tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. E

    JamiiForums Tanzania Makanisa yaliyopo Tanzania yakiamua yanaweza kujenga viwanda

    Habarini za Leo wapendwa. Kama kichwa kinavyo someka hapo juu. Ni juu ya makanisa yetu mbalimbali yaliyopo Tanzania. Sote tunajua jinsi makanisa yetu yanavyo toa mchango katika sekta ya elimu na afya. Kuna shule nyingi sana zinazotoa elimu bora kwa wototo wetu zilizojengwa na makanisa. Lakini...
  2. Wacha1

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Electricity Generation Slightly Declines

    Tanzania: Electricity Generation Slightly Declines - allAfrica.com Credit: Tanzania Daily News (Dar es Salaam) ELECTRICITY generated and distributed declined by 4.0 per cent to a cumulative output of 1,823,616.1 megawatts in the quarter ending September last year from 1,898,803.2 that was...
  3. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Utoro, Ulevi na kuwa kwenye mahusiano na Wanafunzi zatajwa kuwa tabia sugu kwa Walimu wa Tanzania

    Kaimu Katibu wa Tume ya Utumishi wa Walimu Tanzania (TSC), Moses Chitama ametaja makosa sugu yanayofanywa na baadhi ya walimu nchini kuwa ni utoro, ulevi pamoja na kujihusisha kimapenzi na wanafunzi. Aliyasema hayo Januari 5 mwaka huu, wakati akiwasilisha mada kuhusu maadili, katika Mkutano wa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Lini maombi ya kujiunga na law School of Tanzania hufanyika?

    Nilitamani mwanangu ajiunge na law School of Tanzania mwaka huu januari au June. Cha kushangaza Ni kuwa intake zote zimeshajaa. Je waliomba lini? Ina maana aliyehitimu 2020 nakupata cheti chake Desemba 2020 Hana uwezekano wa kuwahi kuomba intake yoyote ya januari au June?
  5. J

    JamiiForums Tanzania Export business - From Tanzania to the world

    Heshima kwa wapambanaji wote! Itoshe kusema itifaki imezingatiwa, na kwa heshima kubwa, napanda jukwaani nikilenga kujadili hili jambo la Export business! Kwanza, hapana shaka kwamba Tanzania & East Africa na Africa kwa ujumla ni sehemu ambazo zimepata upendeleo sana katika raslimali ardhi na...
  6. RUGAHIMBILA E R

    JamiiForums Tanzania Majina ya miaka kwa lugha ya Kihaya

    Wahaya tuna kawaida ya kuibatiza miaka kabla haijaanza. Mwaka 2011-tongana na sasa huu mpya 2012 ni wechonche. Mulamanya ba tata na ba mawe twechonche. Nyegera "wechonche" 2012 ---- 1959 - Bilemolengire 1960 - Ija webonere 1961 - Bilye oyekomire 1962 - Gumisa omwoyo 1963 - Otura obungya...
  7. Replica

    JamiiForums Tanzania Asasi nne za kiraia zaishitaki Tanzania mahakama ya Afrika Mashariki kwa 'Ukiukwaji mkubwa' kutoka kwa polisi wake

    Asasi nne za kiraia zimeifikisha mahakamani Serikali ya Tanzania kwa ukiukwaji mkubwa kwenye uchaguzi mkuu wa karibuni ambao ulimrudisha madarakani Rais John Pombe Magufuli. Taasisi kutoka Kenya na Uganda zinaishtaki Tanzania kwenye Mahakama ya Afrika Mashariki, zikituhumu vyombo vya usalama...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Serikali za Mitaa na kazi zake kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Ibara ya 145.-(1) inaeleza kuwa :- Kutakuwa na vyombo vya Serikali za Mitaa katika kila mkoa, wilaya, mji na kijiji, katika Jamhuri ya Muungano, ambavyo vitakuwa vya aina na majina yatakayowekwa na sheria iliyotungwa na Bunge au na Baraza la Wawakilishi. (2) Bunge au Baraza la...
  9. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Suala la watalii kutokurudi tena Tanzania wanapokuja mara moja, huduma zetu ziboreshwe

    Nchi nyingi zinazotegemea utalii katika uchumi wa Taifa, zimelenga kupata watalii wengi kwa gharama nafuu. Nchi nyingi zinafanya package holiday, ambayo watalii wa kipato cha kawaida wanaimudu. Si wazungu wote kuwa ni matajiri. Wazungu wanaotalii wengi wanategemea credit cards. Kwa gharama za...
  10. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Human Trafficking ipo kwa kiasi kikubwa Tanzania

    Achilia mbali hawa watu wenye ulemavu wanaoletwa Dar kutoka sehem mbalimbali nchini na kuhifadhiwa kwenye magesti ili wakawe omba omba wapo wengine wanakusanywa Kinondoni na kusafirishwa sehemu mbali mbali nchi za nje ili kufanya kazi za ndani, kazi za kujiuza na kubeba madawa !! Wahusika...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Nakubaliana na mchungaji Msigwa kuwa level of thinking Tanzania imeshuka

    Kuna clip iko kwenye mitandao ikionyesha mahojiano aliyofanyiwa mchungu Msigwa na Darmpya tv, ambapo mchungaji Msigwa anasikika akiongelea swala la critical thinking. Msigwa anasikika akisema, wakati wa Mwalimu, vijana wa chuo kikuu walikuwa na uhuru wa kusema chochote wawapo maeneo ya chuo na...
  12. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Gari zinazobeba hewa ya carbon dioxide Tanzania zikipinduka maeneo yenye watu na matanki kupasuka nini kitatokea?

