanya maigizo ya uchaguzi feki. Leo hii mnazunguka na kujifanya mnapinga uovu na ukandamizaji wa CCM mtandao. Hamuwezi kutoboa hata kitogo.
  5. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Director wa FBI anasema wanakaribia kudondosha mafaili kuhusu aliens na UFO. So hii inamaanisha vile vijimtu/vibwengo ni kweli vipo?🤔

  6. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania Je 2030 CCM itaingia tena kwenye uchaguzi bila Chadema???

    Uchaguzi wa 2025, ni uchaguzi ambao binafsi sitokuja niusahau. Kwani ni uchaguzi ambao CCM walipata pigo, na aibu ya Karne. Kwa miaka mingi CCM wamekuwa wakiiba kura za wapinzani, kitendo Cha Strong opposition party kushiriki uchaguzi kilikuwa ni faida Kwa CCM, kwani turnover ya wapiga kura...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Hakuna swali tena nani ni kiongozi wa EA

    https://www.youtube.com/live/IDLFO9CCsg0?si=vpjpr7OrL7AdKs52
  8. C

    JamiiForums Tanzania Nimeshusha bei tena Honda Ace 150

    Nipeni 2.5m bila discount wakuu niwe nimekula hasara ya 1.1m ndani ya mwezi Pikipiki ni Honda ace 150, cc150 Ipo Mbarali mbeya Pikipiki ni mpya namba yake ni FRD.... Imetembea jumla kilometa 380 Nzuri Kwa kufanya boda, maeneo yenye Barabara mbovu ,matumizi binafsi, kubeba mizigo mizito n.k...
  9. Equation x

    JamiiForums Tanzania Utumwa wa kuhonga honga siutaki tena

    Maisha yamekuwa magumu sana, imenibidi niitishe kikao cha dharula kwa hawa wapenzi wangu 11, kila mmoja aandike insha ya ukurasa mmoja yakueleza, zaidi ya tendo la ndoa wana nini cha kunipa? Nimechoka kuwa mtumwa wa kuhonga honga mali/fedha au kutoa toa huduma zenye gharama kwa mbadala wa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe ameporomoka sana kisiasa. Hana ushawishi tena. Hata Kigoma walishamkataa

    Amebakiza makunyanzi tu usoni. Amekuwa hana ushawishi na hata CCM waliokua wanamtumia walishamtosa.Ndio maana ameshindwa na kilaza Kama baba Levo ambaye hajui hata Hansard ni nini Shetani hana rafiki. Ayatollah wa ujiji
  11. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: TUCTA imeniambia haina madai, tutaangalia tena mwakani

    Rais Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani inayoadhimishwa Kitaifa Mkoani Njombe, leo tarehe 1 Mei, 2026 amesema kuwa mwaka huu hakutakuwa na maboresho ya maslahi ya wafanyakazi.
  12. figganigga

    JamiiForums Tanzania Hongera BASATA kwa kuua Vipaji na Wasanii, Je, Chini ya Makonda, Sanaa itainuka tena?

    Salaam Wakuu, Kwa Ufupi Malengo ya BASATA ya kuua Vipaji na sanaa ya Tanzania yamefanikiwa. BASATA wamefanikiwa kuua Tasnia ya Burudani. Nimeenda BASATA wafanyakazi wao wamelala wengine wameenda chai. Hawana kazi tena kwani kazi washaikamilisha. Namshauri Paul Makonda(Waziri) aangalie namna...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Inadaiwa gari lililotumika kuua watu Oktoba 29, 2025 limeonekana tena kwenye Ziara ya Dkt Mwigulu

    Swali, Mpaka hapa bado kuna mtu hajajibiwa swali la nani alitoa amri ya kuua watu iwapo magari yaliyotumika kuua watu bado wanayatumia kuonesha hawajali wala kuogopa chochote?
  14. JimCarrey

    JamiiForums Tanzania Nifanyaje niache kubeti?

    Guys naombeni ushauri unaofaa nimekua mraibu wa kubeti mpaka Sina Tena marafiki, Nina madeni mpaka kausha damu, mkewangu anataka aondoke aniache, Nina watoto wanne na wanasoma, mwaka jana tu kidogo watimuliwe shule kwa kukosa ada. Nikakomaa miezi mitatu bila kubeti ila imeshindikana nimeanza...
  15. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania SItokaa nitembee na wanawake hovyo

    Yani jana Kuna dogo nimemnunua hapo mjini moshi ni majanga. Yani mikosi haiishi nimechukua majanga matupu, kupoteza vitu, bahati imekua mbaya sana, mpaka sasa ni hasara tuu, Kila nitakachogusa kinakua kibaya, mpaka sasa nshakula hasara ya 300k. Au yule sio mtu lilikua jini nini. Yani sijawah...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Mnaopanga kuandamana tena nawaombeni mtumie akili, mnaenda kudili vipi na risasi zitazowapotezea maisha na ulemavu wa maisha?

    Mnaendelea kuchora mabango ya kuandamana, mnaposti kwenye mitandao ya kijamii, mnapanga kukusanyika na kuingia barabarani kwa matumaini ya kusikika. Lakini jiulizeni kwa kina je, mmejiandaa kukabiliana na hali halisi inayoweza kujitokeza? Mnapofika barabarani, mambo hubadilika. Mnafyatuliwa...
  17. Sister Abigail

    JamiiForums Tanzania Series gani uliwahi kuangalia na hutamani Tena?

    kipindi Cha nyuma mwaka jana nliwahi kuangalia hili dubwasha Kwa jina la "From" Najutaa🤣
  18. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Tukiweka Dini pembeni pamoja umasikini narudia Tena kusema mke Mmoja hautoshi angalao wawili watatu hata wane si mbaya.

    Maelezo mnayo ninyi wakuu. NB: PICHA HII NDO NAMNA CCM ILIPOTUFIKISHA.
  19. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania haitakuwa moja mpaka katiba mpya tena nzuri

    Tanzania haitakuwa moja mpaka katiba mpya tena nzuri. Katiba ikiwa na hawa machawa na mafisadi tutakuwa palepale. Inatakiwa katiba itengenezwe kwanza na wataalamu kwa kuzingatia kaya na uchumi wa taifa ndiyo wapewe wanasiasa. Hawa brain zero wabunge na machawa hakuna kitu hapa tutapata madudu...
  20. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania JUMIKITA: Media zisimpe tena ushirikiano Madam Rita

    Kauli ya Madam Rita kwa Media ya Mike 360 ------- Jumuia ya Wanahabari wa Mitandao ya Kijamii (JUMIKITA) kupitia Mwenyekiti wake, Ndugu Shaaban Matwebe, imesikitishwa na kulaani vikali kitendo kisicho na heshima wala uungwana kilichofanywa na Madam Rita dhidi ya chombo cha habari cha...
Back
Top Bottom