tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. M

    JamiiForums Tanzania Haki ya Mtoto Kutunzwa na Wazazi Wote Wawili Baada ya Utengano – Funzo Kutoka Mahakama Kuu ya Tanzania

    Utengano au talaka kati ya wazazi mara nyingi huacha majeraha makubwa, lakini waathirika wakuu katika migogoro hii huwa ni watoto. Leo tuangazie uamuzi muhimu sana wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Kanda ya Mwanza (Rufaa ya Ndoa Na. 03 ya 2021) kati ya Aloyce Masalu Mapembe na Paulina Romanus...
  2. JamiiForums Tanzania AJIRA TANZANIA: Nini hasa chanzo cha ukosefu wa ajira hapa Nchini ?

    Habari wana jf , Tanzania ina vijana wengi wanaomaliza vyuo kila mwaka, lakini bado wengi wanapata changamoto kubwa ya kupata ajira . Swali ni hili: Je, tatizo kubwa ni kwamba ajira hazitoshi, au mfumo wetu wa elimu hauwaandai vijana na skills zinazohitajika kwenye soko la ajira? Kwa mfano...
  3. JamiiForums Tanzania Tanzania Nchi Iliyosahau Mashujaa Wake: Kumbukumbu ya TANU na Uhuru wa Tanganyika

    https://youtu.be/ZgzpXeu9eRY?si=HgH6XfcePFIMrxuI
  4. B

    JamiiForums Tanzania Jamii ya Wandondi na Wandwewe yaomba amani Tanzania na Afrika

    Na Mwandishi Wetu. JAMII ya Wandondi na Wandwewe, imetoa mwito wa kitaifa na kimataifa kwa watu wote wenye nia njema kuungana katika Dua Maalum kwa ajili ya Amani, Umoja, Maridhiano, Mshikamano na Ulinzi wa Maisha ya Binadamu. Dua hiyo ni mwito wa pamoja unaolenga kuwakutanisha watu wa imani...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Aibeba Tanzania Kileleni Afrika, Mkutano wa Africa50 Watoa Mwelekeo Mpya wa Uwekezaji wa Miundombinu

    Rais Samia Aibeba Tanzania Kileleni Afrika, Mkutano wa Africa50 Watoa Mwelekeo Mpya wa Uwekezaji wa Miundombinu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ameendelea kuimarisha nafasi ya Tanzania katika kuchochea mageuzi ya kiuchumi barani Afrika baada ya nchi kuwa...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Ujio wa Soko la Yiwu jijini Da es Salaam ni neema kwa wafanyabiashara na wanunuzi wa Tanzania

    Mamia kwa maelfu ya wafanyabiashara Waafrika, Waarabu na Waasia hufunga safari mara kwa mara na kwenda kununua bidhaa zao kwenye soko kubwa zaidi la bidhaa ndogo ndogo duniani lililoko huko Yiwu China. Mji huu, ambao ni wilaya ya viwanda na ni eneo lenye watu wengi, ulioko kwenye mkoa wa...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Baada ya Tanzania Kuzisaidia nchi za Afrika kupata Uhuru nazo sasa zaisaidia Tanzania

    Ripoti hii si uchunguzi wa kweli; ni jaribio la kisiasa la kuficha nyayo za utawala wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kufuatia uchaguzi wa Oktoba 2025 ambao, kwa mujibu wa taarifa hii, ulikuwa wa udanganyifu na ulioambatana na ukatili. Naibu Jaji Mkuu wetu anaitwa kushiriki katika Tume hiyo kama...
  8. JamiiForums Tanzania Fursa za ajira kwa wahitimu wa taaluma za mafuta na gesi Tanzania

    📢 FURSA ZA AJIRA KWA WAHITIMU WA TAALUMA ZA MAFUTA NA GESI TANZANIA 🇹🇿 EQUINOR GRADUATE PROGRAMME 2027 – NORWAY 🇳🇴 Equinor inapokea maombi ya kujiunga na programu yake ya wahitimu ya miaka miwili. Programu hii inatoa uzoefu wa kazi, mafunzo ya kitaalamu, ushauri kutoka kwa wataalamu pamoja na...
  9. JamiiForums Tanzania Hata kama Tanzania ikijitoa kwenye Mahakama ya ICC leo, Mahakama hiyo ina mamlaka ya kuchunguza makosa yaliyofanywa wakati nchi ikiwa mwanachama

    Marekani imekuwa ikizishinikiza nchi kadhaa za Afrika kujiondoa katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC), ikiwa ni pamoja na kutishia kuchukua hatua dhidi ya serikali zitakazokataa kufanya hivyo, gazeti la Le Monde liliripoti Jumanne. Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Marco Rubio...
  10. M

    JamiiForums Tanzania PPP na dira 2050: David kafulila kuwakutanisha wadau Arusha kutafuta njia mpya za maendeleo ya Tanzania yetu

    === Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP-Centre) kimeendelea kuhimiza matumizi ya ubia kati ya Serikali na sekta binafsi kama nyenzo muhimu ya kuchochea maendeleo ya wananchi, kuongeza uwekezaji na kufungua fursa mpya za kiuchumi na ajira nchini. Mkurugenzi Mtendaji wa...
  11. JamiiForums Tanzania Ndugu wadau wa Jf, hivi CHAUMMA wanaendeleaje huko na kampeni yao ya "Tujenge Pamoja Tanzania ni sisi"?

