Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
Yani ukipita instagram, kila mtu anauza dawa za kuchubua ngozi ili "kutakatisha ngozi"
Muda huo huo tunasikia watu fulani wanasafilisha dada zetu kunyanyaswa nje ya nchi!!
Tunasikia, ndani ya lugha ya kiswahili, ngozi ngeni zikisifiwa: "flani flani ana mzuri kweli kwani ana-asili ya kihindi"...
Zifuatazo ni dialects za lugha ya Kichagga nyingine zinaendana
Kirombo
Kimarangu
Ki-uru
Kikibosho
Kimachame
Kisanya
Lugha zifuatazo zinauhusiano mkubwa sana na lugha za kichaga japokua wanajihesabia sio Wachagga.
Kimeru
Kigweno
Mfano: Msanya ni ngumu sana kumsema Mmeru, na Mmarangu ni ngumu...
Watanzania sio wajinga, ukija na hoja za kitoto wanakusikiliza kisa wanapima unachosema.
Hakuna ubishi kuwa upinzani hapa Tanzani ulipata nguvu sababu ya makosa ya Ccm kama chama tawala kuruhusu ufisadi.
Nani asiyekumbuka kuwa Lyatonga Mrema alipata kiki baada ya kuibua ufisadi wa...
Salaam Watanzania!
Nataka nishee na nyinyi kidogo kuhusu ili shirika la kimataifa linaloitwa UNICEF.
Nilibahatika kupata nafasi ya kuwa volunteer wa UNICEF katika campaign ya kupambana na ugonjwa wa Covid19 na baadae kampeni ikaamia kwenye haki ya watoto.
Kwenye hii kampeni tulitambulika...
Mzuqa wanaJF!
Kiribati (wenyeji wanaitamka Kiribas) ni kisiwa nchi katikati ya Pacific. Mji wake mkuu ni Tarawa. Inahofiwa Kiribati itazama miaka ya karibuni.
This island neshen will soon drown due to climate change and rising sea level.
Tayari serikali ya Kiribati imeshanunua ardhi Fiji...
Salaam Wakuu,
Benki ya Dunia inatazamia kutoa Dola za Kimarekani Milioni 425 katika mpango wa miaka mitano wa uboreshaji wa elimu ya juu ili kwendana na Mabadiliko ya Kiuchumi
Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia (MoEST) kwa kushirikiana na Benki ya Dunia inaandaa mpango wa miaka mitano wa...
Yanayofanyika Chato; Yanafanyika Kote Nchini Tanzania
Na: Mzalendo wa kweli (ellyskywilly)
Serikali ya awamu ya tano imekuwa ikifanya kila liwezekanalo katika kuhakikisha Tanzania nzima inakuwa na maendeleo ya vitu na watu, hivi sasa kila ukipita kwenye maeneo mengi nchini utakutana na ama...
Mbona haya makampuni yamekuwa mengi sana? Kampuni nyingine tena imepeleka GOT kwenye arbitration likidai pesa yake. Kampuni hii ilizuiwa kuchimba madini japo ilikuwa imepewa mining licence.
========
Montero secures US$2.32 million for battle with Government of Tanzania
Jan 11, 2021
Montero has...
Pata updates za mechi hii ya friendly inayochezwa uwanja wa Taifa mapinduzi day 12/1/20121.
===
Both teams were using the game to prepare for the Chan competition to be held in Cameroon
Tanzania and DR Congo settled to a 1-1 draw in an international friendly game played at the Benjamin Mkapa...
PAN AFRICANIST,MAPINDUZI YA ZANZIBAR,MUUNGANO WA TANZANIA KUELEKEA MUUNGANO WA AFRIKA.
Leo 13:00hrs 12/01/2021
Pan Afrikanist,Mwalimu Julius Nyerere, aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanganyika,na hatimaye Rais wa kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,ndiye Pan Afrikanist mbeba maono aliyebuni na...
Naona Mabeberu yameingia kazini tena.
Kampuni ya Montero imeazimia kuishitaki serikali ya Tanzania ikikusudia kudai fidia kutokana na kupoteza mradi wake wa utafiti wa madini wa Wigu Hill uliotokana na mabadiliko ya sheria ya madini ya mwaka 2010 iliyofuta baadhi ya leseni zilizokuwa zikitolewa...
Habari za leo wakuu,
Kama kichwa kinavyo jieleza hapo juu njoo tujadili ni Sekta zipi katika soko la Tanzania hazina perfect competition of market.
Perfect competition ni hali ya kuwepo kwa ushindani Mkubwa katika soko usio na upendeleo. Na bei za sokoni zote hazi be controlled na wauzaji wala...
Habari za leo wakuu,
Kama kichwa kinavyo jieleza hapo juu njoo tujadili ni sekta zipi katika soko la Tanzania hazina perfect competition of market.
Perfect competition ni hali ya kuwepo kwa ushindani Mkubwa katika soko usio na upendeleo. Na bei za sokoni zote hazi be controlled na wauzaji wala...
toka kupata uhuru wa nchi yetu mwaka 1961 mpaka sasa kama nchi tumepitia mabadiliko makubwa sana kwenye swala la elimu, mabadiliko hayo yapo ambayo yamekuwa na faida kubwa na mengine yameleta hasara na kuporomosha elimu yetu kwa kiwango kikubwa, katika siku za hivi karibuni wahitimu wengi wa...
Leo Rais wa Msumbiji, Filipe Nyusi amewasili Chato mkoani Geita kwa ziara ya siku mbili kuimarisha uhusiano ambapo atakuwa na mwenyeji wake, Rais Magufuli.
=======
Rais Filipe Nyusi wa Msumbiji ameshawasili uwanja wa ndege wa Chato na kulakiwa na mwenyeji wake, Rais John Magufuli
05:34...
Aliyekuwa mgombea uchaguzi kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHDEMA Tundu antipas Lissu amejitokeza na kutolea ufafanuzi kadha kuhusu kuwepo au kutokuwepo kwa kesi huko mahakama ya uhalifu ICC dhidi ya Serikali ya Tanzania baada ya uchaguzi mkuu 2020.
====
Dar es Salaam. Chadema Vice...
Watu wote ni sawa mbele ya sheria na wanayo haki, bila ya ubaguzi wowote, kulindwa na kupata haki sawa mbele ya sheria (Ibara ya 13)
Haki za raia, wajibu na maslahi ya kila mtu na jumuiya ya watu yatalindwa na kuamuliwa na Mahakama na vyombo vinginevyo vya Mamlaka ya Nchi vilivyowekwa na Sheria...
Kwa maelezo ya Raisi Magufuli mwenyewe Tanzania imelipa kampuzi za China $10B kwa miaka 10 iliyopita! hii ni wastani wa $1B kwa mwaka.
Hii inashutusha kwa jinsi tunavyotoa wahandisi kwenye vyuo mpaka sasa bado kazi nyingi zinafanywa na makampuni ya China.
Kazi nyingi kama za majengo, visima...
Hili ni kundi baya sana, na halifai hata kiduchu. Nashangaa kwa nini hatujasikia crackdown ya hawa member wa hichi kikundi.
Kimejaa wahuni na ambao kazi yao kubwa ni kuipaka matope Tanzania na Serikali .
Kama inadiriki kuwa huwa wanafanya makongamano ili kupanga njama za kuchafua nchi kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.