    Nimepishana na gari la Azam limebeba carbon dioxide. Gari zinazobeba hewa ya carbon dioxide Tanzania zikipinduka maeneo yenye watu na matanki kupasuka nini kitatokea? Hiyo hewa inaingizwaje kwenye tank? Vituo vyake vya kujazia viko wapi? Kama carbon dioxide ni biashara haiwezekani watu...
  13. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Waziri Lukuvi awataka wamiliki wa ardhi kujenga kwa kufuata sheria

    Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amewataka wamiliki wa ardhi wanaotaka kujenga kuhakikisha wanafuata sheria na taratibu zote wakati wa kufanya ujenzi. Waziri Lukuvi alisema hayo mwishoni mwa wiki hii katika ofisi yake ya ardhi ya mkoani Dar es Salaam na Pwani...
  14. Hisha Sorel

    JamiiForums Tanzania Wale ambao ni ma-Atheist Tanzania kama mimi, niambie; ulifiakiaje hiyo conclusion?

    Jana nimeona thread ambayo ilimtambulisha OP kama atheist aliyetaka ushauri. Hii ndo ilikuwa mara ya kwanza kuona atheist Tanzania na cha kushangaza zaidi, ma-atheist walikuwa na uelewa mpana sana wa Philosophy and sciences kitu ambacho kilinishangaza. So we kama ni atheist, unaweza kushare...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Nani kawatuma wananchi kumwona Mbowe shujaa wa siasa za Tanzania?

    Duniani wapo watu wamezaliwa na wivu. Wakati wote wanatamani wao waonekane bora kuliko wengine. Hii haikuanza hivi karibuni bali imeanza toka asili ya binadamu. Utakumbuka Kaini alivyotoa sadaka iliyomchukiza Mungu wakati Abel alitoa sadaka infaayo Mungu. Matokeo yake Sauli hakulia na kumshutumu...
  16. BAK

    JamiiForums Tanzania Askofu Mwamakula: Haiwezekani katika jamii wakakaa kimya wote!

    TANZANIA! TANZANIA! TANZANIA! SIKIA SAUTI YA ASKOFU! Askofu Mkuu Oscar Romero wa Kanisa [Roman] Katoliki nchini El Salvador alipokuwa akitetea haki hakuwa na nia ya kugombea nafasi za kisiasa nchini El Salvador! Askofu Mkuu Desmond Tutu wa Kanisa Anglikana Afrika Kusini Alipotetea haki hakuwa...
  17. Candid Scope

    JamiiForums Tanzania Uraia pacha na Tanzania

    Suala la uraia pacha, limejitokeza tena kuwa hoja nzito katika mkutano wa tatu wa uratibu wa wadau Watanzania wanaoishi ughaibuni (diaspora), huku baadhi wakiitaka serikali kuharakisha mchakato wa kuanzisha utaratibu huo. Walisema Watanzania wanaoishi nje ya nchi wanapata adha kubwa na wengine...
  18. Barbarosa

    JamiiForums Tanzania Ndoto yangu, Tanzania ambayo Mtanzania anaweza kuishitaki Serikali Mahakamani na Serikali kutii!

    Nchi nyingi huwa nasoma kwamba kwa mfano Serikali imechukuwa tuseme uamuzi x Wananchi wa hiyo nchi wanapinga wanakwenda Mahakamani kushitaki kwamba uamuzi huo ni kinyume na Katiba ya nchi yao, Mahakama inaamua na kutengua huo uamuzi wa Serikali na Serikali kutii, sijui kama hilo linawezekana...
  19. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mwanaharakati Zara Kay akabiliwa na mashtaka ya kuwa na uraia pacha nchini Tanzania. Hati yake ya kusafiria yachukuliwa na Vyombo vya Usalama

    Mwanamke wa Australia amekamatwa na kushtakiwa nchini Tanzania muda mfupi baada ya kukosoa jinsi Rais wa Tanzania anavyoshughulikia janga la COVID-19 katika chapisho la mitandao ya kijamii. Zara Kay, raia wa Australia ambaye alizaliwa nchini Tanzania, aliambiwa afike kituo cha polisi katika...
  20. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Kibonzo cha Kipanya 02/01/2020 Tanzania imerusha “setilaiti” ya kwanza na USA yaomba msaada Tanzania

Back
Top Bottom