    Na vipi kuhusu michango waliokusudia kuomba kuchangiwa na waTanzania. kuna mwenye updates yoyote kwamba wamefikia wapi mpaka sasa?🐒 Mungu Ibariki Tanzania
  12. JamiiForums Tanzania Uislamu umepungua kwa angalau pointi 5 nchini Tanzania na Oman, lakini unakua kwa kasi maeneo mengine ya dunia

    Utafiti mpya wa kituo cha Utafiti cha Pew umebaini kwamba Afrika ya jangwa la Sahara imelipiku bara Ulaya kama sehemu ilio na Wakristo wengi duniani. Kulingana na ripoti hiyo Pew inasema kwamba hali hiyo imesababishwa na kuzaliwa kwa wingi kwa wafuasi wa dini hiyo Afrika huku wafuasi wanaoishi...
  13. JamiiForums Tanzania Upinzani Tanzania umejichuja wenyewe na kubaki na viongozi na wanachama waropokaji, watukanaji na waporomosha matusi tu, hoja sio utamaduni wao tena

    Unadhani kwanini baadhi ya vyama vya siasa vya upinzani nchini Tanzania vimeaamua kuacha kupambana kutafuta kuungwa mkono na wananchi kwa kutumia itikadi za vyama vyao, sera na agenda za kuvutia wananchi wapiga kura, na badala yake vimeanzisha utamaduni wa kutumia matusi kujitambulisha kwa umma...
  14. JamiiForums Tanzania Vijana wa Gen Z hawana madhara kwenye Taifa lolote lile, wanachotaka ni ajira na mitaji, vilevile hawapendi uongo

    Vijana wa Gen Z hawana madhara kwa Taifa lolote duniani Wanachotaka ni ajira na mitaji, haki pamoja na ukweli Vijana wa Gen Z wana upeo mkubwa sana wa akili, wanafahamu mambo mengi ambayo hayakuwa yakifahamika zamani Ni vijana wazuri, wema, watiifu, wadilifu na wachapa kazi sana ikiwa...
  15. JamiiForums Tanzania 𝗠𝘄𝗶𝘀𝗵𝗼 𝘄𝗮 𝗚𝗼𝗼𝗴𝗹𝗲 𝗔𝘀𝘀𝗶𝘀𝘁𝗮𝗻𝘁 𝗶𝗻𝗮𝗼𝗻𝗱𝗼𝗹𝗲𝘄𝗮 𝗸𝘄𝗲𝗻𝘆𝗲 𝘀𝗶𝗺𝘂 𝘇𝗮 𝗔𝗻𝗱𝗿𝗼𝗶𝗱 😱

    Baada ya miaka karibu 10 ya kuwasaidia mamilioni ya watumiaji duniani, Google Assistant anaondoka rasmi kwenye simu za Android. 🤖 Kuanzia sasa, Google anabadilisha kila kitu kwa kumleta Gemini AI kuwa msaidizi mpya wa simu. Hii ina maana kuwa ukisema "Hey Google", badala ya Google Assistant...
  16. JamiiForums Tanzania Sheikh anatoa ya rohoni, kuhusu yanayojiri Tanzania na yatakayotokea. Kuna msiba wa mzito utatokea ASAP

    https://youtu.be/ObnNqWHIhwU?si=fZ3x4KYA79HxKTFj ILANI: Hii ni video ya Novemba 3, 2025
  17. JamiiForums Tanzania 𝗧𝗶𝗸𝗧𝗼𝗸 𝗶𝗺𝗲𝘄𝗲𝗸𝗮 𝗠𝗳𝘂𝗺𝗼 𝘄𝗮 𝘃𝗼𝗶𝗰𝗲 𝗰𝗮𝗹𝗹 𝗸𝗮𝗺𝗮 𝗪𝗵𝗮𝘁𝘀𝗮𝗽𝗽

    TikTok inataka kugeuka kuwa Whatsapp 👋, baada ya kuleta feature ya VOICE CALLS ndani ya DM! 📱📞 Ndiyo! Badala ya kutoka TikTok kwenda WhatsApp kupiga simu, baadhi ya watumiaji wameanza kuona kitufe cha kupiga audio call moja kwa moja kwenye DM za TikTok. 👀🔥 Na hii ni hatua nyingine ya TikTok...
  18. F

    JamiiForums Tanzania Inaonekana wazi sasa kuwa Dangote alikimbilia kujenga refinery Kenya baada ya kukataliwa Tanzania

    Ni takribani mwezi mmoja tu tangu bwana Dangote alipotangaza kuwekeza mradi wake mkubwa wa takribani $16 bilioni nchini Kenya. Hayo yalijitokeza baada ya maneno ya rais wa Kenya kwamba walishakubaliana mwanzoni kuwa kiwanda cha kusafisha mafuta (refinery) kijengwe Tanga lakini ilionekana kuwa...
  19. JamiiForums Tanzania Kwa nini Tanzania bado ni maskini ikiwa imejaliwa raslimali nyingi kiasi cha kutosha

    Salamu kwa wote. Bado naendelea kutafakari ni namna gani taifa litaondoka kwenye huu umaskini na ufukara ukiopo kati ya wananchi dhidi ya utajiri wa rasilimali zake. Kwa mfano nchi ya Luxembourg ina square km 2,600 nchi nzima na ni moja ya nchi tajiri zaidi duniani . Kwetu Tanzania mwambao...
  20. JamiiForums Tanzania Katuni inayoelezea siasa za Tanzania kiuhalisia

    Ukiona moshi unafuka mahali jua moto upo chini. CCM inaamini imefanikiwa kuwazuia watanzania kufikiri nje ya wanavyotaka wao watanzania kufikiri, kumbe sivyo. Hapo chini ni katuni ya msanii ambaye ameamua kutumia kipaji chake kuelezea hali halisi ya siasa za Tanzania Cha kusikitisha watu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…